Buy HD premium Receiver: The best MPEG4 receiver with Free IPTV For Bein Sports & 1year TV1 CCcam

Njunwa Wamavoko

JF-Expert Member
Aug 11, 2012
5,745
2,338
Introduction:

Baada ya kuona Monopoly kubwa ya Vingamuzi vya Kichina nimeamua kwenda moja kwa moja Dubai kuwaletea kitu chenye Quality na ambacho hautojuta kwa hela utakayoitoa.

N:B Soma kwa makini hivi sio vile vingamuzi vya kichina vinavyotumia line

Receiver hii inaitwa HD premium 11000 kitu mpya kabisa nimeamua kuianzishia thread yake na nimetaja matumizi yake na hivo wewe utakimbilia kusoma ile itakayo kufaa najua wengi mtakimbilia ile ya DSTV na kabla hatujaendelea ntawaelezea maneno kadhaa ntakayo yatumia katika Thread hii ili kuondoa mkanganyo na kwikwi watu watakayo kuwa nayo.

Maneno ntakayo tumia hapa ni Server, IPTV, CCcam, Card sharing nayo nitayaeleza kwa Ufupi

1.Server; Ni computer yenye internet inayotumika kutoa huduma kwa watu

2.CCcam; Ni software inayotumika kwenye computer/Receiver zenye Linux OS Kuisoma card na kuisambaza kwa watu wengine

3.IPTV; Ni Kifupi cha Internet protocol TV,Na hii itawasaidia sana wale wanaoangalia mipira ya Ulaya Youtube au Mtandao ku stream live na hii IPTV inakudai uwe na internet yenye nguvu kidogo walau 3Mbps

4.Card sharing; Ni mfumo ulioanzishwa kuwaondoa watu kwenye gharama nyingi wazilipazo kuangalia TV,na kwa hapa Africa hii imetusaidia maana ili uone mpira na channel za maana unaitaji walau 88$ ambayo ni nyingi kiasi kwa mtu wa kawaida kwa kila mwezi, Hivo basi smart card moja inaingizwa kwenye computer/server inasambazwa kwa CCcam kwa watumiaji wengine

Kwanini ununue HD premium 100 na uachane na vingamuzi vingine?

1.Inashika FTA(Free to Air)

Kwa wale wapenzi wa FTA hii ndo receiver itakayo kupa vitu unavyovitaka maana ni MPEG4 na ni HD
Mfano unataka kushika Continental Ambayo iko Free to Air mpaka basi utatumia hii bila kurundika vingamuzi kibao sebuleni kwako.

2.Inashika DSTV kwa kutumia TV1 CCcam

Ukiwa na hii Receiver utapata TV1 CCcam(server adress kwa ajili ya DSTV) tena ile VIP achana na ile ya wachina ambayo itakuwezesha kuona Channel za DSTV kama umelipia Premium vile na bila mkwaruzo wowote na bila risk ya kuwa blocked maana server ya TV1 CCcam ni balaa sana imeshindikana tokea 2012 mpaka wa leo watu wanakula maisha na kuburudisha familia zao kwa burudani kemu kemu.

Embu angalia hapa chini ujiridhishe

View attachment 208973


3.Inashika channel za kiarabu kwa kutumia Gshare3 great server

Hii sitaiongelea sana maana receiver zitakudai kuzinunulia Gshare3 IKS acct,Pia Wengi mnajua kuwa Bein sports walikimbilia MENA(Middle East na North Africa) hivo ili uweze kuona Bein sports ukiwa Tanzania itakudai Dish 8ft ambalo ni kubwa sana kwa watanzania waishio makazi ya kupanga na nyumba zilizo banana. Hivo kwa atakayeitaji hii under special order ntakufanyia mpango.
View attachment 208980

4.Inakamata IPTV hakuna mfano

IPTV nimeelezea katika intro na nafikiri kila mmja anaelewa ni kitu gani hiki,IPTV zilizoko humu kuna Arabic,Sports,European TV,Indian TV na French IPTV
zote ni free kwa wateja na zimekua powered na GIPTV ambayo imezi Optimize zisile sana Bundle na zitumia internet isiyo ya kazi.

Emu jitazamie picha hapa chini;

Arabic IPTV
View attachment 208977


EUROPEAN IPTV
sky iptv sprt.png
N.k.

Vitu Unavyoitaji kuweza kuona DSTV

Kwa hapa Target Kubwa nikuweza kukamata DSTV channel bila malipo ya kila mwezi yaani ni onetime fee baada ya hapo unasubiri mwaka wa kifurushi chako uishe ununue nyingine na uendelee na burudani Utahitaji vitu vifutavyo;

0. HD premium receiver+ tv1 CCcam DSTV 230,000/=
1.Dish la 3ft 70,000/=
2.Installation ya Dish 20,000/=
3.Universal Modem 35,000/=
4.Line yenye hela au kifurushi walau kwa mwezi 100MB
Kuna vifurushi vya bei rahisi ntakuunga kulingana na mtandao utakao kuwa unautumia

Mawasiliano
Phone number/whatsapp +255753932250
alternatively +255657209956
Email: njunwawamavoko@gmail. com

Huduma Nyingine
Renew your AZSKY,QSAT and Xmaster receivers
 

Attachments

  • DSTV channels .xlsx
    465.8 KB · Views: 433
  • HD Premium.jpg
    HD Premium.jpg
    153 KB · Views: 556
  • premium HD 2300.jpg
    premium HD 2300.jpg
    208.1 KB · Views: 488
Hii kitu nimeona inatumika sana nje (Ulaya + Amerika), ila kwa Bongo hivi mitandao ya simu inatoa huduma ya intaneti yenye kasi kuweza kuhimili streaming isiyokwama?

Inabidi pia kuangalia primary thing ya hii receiver nikufungua FTA na Scramble channel sana sana DSTV ambayo haitegemei internet sana
Inategemea huko eneo gani na katika hii receiver unaangalia IPTV gani?
Mfano mm naweza ku stream Bein sports bila shida yoyote ya kukwama kwa kutumia Airtel OMG
Pia kuna watu wanategemea sana hii kitu ya ku stream mpira au TV emu angalia hizi thread mbili

https://www.jamiiforums.com/tech-ga...-nitawezaje-kuangalia-tv-kwenye-kompyuta.html

https://www.jamiiforums.com/tech-ga...0-kutumia-kifaa-cha-android-kama-decoder.html
 
Mfano una dish la Dstv vile vidogo flani hivi sikumbuki ni ukubwa gani vitaweza kufaa kwenye hiyo receiver?
 
Mfano una dish la Dstv vile vidogo flani hivi sikumbuki ni ukubwa gani vitaweza kufaa kwenye hiyo receiver?

Ndio DSTV unaweza kuishika na dish size lolote 2.5ft na 3ft ndo ukubwa wa dish zilizo zoeleka

Hivo wewe unaitaji tu modem na HD premium receiver ili uanze kuburudisha familia kwa channel 200 za DSTV
 
Mkubwa hicho reciever yako inashika chennel za azam na Ting? Je dishi la Azam linatosha kushika?
 
Mkubwa hicho reciever yako inashika chennel za azam na Ting? Je dishi la Azam linatosha kushika?

Ndio inashika zile za Ting za FTA ingia Lyngsat kuziona kama hauzioni sema nikuwekee picha...

Za Azam zimefungwa karibu zote hivo haiwezzi

Dish la Azam ndio unaweza kulitumia Kushika DSTV
 
Mkuu nimekupata na ninaelewa yote hayo uliyonieleza isipokuwa concern yangu kubwa ilikuwa ni kwnye hilo la upatikananji wa intanet murua kwa nchi yetu...

Shukrani sana..

Inabidi pia kuangalia primary thing ya hii receiver nikufungua FTA na Scramble channel sana sana DSTV ambayo haitegemei internet sana
Inategemea huko eneo gani na katika hii receiver unaangalia IPTV gani?
Mfano mm naweza ku stream Bein sports bila shida yoyote ya kukwama kwa kutumia Airtel OMG
Pia kuna watu wanategemea sana hii kitu ya ku stream mpira au TV emu angalia hizi thread mbili

https://www.jamiiforums.com/tech-ga...-nitawezaje-kuangalia-tv-kwenye-kompyuta.html

https://www.jamiiforums.com/tech-ga...0-kutumia-kifaa-cha-android-kama-decoder.html
 
Kwa mahitaji ya

TV1 CCcam 95,000/= 1yr DSTV

3months CCcam 55,000/=

call me 0753932250
 

Attachments

  • dstv tv1.png
    dstv tv1.png
    252 KB · Views: 424
  • Anima plnt iptv eng.png
    Anima plnt iptv eng.png
    194.4 KB · Views: 419
  • bEIN IPTV SPRTS.png
    bEIN IPTV SPRTS.png
    167.8 KB · Views: 414
  • skysport play.png
    skysport play.png
    353.9 KB · Views: 421
Mkuu nipo Tarime na huku naona wengi wana tumia Bein Sport
Je nawezaje ipata na mimi?
Alafu kuhusu mtandao huku ni voda ndiyo baaaab kubwa ila airtel kwny net wala hamna kitu
Nina madish ya Dstv mawili na la Azam 1
Na dish kubwa 1 la ft sita
Kifupi huwa nalipia DSTV laki na 59 kwa mwezi
Duh hadi nahisi mwili umekuwa mchungu
 
Mkuu nipo Tarime na huku naona wengi wana tumia Bein Sport
Je nawezaje ipata na mimi?
Alafu kuhusu mtandao huku ni voda ndiyo baaaab kubwa ila airtel kwny net wala hamna kitu
Nina madish ya Dstv mawili na la Azam 1
Na dish kubwa 1 la ft sita
Kifupi huwa nalipia DSTV laki na 59 kwa mwezi
Duh hadi nahisi mwili umekuwa mchungu

Kwa sasa hizi receiver zinakuja na acct ya DSTV mwaka mmoja na GIPTV ya bure ambayo nimeweka channel zake hapo juu

Acct ya Gshare kwa ajili ya Beinsports imeisha mda wake maana receiver inaonesha zilikaa store mda mrefu kabla ya kuuzwa hivo nikipata wauzaji wa hizo IKS acct nilizoonesha post #2 basi nta update hapa

Meanwhile 230,000/= unakula DSTV bure

Piga +255753932250 kwa maelezo zaidi
 
Kaka nimekupata vyema.ila dstv wakijua unafanya hivyo awawezi kuchua hatua za kisheria?

Hatua za kisheria ki vp?
Hii haijaanza leo ndugu watu wanatumia mwaka wa pili sasa...
Wakitaka kuzuia wasinifate mm wawafate watengenezaji maana mm nauza tu kifaa si tengenezi kifaa wala server
 
kwa wale wa Arusha kuna fundi maharufu hapo anaitwa Moody

Iwapo nikikutumia receiver na hauna fundi wa kukufungia nakushauri mtumie huyu maana ni mzoefu wa hizi receiver
 
Mahitaji yangu ni Channel za tanzania pekee mfano Sibuka TV,Clouds TV,TVI Mlimani TV,DTV,Star TV,Channel ten,ITV,TBC nk. hayo ya mpira si mpenzi.Nihakikishie hayo nikusake
 
Back
Top Bottom