Jipatie Qsat Q23G HD satellite FTA receiver

Jipatie Qsat Q23G HD satellite FTA receiver

Je nahitaji bundle kiasi gani/gb ngapi kuweza kuangalia daily 2hrs kwa mwezi?
 
Je nahitaji bundle kiasi gani/gb ngapi kuweza kuangalia daily 2hrs kwa mwezi?
  • Kwa IKS decorder default account, CCcam account au NewCamd account unahitaji Mb30 - Mb70 za data kwa mwezi mmoja. Sababu ni Bite chache hutumika kuangalia account yako katika server.
  • Internet connetion yeyote inafaa Yaweza kuwa ni 2g GPRS Networ au 3G
Iwapo Utatumia IPTv Protocal [Mfano katika QSAT Q26G- Hapa unahitajika uwe na Unlimited Internet package.

  • Hii ni pure TV streaming kama ilivyo kwa PC unapoangalia youtube.
  • Hapa inatakiwa uwe na 3G internet kuweza kufanya streaming
Karibu
 
Naona kwangu sasa hivi TV1 ni giza tupu hakuna hata channel moja inayoonyesha.Vilevile na Bestcam ni kimyaaaaaaa.Wadau vipi huko kwenu?
 
Naona kwangu sasa hivi TV1 ni giza tupu hakuna hata channel moja inayoonyesha.Vilevile na Bestcam ni kimyaaaaaaa.Wadau vipi huko kwenu?

Naona hii ni operetion kata mti na hic wametupatia dawa kwangi zote zimekata
 
kusema DST wanaweza kutafuta Dawa ya kuzuia wachina moja kwa moja haiwezekani. Lazma zitarudi hewani tu ila inahitaji uvumilivu mkubwa.
 
kusema DST wanaweza kutafuta Dawa ya kuzuia wachina moja kwa moja haiwezekani. Lazma zitarudi hewani tu ila inahitaji uvumilivu mkubwa.

Inawezekana wanabadilisha mpaka resiver za wateja wao sasa hivi ngoja tuone
 
nasikia Qsat isharudi kwa avatarcam, kwa kwel avatarcam naiaminia kuliko nyingine
 
Avatacam wako hewani. Ila ss3 bado haipatikani. Hizi nyingine ziko stable sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom