Jifunze jinsi ya kufanya software update katika decoder ya best HD4U

Mwl.RCT

Verified Member
Joined
Jul 23, 2013
Messages
8,410
Points
2,000

Mwl.RCT

Verified Member
Joined Jul 23, 2013
8,410 2,000
JINSI YA KUFANYA SOFTWARE UPDATE KATIKA DECORDER YA BEST HD4U
​
Kwanza download attached software , un_zip, kisha copy file na weka katika flash. Fuata hatua hizi nne (4)

 • Hatua ya kwanza

 • Hatua ya Pili

 • Hatua ya Tatu
​

 • Hatua ya nne

 • Update imekamilika na BEST HD4U ipo tayari kwa matumizi
KUHUSU BEST HD4U

 • Ni decorder ya MPEG4, Full HD, DVB S2
 • Waweza kuitumia kama FTA receiver au waweza kuitumia ili kufungua Paytv kama DSTV kutegemeana na account utakayoweka.
 • By default inakuja ikiwa na CCcam Account mbili tofauti, zinazotumia server mbili tofauti- Account Zote zikiwa ni za mwaka mmoja kwa kila mmoja.
 • Account hizo ni:-

 1. TV1 CCCAM kwa ajiri ya kufungua DSTV Channel Eutelsat 36E katika Server 1 | Channel Line-up | na
 2. ZAP CCCAM hii inafungua ZAP EutelSat 35.9E katika Serve 2 | Channel Line-up |

 • Pia decorder hii huja na HUAWEI 3G MODEM bure !
UPATIKANAJI WA DECORDER HII
 
the muter

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2012
Messages
751
Points
1,000

the muter

JF-Expert Member
Joined Oct 31, 2012
751 1,000
mkuu natumia qsat g15t account avatarcam,nimebakiza siku 20 kuexpire .Ni account gan nzuri,channel hazisramble.decoder ina option account avatarcam na DQCAM je naweza kutumia tofaut na hizo?

pia nilitaka kujua channels za kibongo nitazipataje hapa star TV ndo inaonyesha,TBC na ITV zipo kwenye list ila hazifungui.nipo Iringa nipe na bei za hizo accounts
 
Mwl.RCT

Verified Member
Joined
Jul 23, 2013
Messages
8,410
Points
2,000

Mwl.RCT

Verified Member
Joined Jul 23, 2013
8,410 2,000
...mkuu natumia qsat g15t account avatarcam,nimebakiza siku 20 kuexpire .Ni account gan nzuri,channel hazisramble.....
 • Chukua CCcam account
 • Kama nafasi ya kifedha inaruhusu weka zote a1star CCcam pamoja na Tv1 CCcam hapo ni hakika utafurahia QSAT Q15 yako
......decoder ina option account avatarcam na DQCAM je naweza kutumia tofaut na hizo?
 • Zipo option nyinge
 • Click MENU >> XCAM setup >> SHARING - Hapo kuna option ya kuweka CCcam account
pia nilitaka kujua channels za kibongo nitazipataje hapa star TV ndo inaonyesha,TBC na ITV zipo kwenye list ila hazifungui.nipo Iringa nipe na bei za hizo accounts
 • Kwa local channel zote nakushauri, pata dish la futi sita, Utafungiwa LNB mbili, hii ni option ya kwanza
 • LNB moja itakuwa maalumu kwa ajiti ya kufungua PAYTV
 • Na LNB ya pili utasetiwa ili kupata Local channel zote
 • Na huu ndio uzuli wa hii QSAT kwamba unatumia kupata Local Channel na Paytv Channel
nipo Iringa nipe na bei za hizo accounts
mkuu natumia qsat g15t account avatarcam,nimebakiza siku 20 kuexpire .Ni account gan nzuri,channel hazisramble.decoder ina option account avatarcam na DQCAM je naweza kutumia tofaut na hizo? pia nilitaka kujua channels za kibongo nitazipataje hapa star TV ndo inaonyesha,TBC na ITV zipo kwenye list ila hazifungui.nipo Iringa nipe na bei za hizo accounts
 
LUNYASI

Senior Member
Joined
Nov 27, 2011
Messages
164
Points
225

LUNYASI

Senior Member
Joined Nov 27, 2011
164 225
 • Chukua CCcam account
 • Kama nafasi ya kifedha inaruhusu weka zote a1star CCcam pamoja na Tv1 CCcam hapo ni hakika utafurahia QSAT Q15 yako

 • Zipo option nyinge
 • Click MENU >> XCAM setup >> SHARING - Hapo kuna option ya kuweka CCcam account

 • Kwa local channel zote nakushauri, pata dish la futi sita, Utafungiwa LNB mbili, hii ni option ya kwanza
 • LNB moja itakuwa maalumu kwa ajiti ya kufungua PAYTV
 • Na LNB ya pili utasetiwa ili kupata Local channel zote
 • Na huu ndio uzuli wa hii QSAT kwamba unatumia kupata Local Channel na Paytv Channel

Mwl RCT naomba unisaidie,nina receiver Speed HD S1,nimeweka account mbili yaani A1 Star na TV1 cccam lakini naona freezeing zimezidi sana.Hakuna siku nikaangalia japo bila freeze za mara kwa mara.Tatizo linaweza kuwa ni nini?
 
Mwl.RCT

Verified Member
Joined
Jul 23, 2013
Messages
8,410
Points
2,000

Mwl.RCT

Verified Member
Joined Jul 23, 2013
8,410 2,000
Mwl RCT naomba unisaidie,nina receiver Speed HD S1,nimeweka account mbili yaani A1 Star na TV1 cccam lakini naona freezeing zimezidi sana.Hakuna siku nikaangalia japo bila freeze za mara kwa mara.Tatizo linaweza kuwa ni nini?
 • Unatumia connection ipi katika internet?
 
Mwl.RCT

Verified Member
Joined
Jul 23, 2013
Messages
8,410
Points
2,000

Mwl.RCT

Verified Member
Joined Jul 23, 2013
8,410 2,000
Natumia 3G,na mara moja sana huwa natumia GPRS.Lakini GORS naona yenyewe ndiyo haifanyi vizuri hata kidogo
 • Kwa TV1 huwa siyo stable wakati wa jioni na usiku - Hili ni tatizo la muda kidogo kwa watumiaji wote wa Tv1 cccam
 • Pia kwa siku za week end wakati wa live matches pia TV1 cccam haiko stable sana.
 • Kwa a1star tatizo limeanza jana usiku, soon litakuwa solved.
 • KARIBU
 
Mwl.RCT

Verified Member
Joined
Jul 23, 2013
Messages
8,410
Points
2,000

Mwl.RCT

Verified Member
Joined Jul 23, 2013
8,410 2,000

Specifications

1.TWIN:DVB-S2 HD Receiver and GPRS Adapter
2.GPRS:GPRS Adapter/GPRS RS232 software upgrade
3.SAT:DVB-S2 Receiver

Main Features

1. Accounts embedded, all channels free for 1 year

35.9°E : more than 200 DSTV programs
22.0°W : Canalsat
19.2°E : Astra
Nilesat : JSC and other channels

2. IKS through GPRS(need no external dongle) or 3G networking .

3. Support cccam,newcam,avatarcam.

Interface

⊃2; HD OUT*1

⊃2; USB 2.0 *2

⊃2; ETHERNET*1 (10/100Mbit)

RCA*1 (YPbPr/CVBS/A-L/A-R)

⊃2; CA card slot *1

⊃2; SIM slot *1

⊃2; RS232*1

Net Application

⊃2; Support YouTube, YouPorn.

⊃2; Support N32 Game.

⊃2; Support Yupoo,Picasa

⊃2; Support Google map

⊃2; Support Yahoo Weather.
Chanzo| Mwl.RCT
 
Mringo

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2010
Messages
304
Points
195

Mringo

JF-Expert Member
Joined Jun 23, 2010
304 195
Ahsante Mwl.RCT
Uzi huu umekua wa msaada mkubwa.. Je nikiwa na hiyo best hd 4u, nawezaje kupata free channel za kibongo,
Na ukiweka hiyo software upgrade inaathiri information za account iliyokwisha wekwa..
Nipo maeneo ya dodoma
 
Last edited by a moderator:

Mwl.RCT

Verified Member
Joined
Jul 23, 2013
Messages
8,410
Points
2,000

Mwl.RCT

Verified Member
Joined Jul 23, 2013
8,410 2,000
Je nikiwa na hiyo best hd 4u, nawezaje kupata free channel za kibongo,
>> Ndio yawezekana kupata local channel zote, waweza kutumia dish kubwa kwa C-BAND au Dish dogo kwa KU

Na ukiweka hiyo software upgrade inaathiri information za account iliyokwisha wekwa.
>> Hii software update haito athiri information za account iliyopo

Nipo maeneo ya dodoma
>> Maelekezo jinsi ya kuipata BEST HD4U kwa wakazi wa mikoani CLICK HAPA
Ahsante Mwl.RCT
Uzi huu umekua wa msaada mkubwa.. Je nikiwa na hiyo best hd 4u, nawezaje kupata free channel za kibongo,
Na ukiweka hiyo software upgrade inaathiri information za account iliyokwisha wekwa..
Nipo maeneo ya dodoma
 
Mtali

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2011
Messages
2,677
Points
2,000

Mtali

JF-Expert Member
Joined Aug 7, 2011
2,677 2,000
Samahani Mr. Mwl.RCT baada ya upgrade inaunganisha modems automatically au bado lazima uconect manually?
 
Last edited by a moderator:

Mringo

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2010
Messages
304
Points
195

Mringo

JF-Expert Member
Joined Jun 23, 2010
304 195
Ili niweze kupata FTA zilizoko Amos 5, kama star movie n.k...natakiwa niweke lnb gani?, nina dish la 6ft na decorder ya best hd 4u, Mwl.RCT
 
Last edited by a moderator:

Mringo

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2010
Messages
304
Points
195

Mringo

JF-Expert Member
Joined Jun 23, 2010
304 195
Mwl.RCT nimefunga Ku na kupata channel zote za continental, the big challenge nikua zinakwama kwama, sio ku_scratch bali picha na sauti vinakwamakwam tu huwezi kusikia kabisaa kinachozungumzwa, ni channel zote... Any idea please help
 
Last edited by a moderator:

Mwl.RCT

Verified Member
Joined
Jul 23, 2013
Messages
8,410
Points
2,000

Mwl.RCT

Verified Member
Joined Jul 23, 2013
8,410 2,000
Mwl.RCT nimefunga Ku na kupata channel zote za continental, the big challenge nikua zinakwama kwama, sio ku_scratch bali picha na sauti vinakwamakwam tu huwezi kusikia kabisaa kinachozungumzwa, ni channel zote... Any idea please help
 
Forum statistics

Threads 1,366,831
Members 521,570
Posts 33,378,825
Top