Jipatie Qsat Q23G HD satellite FTA receiver

Jipatie Qsat Q23G HD satellite FTA receiver

Ni karibu wiki tatu sasa hizi account za ccam hazifanyi kazi hawa jamaa wanaishia kutuambia anytime anytime zitakua online.....at the same time wanasahau kwamba katika kila account muda wa hizo a/c kuisha 7naenda tu bila kupata service yoyote........

Mkuu hawa jamaa ni wahuni kazi yao ni kufariji watu tu lakini ni utapeli mtupu.
 
Update: Kwa watumiaji wa A1 & Tv1
  1. Ni kweli kuna "up & Down" katika ufanisi wa server zote mbili kwa wiki hii.
  2. Wakati wowote kuanzia sasa zote A1 na Tv1 zitarudi katika hali ya kawaida kama awali.
  3. "By time" huduma zote zitarejea , subira na uvumilivu ndio kinachotakiwa.
  4. Wasiliana nami kwa namba 0784 496 856 [Muda 0500Hr - 2030Hr/7]wakati wowote kufahamu status ya account yako.
  5. Kama pia unahitaji kupata CCcam account server nyingine ili utumie sambamba na Tv1 au A1 wasiliana nami kwa ufafanuzi. Miezi sita ni TSH 75'000 tu

[QUOTE
=LUNYASI;11892055]Aisee hiyo solution atakayotoa na imani na mimi itanisaidia sana.Maana hata mimi ni imegoma kabisaaa
[/QUOTE]

Mwl kwa maoni yako unataka mtu awe na account ngapi?Kwasababu mimi binafsi ninazo zote mbili yaani A1 na TV1 na zote hazifanyi kazi.Halafu bado naona unasema unaweza kununua nyingine!!!Hapo ndiyo ninaposhangaa bila kikomo
 
A1 & Tv1 ni combination iliyokamilika. Account mbili zinatosha

Hakuna sababu ya kuchukua account nyingine.

Ila kwa wakati huu ambapo Tv1 na A1 zina shida, kuna cccam server mbili ambazo hazikupata matatizo yaliyotokea kwa Tv1 na A1 wiki hii.

Nipigie 0784 496 856
 
In stock

3 Month Cccam for tsh 65'000

6 Month Cccam for tsh 75'000

QSAT Q23G for TSH 230'000

QSAT Q26G for TSH 250'000

SPEED HDS1 for.TSH 230'000

BEST HD4U for TSH 260'000

AONE for TSH 260'000

Contact

0784 496 856, Skype: mw1rct , whatsapp: +255 784 496 856

Karibu
Mzigo upo nipigie sasa
 
  • sI KWELI KUWA NI WIKI TATU
  • Hata watumiaji wengine wa Tv1 CCcam & A1 CCcam ni mashahidi katika hili.
  • Ila kama kwa wewe hujapata huduma kwa hizo wiki tatu fanya hima wasilianan nami tuangalie tatizo la account yako.
  • Unaweza kunipigia 0784 496 856
  • KARIBU

mimi ni mtumiaji wa tv1.......matatizo h
ya hizi ser er n wa offline yameanza kujitokeza tokea tar31 saa mbili usiku since then server zmekua on and off but tokea last 15days server hamna kitu.....sasa kwa mm nliepoteza zaidi ya wiki 2 bila service yoyote DO U THINK ITS FAIR.........mkipigiwa simu kila cku mnakuja na visingizio cjui anytime server zitakua on....mara sijui mafund wanafanya marekebisho STORY NYING HADI TUSHAWACHOKA
 
Upo sahihi kabisa NOT FAIR

Je hii huduma ulipata kwangu ama kwa mwingine.?

Kama ulipata toka kwangu. Nipe username ya account yako ya Tv1 !

Na je kwa sasa ungependa nini kifanyike?

Ni vyema na ni busara kuweka wazi nini unahitaji toka kwangu na uone response yangu ni ipi katika utatuzi wa shida yako.

Unapojibu zingatia hayo maswali yangu

Ahsante na Karibu
 
Mkuu server yangu ni q-sat q13g na cccam lakin ipo dsconnected user ni tvone1634 sio mzoefu hapa nasoma ilivo hapa expite bado siku 195 niko tayar kuchangia ghalama za msaada tafadhali
 
User ni tvone1634
> Hii account ipo kwenye range ya account ambazo muda wake umeisha January 2015
> Hakikisha tarehe uliyoanza kutumia
> BTW tv1 kwa sasa iko offline

Nasoma ilivo hapa expite bado siku 195
> Hizo ni siku zilizobakia kwenye Account yako ya AvatarCam HD
> Waweza tumia iwapo unakuwa connected

Niko tayar kuchangia ghalama za msaada tafadhali
> Hakuna ghalama yeyote itozwayo kwa swala kusaidiana na kupeana hints ya nini cha kufanya kuhusiana na IKS Decorder au Accounts utumiayo
> Iwapo umeangalia Tarehe uliyoanza kutumia account yako, Na kubaini kuwa muda wake umeisha.
> Unaweza kupata account mpya ya CCcam kwa ghalama ya TSH 75'000 tu kwa miezi sita (6)
> Karibu
Mkuu server yangu ni q-sat q13g na cccam lakin ipo dsconnected user ni tvone1634 sio mzoefu hapa nasoma ilivo hapa expite bado siku 195 niko tayar kuchangia ghalama za msaada tafadhali
 
QSAT Q26G - MPEG4 full hd (1080p) IKS GPRS Decoder kwa ajiri ya FTA Local Channel , DST* & CANAL
>> Inapatikan kwa TSH 250'000

>> Kwa walio mikoani Utatumiwa kwa njia ya Basi

>> Wasiliana nami sasa sms/call/whatsapp # +255 784 496 856

post2.jpg

mwalimu uwajulishe hao wachina wawe wanafidia siku.Manake mpaka ipike miez 6 nitakuwa nimepoteza zaidi ya mwez nipo off. waangalie utaratib wa kufidia
 
mwalimu uwajulishe hao wachina wawe wanafidia siku.Manake mpaka ipike miez 6 nitakuwa nimepoteza zaidi ya mwez nipo off. waangalie utaratib wa kufidia

Tuko pamoja, wakati wa ku renew account nikumbushe kuhusu hili.
 
F_Q26_G_20150110_141615.jpg

Call 0784 496 856 ili kupata QSAT Q26G
 
Mwl RCT mi natumia Qsat15G na test account ya Cccam lakini inakata sana tatizo itakuwa nini? Na je Qsat15G inaweza tumia modem gani?
 
Test account ya Cccam
> Je ni test account kwa Server ipi?

Tatizo itakuwa nini?
> Je ni shared test account au ni single user test account?
> Majibu ya hayo maswali mawili yatatoa jibu tatizo itakuwa nini.

Na je Qsat15G inaweza tumia modem gani?
> Modem za kutumia ni HUAWEI c1220 , E153, E173, E303
> Pia ZTE MF190

KARIBU
Mwl RCT mi natumia Qsat15G na test account ya Cccam lakini inakata sana tatizo itakuwa nini? Na je Qsat15G inaweza tumia modem gani?
 
Asante sana Mwl RCT, hii test account ni shared ila kwa bahati mbaya server sitoitaja kwa sababu za "kibiashara" nawasilisha!
 
Hii test account ni shared
> Ni kawaida kwa shared account kutokuwa stable
> Pata official single user account ili ufurahie channel zinazofunguka kwa hiyo cccam server

Sitoitaja kwa sababu za "kibiashara" nawasilisha

> Tukoa pamoja ,
> Karibu sana
Asante sana Mwl RCT, hii test account ni shared ila kwa bahati mbaya server sitoitaja kwa sababu za "kibiashara" nawasilisha!
 
Mwl.RCT mi nina receiver Aina ya STRONG 4930L HD,Ina DVB S2 Na dvr,MPEG4,HDMI,Sehem mbili za card,na flash,je inaweza pata hizo Canaly na EUTESAT 36/A
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom