mkuu kuna muda inapita mpaka masaa mawili picture hakuna , tena toka Jana nilivyobadili password kustak kumezidi, yani haivushi nusu saa.sasa sijui tatizo nn kwan status inakuwa connected vzr
shukrani mwalimu ushauri wako wa kubadili line niliufanyia Kaz, sasa inablaze sio mchezo, stay blessed