Jipatie Qsat Q23G HD satellite FTA receiver

Jipatie Qsat Q23G HD satellite FTA receiver

Avatacam wako hewani. Ila ss3 bado haipatikani. Hizi nyingine ziko stable sana.

Wakati wa live match ss3 tumia Max1, the same match huonyeshwa.

Na Max1 inafunguka vizuli katika AvatarCam.
 
KWA WATEJA WAPYA
- BEI YA QSAT Q23G ni TSH 230'000 - Ina account ya AvatarCam ya mwaka mmoja itakayokuwezesha kupata DST* bure mwaka mzima

- BEI YA QSAT Q26G ni TSH 250'000 - Hii ina account ya SPYCAM itakayokiwezehsa kufungua DST* bure kwa miezi sita, na pia utaweza kufungua channel za CANALSAT 22W bure kwa miezi sita.

QSAT Q26G - inauwezo wa kuwekewa Avatarcam (baada ya kufanya software update) , CCCAM, NEWCAM na pia ina edit BISS KEY

SPEEDCAM, SPYCAM na AVATARCAM ndio account pekee zilizo ONLINE kwa sasa.

Wasiliana nami kwa namba: 0784 496 856 au 0717 54 57 62

KARIBU
 
Kwass wateja wako tunaotumia TV 1 UNATUAMBIA KUHUSU KUPATA HIYO AVATARCAM?
Nitawapa discount iwapo tu malipo yatafanyika leo kabla ya saa 22:30hrs.

Nitawauzia AVATARCAM account ya miezi sita(6) kwa TSH 35'000 badala ya bei yake ya kawaida ya TSH 45'000

Namba za Malipo
- Tigo 0717 54 57 62
- AirTel 0784 496 856

KARIBU
 
je naweza share box 1 katika tv nyingine, eg ktk extra view ya D*stv, nimeona ktk picha decoder yako ina lnb out.
Jipatie Digital MPEG4, Full HD (1080p) Decorder - Zenye uwezo wa kufungua Local FTA Channel, CANALSAT na DSTV Bure - Bila malipo ya Kila Mwezi
Aina za MPEG4 Full HD Decorder zilizopo :
post1.jpg

QSAT Q26G[SUP]New!![/SUP] TSH 250'000/-

>> Ni MPEG4, Full HD, DVB-S2, GPRS/3G - IKS Digital Satellite Receiver

>> Ina account ya miezi sita "SPYCAM" -inayofungua Eutelsat 36E |Channel Line-up |, Pamoja na canalsat 22w | Channel Line-up |

>> Pia unauwezo wa kuweka account yeyote ya cccam mfano: TV1 CCcam, A1 Cccam etc

>> Waweza itumia kama FTA receiver hivyo ukapata Local Channel Zote hapa Amos 5 17.0°E|Free TV from Tanzania - LyngSat |Ikiwa ni pamoja na CHANNEL TEN, TBC1, CLOUDS TV, STARTV, EMANUEL TV, Capital TV, EATV, ITV n.k

>> Utapata IPTV Channel [ inatakiwa internet ya 3G ]
q26jfready.jpg
BEST HD4U - TSH 260'000
>> Ina account ya mwaka mmoja ya TV1 CCcam [Server 1] inayofungua Channel za DSTV Eutelsat 36E |Channel Line-up |

>> Ina account ya mwaka mmoja ya ZAP CCcam [Server 2] inayofungua Channel za ZAP EutelSat 35.9E |Channel Line-up |

>> Server mbili tofauti zinakuhakikishia kuwa "ON Air" muda wote.

>> Utapewa BURE 3G HUAWEI MODEM

>> Waweza itumia kama FTA receiver hivyo ukapata Local Channel Zote hapa Amos 5 17.0°E|Free TV from Tanzania - LyngSat |
hos93ek9luu23njso0wj.jpg
ALL IN ONE - TSH 260'000 A-ONE AONE HD GPRS DVB-S2 Satellite Receiver
>> one year free account for:

>> 36.0E Eutelsat 36B DSTV

>> 68.5E Intelsat 20 DSTV South Africa

>> 22.0W SES-4 Canalsat Afrique

>> Suppport cccam, newcam etc

>> Support IPTV

>> Call now for Price +255 784 496 856 and get ALL IN ONE as family XMAS & NEW YEAR GIFT
m_SAM_0216.jpg


QSAT Q23G TSH 230'000 >> QSAT Q23G ni receiver ya mpeg 4 HD

>> Ina account ya mwaka mmoja AVATACAM HD - Eutelsat 36E |Channel Line-up |

>> Waweza itumia kama FTA receiver hivyo ukapata Local Channel Zote hapa Amos 5 17.0°E|Free TV from Tanzania - LyngSat |

>> Utapata IPTV zaidi 150 ikiwemo BEINSPORT 1 - 15

plvtewhdbhnb95c70hm7.jpg

SPEED HD S1 TSH 230'000
>> Inakuja ikiwa na account ya canalsat 22w | Channel Line-up | ya mwaka mmoja bure

>> Waweza kuweka Account zingine uzipendazo kama avatacamhd, tv1 cccam au a1star cccam.

Speed_1.jpg


BEI YA HIZI MPEG4 DECORDER:
1. QSAT Q23G @ TSH 230'000 T
2. QSAT Q26G[SUP]New[/SUP]TSH 250'000
3. SPEED HD S1 @ TSH 230'000
4. BEST HD4U - TSH 260'000
5. ALL IN ONE - TSH 260'000

JINSI YA KUPATA DECORDER HIZI:
1. Pay & Pick on Spot - Kwa wakazi wa Dar Es Salaam na
2. Wale wa mikoani utatumiwa kwa njia ya basi na utalipia zaidi TSH 10'000 ya kusafirishia

SIFA ZA JUMLA ZA HIZI Mpeg4 Full HD (1080) Digita Satellite Receivers

  1. Zinakuwezesha kufulahia channel zaidi ya channel 300 bure ikiwa hii ikiwa ni pamoja na Channel za Soka, Filamu, Documentary, Habari, Muziki, Filamu za Kihindi na bila kusahau channel za katuni kwa watoto.
  2. Weza unga internet kwa kutumia (1) 3G NERTWORK (2) LAN INTERNET (3) GPRS. (4) WIFI NERTWORK [ Inatakiwa uwe na wireless adapter]
  3. Waweza kutembelea site kama YOUTUBE, REDTUBE, YOUPORN kwa kutumia receiver hizi.
  4. Zinakuwezesha kuangalia IPTV Channel, tv zaidi 150 katika ubora wa HD
  5. Kwa ufupi zinafungua full premium package za PayTv kama dstv, canalsat, beinsport, n.k - Kutegemeana na Account utakayoweka

BEI YA ACCOUNT KWA AINA ZOTE ZA IKS DECORDER


3 Month CCcam TSH 55'000
6 Month CCcam TSH 75'000
12 Month CCcam TSH 120'000

AINA ZA ACCOUNT ZILIZOPO

1. CLINE - CCCAM SERVER [Viz. BestCamHD , Tv1, Killer, A1 ]
2. NLINE - NEWCAM SERVER [Viz. Azsky NewCam ]

JE KUNA KITU HUJAELEWA USISITE KUWASILIANA NAMI

MAWASILIANO
mawasiliano.png

HUDUMA NYINGINE






Kwa watumiaji wa cccam, wakati wowote ukipata tatizo

  1. Angalia internet connection kama ipo active/ inactive Bonyeza Menu >> Settings >> Ethernet Config >> Config >> Link /Shut Down
lGnPkb

2. Anaglia status ya CCCam account je ipo Connected / Disconnected

80wPRh

KARIBU
 
je naweza share box 1 katika tv nyingine, eg ktk extra view ya D*stv, nimeona ktk picha decoder yako ina lnb out.
>> Ndio inawezekana

>> The same channel itaonekana katika Tv zote mbili.

>> QSAT Q26G itakufaa

>> Karibu 0784 496 856 / 0171 54 57 62
 
AVATARCAM CODE

- Zipo kwa ghalama ya TSH 45'000

- Ni account ya muda wa miezi sita (6)

- Bei ya offer imeisha jana saa 22:30

- Tuko pamoja. KARIBU
Nitawapa discount iwapo tu malipo yatafanyika leo kabla ya saa 22:30hrs.

Nitawauzia AVATARCAM account ya miezi sita(6) kwa TSH 35'000 badala ya bei yake ya kawaida ya TSH 45'000

Namba za Malipo
- Tigo 0717 54 57 62
- AirTel 0784 496 856

KARIBU
 
AVATARCAM CODE

- Zipo kwa ghalama ya TSH 45'000

- Ni account ya muda wa miezi sita (6)

- Bei ya offer imeisha jana saa 22:30

- Tuko pamoja. KARIBU
Mi naona hata AvataCam nayo ni miyeyusho tu. Kukatika ni kama kawa. NOT STABLE AT ALL. Kama Cccam hairudi ni vema kutojihangaisha na hiyo Avata. Hivi kwa nini tusiwe wakweli jamani.??
 
Mi naona hata AvataCam nayo ni miyeyusho tu. Kukatika ni kama kawa. NOT STABLE AT ALL. Kama Cccam hairudi ni vema kutojihangaisha na hiyo Avata. Hivi kwa nini tusiwe wakweli jamani.??

Facts kuhusiana na AVATARCAM
- Ni default account ya Qsat
-Siyo stable - Na kila.mtumiaji wa QSAT analitambua.hili, NA NDIO SABABU WATUMIAJI WENGI (kama si wote) wa qsat waliweka OFF AVATARCAM na kununua CCCAM ambayo ni aghali ukilinganisha na avatarcam
- Katika matangazo yetu yote ya IKS accounts tulikuwa hatupendekezi AVATARCAM kutokana na kufahamika UDHAIFU WAKE
- Sababu tulikuwa na account bora zaidi za CCCAM

KUFIKIA TAREHE 25 FEB 2015
- Account zote za IKS decoder ZOTE zilikuwa OFFLINE
- Hakuna nwenye IKS decoder alikuwa na alternative
-Ni baada ya siku TATU (3) avatracam ikarejea hewani.

JE NINI KIFANYIKE
- Je ni.kweli kwamba tusitumie avatarcam eti kwa sababu inakata?
- Jibu ni hapana TUTAENDELEA KUTUMIA AVATARCAM mpaka pale CCCAM account zitakapo rejea
- Uzuli ni kuwa mtu ananunua Account ya avatarcam AKIWA ANAFAHAMU UDHAIFU NA MAPUNGUFU YA AVATAR na AMEWAHI itumia
- HUO NDIO UKWELI na hakuna mtu aliye elezwa uongo kuhusiana na avatarcam.

TUKO PAMOJA karibu ndugu rushanju
 
Last edited by a moderator:
sijaona account ambayo ni stable, cha muhim ni kuwa na accont mbili.avatarcam na cccam.Ila ukiwa na account mbili zote za CCCAM likitoketokea tatizo kubwa kama lililopo hautakuwa hewani. CCCAM account na back up ya avartacam ndio chaguo langu
 
Nitawapa discount iwapo tu malipo yatafanyika leo kabla ya saa 22:30hrs.

Nitawauzia AVATARCAM account ya miezi sita(6) kwa TSH 35'000 badala ya bei yake ya kawaida ya TSH 45'000

Namba za Malipo
- Tigo 0717 54 57 62
- AirTel 0784 496 856

KARIBU
Advantage ya kutumia avatarcam ni nini? Ina kitu gani special?
 
Mwl.RCT tunaomba ufafanuzi. Ni lini Acc za Cccan zitafufuka? ( Cc Njunwa wa Mavoko)
 
Mi naona hata AvataCam nayo ni miyeyusho tu. Kukatika ni kama kawa. NOT STABLE AT ALL. Kama Cccam hairudi ni vema kutojihangaisha na hiyo Avata. Hivi kwa nini tusiwe wakweli jamani.??

Kiukweli huyu mwl crt uwongo ni sehemu ya biashara yake,humo kwenye uwongo ndio anapopata hela.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom