Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,891
- 155,890
Kipi Kipimo cha imaniWaweza kuvaa yoyote ikiwa imani yako kwa mungu ni thabiti mkuu...
Rakims
Sent from my SM-G530H using JamiiForums mobile app
Kipi Kipimo cha imaniWaweza kuvaa yoyote ikiwa imani yako kwa mungu ni thabiti mkuu...
Rakims
Sent from my SM-G530H using JamiiForums mobile app
Na yesu ni Mungu?Kaka umetoa elimu nzuri tu ila sasa hiyo miungu yote inaweza kuvutika ukifata masharti lakini huyu Yesu ni habari nyingine havutiki kirahisi yaan hata hayo masharti uliyoweka hayawezi kumvuta yaan ana nguvu hakuna mfano shetani mwenyewe kwa Yesu ni sisimizi tu yaan Yesu havutiki kwa ushirikina
Ndiyo Yesu ni MunguNa yesu ni Mungu?
Niambie ndoto moja unayoikumbuka nikufasilie,
Rakims
Kwa maelezo yako mkuu hii ndoto inaonyesha wewe una majini huwa yanakuja kukutembelea na yanataka kukuzoesha ili uwe karibu kimawasiliano nao ila ukizidi kuweka hivi public huwa hawapendi hivyo watakuondokea na ungesema rangi specific ya huyo ndege basi ningekupa maana yake kiundani zaidi ukiwahadithia watu wawili watatu live wanaokuona huwa inapunguza makali ya ndoto hizi kama huitaji ujamaa na viumbe hao basi hadithia lakini yule mwenye mwili mweusi wangekua ni wabaya angekudhuru na wakati umemshika mtoto wao ungemchinja basi ungezurika nafsi yako ndio iliproject na kuyashuhudia hayo...Niliota nimekamata Ndege sio Ndege kama popo vile lakini wakubwa kidogo nimemkamata mmoja wao ndani ya Chumba changu na walikuwa wengi waka kimbia nikabahatika kumkamata mmoja.Nikakielekea kisu changu ili nikakiadhibu hicho kiumbe lakini wakati nnapiga hatua kuelekea kuchukua kisu Dirishani nikasikia Sauti ikinihusia nisikifanyie jambo baya kile kiumbe tena sauti ya upole sana na yenye unyenyekevu mkubwa.
Kile kiumbe kilikuwa kikiniangalia tu na kujitahidi kujitoa ktk mikono yangu lakini kilishindwa ,basi nafsi yangu ikakionea huruma nika kiachia kikakimbia speed ya ajabu kutoka dirishani..Baada kile kiumbe kukimbia ile sauti iliyokuwa ikinisihi sikuisikia tena ila alijitokeza Mtu Mwanaume mweusi tii na mwenye uso mpana kwel kwel ktk Dirisha pale pale ilipo kuwa ikitoka sauti na Mtu yule alinitizama kama sekunde tano akaishia zake..
Ajabu ya hii Ndoto baada ya yule Mtu kuondoka nilistuka kutoka usingizini lakini nilikuwa niki hema isivyo kawaida na jasho lilikuwa likinitoka..Baadhi ya Ndoto huwa nnaota lakini sistuki ila ni chache tu ndio huwa zinanistua mpaka nnaamka..
Ukweli ni kuwa mim ni Mtu wa mazoezi hasa ya kubeba vyuma na ni kweli nnacho Kisu(sio cha kukatia vitunguu)..
Nnatanguliza Shukrani Mkuu..
Kwa maelezo yako mkuu hii ndoto inaonyesha wewe una majini huwa yanakuja kukutembelea na yanataka kukuzoesha ili uwe karibu kimawasiliano nao ila ukizidi kuweka hivi public huwa hawapendi hivyo watakuondokea na ungesema rangi specific ya huyo ndege basi ningekupa maana yake kiundani zaidi ukiwahadithia watu wawili watatu live wanaokuona huwa inapunguza makali ya ndoto hizi kama huitaji ujamaa na viumbe hao basi hadithia lakini yule mwenye mwili mweusi wangekua ni wabaya angekudhuru na wakati umemshika mtoto wao ungemchinja basi ungezurika nafsi yako ndio iliproject na kuyashuhudia hayo...
Rakims
Mkuu wanaweza wakawa na faida lakini pia wanaweza wakawa na hasara kukufuatilia hawajatumwa na mtu hao huenda walikuja kuchezea kwako ndio astral body yako ikaamka na kumkamata mmoja kwa kuhisi ni kitoweo hali ya kuwa siyo, swali lako kuhusu tunatafsiri vipi ndoto hata wewe unaweza ukatafsiri ikiwa upo vizuri katika kukielewa kitabu cha imani yako na ukiwa mfuatiliaji wa ndoto za wengi kwa jinsia zao pia kwa kuthibitisha maana za ndoto ndio unaweza kutafsiri mara nyingi ndoti huwa zinakuja kinyume na asili ya ndoto huwa zinatoka sehemu moja kati ya hizi tatu...Na hawa Majini kwani wanapata faida gani kutafuta ujamaa na Binadamu ?..
Ni nani anawatuma ?.......au wanajituma ?
Vitu hivi tunavyo vipata ktk Ulimwengu wa Roho vina maanisha ktk Ulimwengu halisi utapatwa na kitu gani kibinadamu ?..
Na kwa nini wanichague mimi ?
..
Na wenzetu mnatumia nini kutafsiri Ndoto ?.
Samahani kwa maswali mengi Mkuu.
Mkuu wanaweza wakawa na faida lakini pia wanaweza wakawa na hasara kukufuatilia hawajatumwa na mtu hao huenda walikuja kuchezea kwako ndio astral body yako ikaamka na kumkamata mmoja kwa kuhisi ni kitoweo hali ya kuwa siyo, swali lako kuhusu tunatafsiri vipi ndoto hata wewe unaweza ukatafsiri ikiwa upo vizuri katika kukielewa kitabu cha imani yako na ukiwa mfuatiliaji wa ndoto za wengi kwa jinsia zao pia kwa kuthibitisha maana za ndoto ndio unaweza kutafsiri mara nyingi ndoti huwa zinakuja kinyume na asili ya ndoto huwa zinatoka sehemu moja kati ya hizi tatu...
1: ndoto inayotoka kwa mwenyezi mungu
2: ndoto inayotoka kwa nafsi/jini/shetani
3: ndoto inayotoka ubongoni
Hii yako inatoka kwenye aina ya pili sasa ukijua ndoto ya muhusika inatoka wapi kati ya hizo sehemu tatu ndio unaanzia kuifasiri hapo
Rakims
Chunguza maisha yako ya kila siku kila unalofanya lipi linahusiana na wao, ndio wanakufuata kupitia hiloMkuu hawa viumbe sitaki hata kuwasikia ,na ni kwa nini waijaribu nafsi yangu ?..
Ni kitu gani hasa wamekiona ni cha tofauti kwangu mpaka watake ujamaa na mimi ?..
Asante kwa majibu..
Chunguza maisha yako ya kila siku kila unalofanya lipi linahusiana na wao, ndio wanakufuata kupitia hilo
Rakims