Jinsi ya kupata majibu ya swali lolote kirahisi ndotoni

Kiongozi Rakims mi nakuelewa sana yan naona najifunza kitu kikubwa sana kila ninapokutana na thread yako yoyote ile nakuombea usichoshwe na hawa wafuuzi wanaokurupuka kudakia mambo bila ya kuyatafakal mwisho nikutakie kila rahel katika kutuelimisha tunaoitaji kuelimishwa ili tuelimike .....

May Allah bless you for This ....
Shukran sana na mungu akuongoze kuelewa kirahisi zaidi
 
Mkuu Rakims juz nmeota nasukuma gari pick up nyeupe ndani ya mto, mama yangu alikua ndani ya gari...gari inazama kwenye maji mama yupo ndani wakati huo kuna sauti ya kicheko kwa pembeni. Nikafanikiwa kulitoa gari kwenye MTO kwa kusukuma tuu, nilivyolitoa nikaingia ndani nikaliendesha kupanda kamlima kwan MTO upo chini kidogo, nilivyomaliza kamlima nikashuka, ile kushuka tu nikaokota 5000. What does it mean? Kesho yake yani Jana nikaenda bank nikijua hamna pesa lkn niliweza kutoa 5000
 
Mkuu Rakims juz nmeota nasukuma gari pick up nyeupe ndani ya mto, mama yangu alikua ndani ya gari...gari inazama kwenye maji mama yupo ndani wakati huo kuna sauti ya kicheko kwa pembeni. Nikafanikiwa kulitoa gari kwenye MTO kwa kusukuma tuu, nilivyolitoa nikaingia ndani nikaliendesha kupanda kamlima kwan MTO upo chini kidogo, nilivyomaliza kamlima nikashuka, ile kushuka tu nikaokota 5000. What does it mean? Kesho yake yani Jana nikaenda bank nikijua hamna pesa lkn niliweza kutoa 5000
Sio ndoto mbaya hii inaonyesha utafanikiwa baada ya kumpigania mama yako kimaisha kama bado yupo hai japokua wapo watu watakuona mshamba au mjinga kuwa karibu na mama yako watahisi unajipa mzigo kumlea ila baraka zake zitakuinua sana kwa mengi,
Lakini kama hayupo hai basi jibidiishe kumuombea alale salama alipo na mwenyezi mungu amsamehe makosa yake aliyoyafanya katika maisha yake aliyowahi kuyatubu na aliyoyasahau, pia mkuu ndoto ya kuokota pesa kisha ukaipata ileile sio ndoto nzuri kwa maana umeokota mkosi na pia jitahidi uutoe mkosi huo kwa maana kwenye ndoto yako huo ndio mtihani wako,

Rakims

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi kuna vitu huwa nikiota vinatokea kweli,na vingine huwa najitabiria vinatokea,,naambiwaga ntakuwa mganga wa kienyeji Mungu anisaidie sitaki kabisa
 
Nyingine niliota nachungulia kisima kirefu balaaa mpk nikawa naogopa kuchungulia nikiwa nimesimama ikabidi nilale ndio nichungulie ht hvyo ckuona mwisho wake ila akatokea binamu yangu akaniambia niache woga akaanza kuingia kisimani huku mm nikimuonya aache kufanya hvyo!! Hii maana yake nn

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyingine niliota nachungulia kisima kirefu balaaa mpk nikawa naogopa kuchungulia nikiwa nimesimama ikabidi nilale ndio nichungulie ht hvyo ckuona mwisho wake ila akatokea binamu yangu akaniambia niache woga akaanza kuingia kisimani huku mm nikimuonya aache kufanya hvyo!! Hii maana yake nn

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ndoto yako hata mm imewahi nitokea sana, kuna wakati natumbukia ndani ya shimo refu lisilo onekana mwisho wake, gafla nashtuka usingizini..
 
Mi kuna vitu huwa nikiota vinatokea kweli,na vingine huwa najitabiria vinatokea,,naambiwaga ntakuwa mganga wa kienyeji Mungu anisaidie sitaki kabisa
mtu kuwa mediumship sio lazima uwe mganga wa kienyeji unaweza kuwa hata baba paloko au babu shekhe,
 
halo mkuu nimetoa kuna mtu kani jerui jeraha kubwa sana kichwani kiasi kwamba ninasubiri tu kufa sasa nikashituka wakatai nina daí bima yangu ya maisha ili Jamii yangu iweze fidiwa .

ukweli nilipo shituka nilijikuta na maumivu makali sana kichwani nikasali sana nini maana yake
 
halo mkuu nimetoa kuna mtu kani jerui jeraha kubwa sana kichwani kiasi kwamba ninasubiri tu kufa sasa nikashituka wakatai nina daí bima yangu ya maisha ili Jamii yangu iweze fidiwa .

ukweli nilipo shituka nilijikuta na maumivu makali sana kichwani nikasali sana nini maana yake
hiyo ni ndoto ya ubongo, sometimes brain tricks our thought to videos when we sleep, kwa hiyo hiyo ni thinking to haina effect kwenye spiritual world..

Rakims
 
Habari Jamiah,
Mliopo kwenye Jamii inteligence, ifuatayo ni aina mpya ya akili ningependa na nyinyi pia muifahamu ili muweze kufanikiwa mengi kupitia njozi zenu...

Ndoto:
fa17d1b448958716091899df13c4ad85.jpg

Sipo hapa kuzungumzia ndoto ni kitu gani ila nitazungumzia jinsi ya kuzitumia katika mambo ya faida nitawafundisha njia tatu za kutumia ndoto kwa atakae hitaji zingine ataniona Pm
Kawaida njozi zinakuja kwa njia tatu,

1: Kutoka kwa aliyekuumba (Allah,God,Jehova,budha,vyovyote unavyomtambua wewe)
fe08740f56bf92e2e1d465aff1ba5e93.jpg


2: Kutoka kwa anayekuvuruga
(Satan,devil,demon,lucifa,dajal, ibilis, jini wako au wa rafiki yako,pepo vyovyote unavyomjua
91c1ec5f6d924bc58b70b7351ca2cb00.jpg


3: Kutoka kwa kinachokufanya uishi katika kila hali
(Ubongo,akili,mawazo,hisia vyovyote pia unavyotambua
c8ecad5005fecbf7396ceebdce1239dd.jpg


Hivyo kwa ujio huo unaweza kutumia njia nyepesi na sahihi kupata kutoka katika mmoja kati ya hao niliowataja hapo kila kimoja katika elimu ya ndoto huja kwa nafasi na saa yake na kwa utaratibu na masharti yake mfano ukikaa uchi gizani chumbani peke yako usiku saa za mmoja kati ya hao watatu basi utakuwa umekaribisha kimoja kati ya hivyo vitatu kwa tabia ya uchi...

Nikiwa na maana kwamba mfano:

1: Umelala uchi saa ya mwenyezi mungu kuabudiwa huku kuna taa imewaka basi ukiota ndoto iliyotoka kwa mungu utajiona upo sehemu ya ibada ukiwa uchi au wenzio wanasali na kuimba hali ya kuwa wewe unacheka na kutembea ukiwa huna nguo zote au moja,

2: ukilala uchi saa ya shetani gizani anazunguka basi unakuwa umekaribisha ndoto za shetani alieuchi hii mara nyingi hutokea shetani wazinzi, kama hujawahi ota hii ndoto basi fanya maandalizi hayo itakujia bila shaka...

3: kama umelala uchi gizani au kwenye mwanga saa za ubongo wako basi basi utaota unavua nguo au kuvaa nguo

Waweza kujaribu leo ukipata majibu njoo na mrejesho hii ni recall to kuhusu njozi sasa twende kwenye jambo husika

jinsi ya kupata majibu ya swali lolote kupitia pande hizo tatu swali
920b1cfd400450e5666fb3ef8f941a0c.jpg


Ikiwa unataka kupata majibu ya swali lako kutoka katika pande hizo tatu waweza kupata kwa njia zifuatazo ila nitatoa moja tu as an offer lakini zingine malipo,

Kunakupata majibu sehemu zote hizo tatu kwa kupitia dini uliopo hata kama huna dini nitaweka hapa moja tu ambayo inatumika kwa watu wote

Jinsi ya kupata majibu ya swali lako kwa saa za Mwenyezi mungu na kutoka kwa mwenyezi mungu...

Jinsi ya kufanya:
Itizame siku kwa imani na itizame saa kwa imani yako

Kwa Muislam:
Mfano siku ya leo ni jumamosi usiku wa leo utawala wa shetani unakuwa hauna nguvu saa Saba na saa tisa usiku waweza kulala ukiwa msafi kusubiri hiyo saa ifike kisha ukaamka na kuanza zoezi hili

*vaa vazi la kijani au jeupe
*shika udhu kisha rudi ndani *toa shahada kisha nuia kupata majibu ndotoni ya swali lako uliza swali hilo hadi uhisi kulengwa na machozi ya uchungu
*swali hilo likuzunguke kichani chukua karatasi nyeupe andika jina la mwenyezi mungu Yaa Nuru ya rulail ya alimu hadi karatasi nzima ijae kwa Marker ya kijani andika mara saba kisha soma na uulize tena kisha upulize karatasi hiyo, kunja mara mbili weka chini ya mto vaa kanzu lala sema tena ya nuru ya rulail ya alimu ulieniumba naomba unijibu swali hili liandike ingawa sio lazima kwa chini...
76f91c60b62579b2d58ac94199a6264f.jpg



Kwa christian
*anza kwa kutaja jina la yesu mara saba huku baada ya maandalizi ya usafi waweza kunawa uso ukisema najitakasa na maji haya kwako jehova au Jesus au Yesu naomba unisikie kiliochangu baba
*vaa vazi jeupe
*kisha piga magoti kama unasali mikono umeifunga sali sala ya baba wa mbinguni
*kisha sema swali lako kumuuliza mungu au yesu akuongoze na akutangulie zoezi zima hadi uhisi roho inakuuma machozi yanakulenga ndio unandike chini ya karatasi nyeupe kwa wino wa kijani jina la yesu au jehova au jesus mara saba karatasi ijae kisha chini rudia swali lako na useme niongoze mungu jibu hili,

3: kwa asie na dini

amka muda wowote iwe anarule satan au mungu au ubongo safisha mwili usiwe na manii au mkojo kisha andika swali lako hadi roho ikuume na uhisi machozi yanalenga kwa wino wa kijani andika swali lako chora pentacle moja juu weka nafsi kushoto juu weka moto kulia weka maji chini kushoto weka upepo kulia weka udongo kwa maandishi ya makapeni za rangi husika mfano udongo rangi ya ugoro...
Kisha lala...
29e3a94d7c4514085b7527dd3876c624.jpg


Majibu mtayoyapata leteni hapa tushare na wanabodi...


Ikimbuke hizi ni saa za siku ya jumamosi tu yaani leo...

Uzi utakao fuata taelekeza jinsi ya kumtumia mtu ndoto

b50386d2814d87eaeebecf6604f154c3.jpg



Rakims
We jamaaa mganga au
 
Back
Top Bottom