Jinsi ya kupata majibu ya swali lolote kirahisi ndotoni

Nilichogundua mie hapa ni kwamba hayo uliyoeleza kama mtu akifanya humpelekea kupata ndoto za aina hiyo ya tatu,kwa maana humfanya mtu apate ndoto yenye kuhusiana na hilo jambo lake kwa sababu ndio kitu ambacho amekuwa akikiwaza na kukirudiarudia kukitaja mara nyingi hadi kulala kwake. Hivyo naweza kusema ni suala la ubongo tu au mawazo kuelekeza huko na ndipo hukufanya kuota ndoto yenye kuhusiano na hilo jambo.
Umeelewa vizuri mkuu lakini hii sio part inayohusu kutrick ubongo kuota kitu unachotaka
 
Back
Top Bottom