Jinsi ya kupata majibu ya swali lolote kirahisi ndotoni

Mkuu Rakims kwanza nakupongeza kwa somo zuri na uvumilivu wako kwa majibu ya watu wanaodhani wanajua sana kumbe hawajui kitu. Binafsi nakuelewa sana hakuna ushirikina hapo ila ni teknik ya kuingia katika ulimwengu wa roho kupata majibu ya maswali. Hata kusali pia ni teknik ya kuingia ktk ulimwengu wa roho na kufanya mambo kadha wa kadha.
Kwa wale wasiojua ni kwamba kila jambo unaloliona limetokea leo lilishafanyika muda mrefu ktk ulimwengu wa roho. Ndio maana kuna wakti unaweza kujaaliwa kuona mambo yajayo ktk ndoto na kweli baada ya miezi au hata miaka yakatokea.
Uzuri ni kwamba jambo kama bado liko ktk ulimwengu wa roho unawza kulibadili ndio maana tunasali au wengine wakiota ndoto mbaya wanaenda kwa waganga. Asante mkuu
 
Mkuu watu hawatizami mambo kwa marefu na mapana ndio maana kila jambo wanaona uchawi halafu hii ni jamii forum tizama wengi waliomo humu ni kama watu unaopishana nao barabarani au mtaani kwa hiyo kila mtu anamatatizo katika fahamu zake ukichukulia jamii forum kwa mapana utaona kuwa huo tumejikusanya na vichaa pia tunajaribu kuwarudisha majumbani kwao so it need time mkuu ila nakupa hongera pia kwa kujitambua

Rakims
 
Hizo hatua za kufuata halafu usiku....... Fanyeni mje kutupa majibu
 
HUU NI USHIRIKINA .
Kwani wewe humjui huyu mleta mada ni nani?Yuko hapa kuwafundisha watu ushirikina kidogo kidogo na kwa jinsi ambavyo watu wanashida wengi wanamtafuta wakidhani wamejificha.Mbaya zaidi they say they are Christians and muslims.Shetani hajalala,na anatumia watu kupata watu wa kwenda naye jehanamu.
 
mkuu fundisho hili nimewahi kusoma sehemu
na kuna mahali pameandikwa usiku wa manane between sa7 had 9 ni wakati ambapo Mwenyezi Mungu huwa karibu na kusikiliza maombi na kuyajibu kwa haraka tofauti na mchana io iko vp kwa upande wako
[HASHTAG]#rakims[/HASHTAG]
 
ipo sahihi mkuu
 
Kiongozi Rakims mi nakuelewa sana yan naona najifunza kitu kikubwa sana kila ninapokutana na thread yako yoyote ile nakuombea usichoshwe na hawa wafuuzi wanaokurupuka kudakia mambo bila ya kuyatafakal mwisho nikutakie kila rahel katika kutuelimisha tunaoitaji kuelimishwa ili tuelimike .....

May Allah bless you for This ....
 
Back
Top Bottom