Jinsi ya kupata majibu ya swali lolote kirahisi ndotoni

Nyingine niliota nachungulia kisima kirefu balaaa mpk nikawa naogopa kuchungulia nikiwa nimesimama ikabidi nilale ndio nichungulie ht hvyo ckuona mwisho wake ila akatokea binamu yangu akaniambia niache woga akaanza kuingia kisimani huku mm nikimuonya aache kufanya hvyo!! Hii maana yake nn

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo ni jini ambaye ulienae alikukumbia kisimani au anatokea kisimani, itafikia sehemu utaota umekaa kwnye udongo unaongea peke yako,
 
Mtu akiota ndoto kua yupo Uchi, mana yake ni nini?
Wewe ni dini gani?
Ikiwa ni Muislamu mara nyingi ndoto hiyo ni sawa na mtu ambaye anafanya ibada hali ya kuwa hazitii ndio maana unaonekana upo uchi kiroho

Rakims
 
mi nataka niwe naota nambandua irene uwoya kwa wiki nzima je nifanyeje,wiki nyingine nataka niote nambandua wolper hivyo hivyo mpaka niwamalize wote
 
mi nataka niwe naota nambandua irene uwoya kwa wiki nzima je nifanyeje,wiki nyingine nataka niote nambandua wolper hivyo hivyo mpaka niwamalize wote
Nenda kwenye thread hii walishaelezea hilo


Rakims
 
Mkuu naomba tafsiri ya hii ndoto

Nimeota nimekaa kwenye mkondo wa maji upana zaidi ya barabara ya kupishana mabasi matatu,n
Nipo na mwanamke tunapiga story ghafla maji yakaanza kuja yakafika tulipokaa ikabidi tusimame huku tunaendelea na story.
Baada ya muda nikagundua maji yanaongezdka kwa kasi na yatatuletea madhara ikabidi nimshike yule mwanamke tukaanza kuondoko kuelekea ukingoni,wakati huo maji yameshafika size ha kifuani.
Tulivyofika ukingoni akatokea mtu kutusaidia(simjui) tukatoka salama huku maji yakiwa mengi sana.
Baada ya hapo nikamchukua yule mwanamke tukaenda mtaani kutembea kupoteza muda ili maji yapungue turudi kuchukua vitu vyetu,tulizunguka mtaani wakati wa kurudi tukapita kwenye uwanja kuna kama bonanza watu wengi magari mengi mazuri nikasakimiana na watu wawili(nawafahamu),tukaendelea na safari yetu huku nimemshika kiuno yule mwanamke,tulivyorudi pale kwenye maji tulikuta watu wengi,maji yamepungua wengine wanaokoa vitu kwenye maji,mimi nikapewa viatu vyangu..
Ndoto ikaishia hapo
 
Kwann mada nyingi unaongelea ritual huoni kwa ufupi ivo unahatarisha maisha ya watu. Nadhan kuelekeza, kumuelekeza mtu jinsi ya kutymia akili yake both body and spirit is better vitu vingine atajifunza tu mwenywe
 
Kwann mada nyingi unaongelea ritual huoni kwa ufupi ivo unahatarisha maisha ya watu. Nadhan kuelekeza, kumuelekeza mtu jinsi ya kutymia akili yake both body and spirit is better vitu vingine atajifunza tu mwenywe
Kila mtu atachagua anachotaka wala sifundishi kundi la watu moja wa aina fulani

Rakims
 
Pole sana, ni ishara ya kusalitiwa katika mipango yako ya maisha ya kimwili

Rakims
1.Kuna siku niliota niko mazingira ya shuleni tunafanya sherehe/mahafali ila mimi ni mtu mzima,hii ina maana gani mkuu?
2.Lakini kuna siku nyingine niliota niko kwenye mazingira ya shule na wanafunzi wengine lakini baadae ghafla mazingira yanabadilika nakuwa niko mazingira ya kazini na wafanyakazi wengine,hii ina maana gani mkuu?
 
Kaka umetoa elimu nzuri tu ila sasa hiyo miungu yote inaweza kuvutika ukifata masharti lakini huyu Yesu ni habari nyingine havutiki kirahisi yaan hata hayo masharti uliyoweka hayawezi kumvuta yaan ana nguvu hakuna mfano shetani mwenyewe kwa Yesu ni sisimizi tu yaan Yesu havutiki kwa ushirikina
Ni nini maana ya ushirikina kwa mujibu wa ukristo?
 
Nilichogundua mie hapa ni kwamba hayo uliyoeleza kama mtu akifanya humpelekea kupata ndoto za aina hiyo ya tatu,kwa maana humfanya mtu apate ndoto yenye kuhusiana na hilo jambo lake kwa sababu ndio kitu ambacho amekuwa akikiwaza na kukirudiarudia kukitaja mara nyingi hadi kulala kwake. Hivyo naweza kusema ni suala la ubongo tu au mawazo kuelekeza huko na ndipo hukufanya kuota ndoto yenye kuhusiano na hilo jambo.
 
Habari Jamiah,
Mliopo kwenye Jamii inteligence, ifuatayo ni aina mpya ya akili ningependa na nyinyi pia muifahamu ili muweze kufanikiwa mengi kupitia njozi zenu...

Ndoto:
fa17d1b448958716091899df13c4ad85.jpg

Sipo hapa kuzungumzia ndoto ni kitu gani ila nitazungumzia jinsi ya kuzitumia katika mambo ya faida nitawafundisha njia tatu za kutumia ndoto kwa atakae hitaji zingine ataniona Pm
Kawaida njozi zinakuja kwa njia tatu,

1: Kutoka kwa aliyekuumba (Allah,God,Jehova,budha,vyovyote unavyomtambua wewe)
fe08740f56bf92e2e1d465aff1ba5e93.jpg


2: Kutoka kwa anayekuvuruga
(Satan,devil,demon,lucifa,dajal, ibilis, jini wako au wa rafiki yako,pepo vyovyote unavyomjua
91c1ec5f6d924bc58b70b7351ca2cb00.jpg


3: Kutoka kwa kinachokufanya uishi katika kila hali
(Ubongo,akili,mawazo,hisia vyovyote pia unavyotambua
c8ecad5005fecbf7396ceebdce1239dd.jpg


Hivyo kwa ujio huo unaweza kutumia njia nyepesi na sahihi kupata kutoka katika mmoja kati ya hao niliowataja hapo kila kimoja katika elimu ya ndoto huja kwa nafasi na saa yake na kwa utaratibu na masharti yake mfano ukikaa uchi gizani chumbani peke yako usiku saa za mmoja kati ya hao watatu basi utakuwa umekaribisha kimoja kati ya hivyo vitatu kwa tabia ya uchi...

Nikiwa na maana kwamba mfano:

1: Umelala uchi saa ya mwenyezi mungu kuabudiwa huku kuna taa imewaka basi ukiota ndoto iliyotoka kwa mungu utajiona upo sehemu ya ibada ukiwa uchi au wenzio wanasali na kuimba hali ya kuwa wewe unacheka na kutembea ukiwa huna nguo zote au moja,

2: ukilala uchi saa ya shetani gizani anazunguka basi unakuwa umekaribisha ndoto za shetani alieuchi hii mara nyingi hutokea shetani wazinzi, kama hujawahi ota hii ndoto basi fanya maandalizi hayo itakujia bila shaka...

3: kama umelala uchi gizani au kwenye mwanga saa za ubongo wako basi basi utaota unavua nguo au kuvaa nguo

Waweza kujaribu leo ukipata majibu njoo na mrejesho hii ni recall to kuhusu njozi sasa twende kwenye jambo husika

jinsi ya kupata majibu ya swali lolote kupitia pande hizo tatu swali
920b1cfd400450e5666fb3ef8f941a0c.jpg


Ikiwa unataka kupata majibu ya swali lako kutoka katika pande hizo tatu waweza kupata kwa njia zifuatazo ila nitatoa moja tu as an offer lakini zingine malipo,

Kunakupata majibu sehemu zote hizo tatu kwa kupitia dini uliopo hata kama huna dini nitaweka hapa moja tu ambayo inatumika kwa watu wote

Jinsi ya kupata majibu ya swali lako kwa saa za Mwenyezi mungu na kutoka kwa mwenyezi mungu...

Jinsi ya kufanya:
Itizame siku kwa imani na itizame saa kwa imani yako

Kwa Muislam:
Mfano siku ya leo ni jumamosi usiku wa leo utawala wa shetani unakuwa hauna nguvu saa Saba na saa tisa usiku waweza kulala ukiwa msafi kusubiri hiyo saa ifike kisha ukaamka na kuanza zoezi hili

*vaa vazi la kijani au jeupe
*shika udhu kisha rudi ndani *toa shahada kisha nuia kupata majibu ndotoni ya swali lako uliza swali hilo hadi uhisi kulengwa na machozi ya uchungu
*swali hilo likuzunguke kichani chukua karatasi nyeupe andika jina la mwenyezi mungu Yaa Nuru ya rulail ya alimu hadi karatasi nzima ijae kwa Marker ya kijani andika mara saba kisha soma na uulize tena kisha upulize karatasi hiyo, kunja mara mbili weka chini ya mto vaa kanzu lala sema tena ya nuru ya rulail ya alimu ulieniumba naomba unijibu swali hili liandike ingawa sio lazima kwa chini...
76f91c60b62579b2d58ac94199a6264f.jpg



Kwa christian
*anza kwa kutaja jina la yesu mara saba huku baada ya maandalizi ya usafi waweza kunawa uso ukisema najitakasa na maji haya kwako jehova au Jesus au Yesu naomba unisikie kiliochangu baba
*vaa vazi jeupe
*kisha piga magoti kama unasali mikono umeifunga sali sala ya baba wa mbinguni
*kisha sema swali lako kumuuliza mungu au yesu akuongoze na akutangulie zoezi zima hadi uhisi roho inakuuma machozi yanakulenga ndio unandike chini ya karatasi nyeupe kwa wino wa kijani jina la yesu au jehova au jesus mara saba karatasi ijae kisha chini rudia swali lako na useme niongoze mungu jibu hili,

3: kwa asie na dini

amka muda wowote iwe anarule satan au mungu au ubongo safisha mwili usiwe na manii au mkojo kisha andika swali lako hadi roho ikuume na uhisi machozi yanalenga kwa wino wa kijani andika swali lako chora pentacle moja juu weka nafsi kushoto juu weka moto kulia weka maji chini kushoto weka upepo kulia weka udongo kwa maandishi ya makapeni za rangi husika mfano udongo rangi ya ugoro...
Kisha lala...
29e3a94d7c4514085b7527dd3876c624.jpg


Majibu mtayoyapata leteni hapa tushare na wanabodi...


Ikimbuke hizi ni saa za siku ya jumamosi tu yaani leo...

Uzi utakao fuata taelekeza jinsi ya kumtumia mtu ndoto

b50386d2814d87eaeebecf6604f154c3.jpg



Rakims
Dah hapa unaweza kuta unajitoa kafala pasipo kujijua 😂😂
 
Back
Top Bottom