Habari za wakati huu wana wa JamiiForums ?
Kwanza kabisa tumshukuru mungu kwa kutufikisha siku ya leo ya mwisho wa mwaka tukiwa wazima wa afya na wale wenye maradhi na matatizo mbalimbali basi tunaomba mungu aweze kuwafanyia wepesi na kuwaponya.
Mada yangu ya leo naomba naomba kujua kwa wanaofahamu au kwa maafisa walio shirika la TRA ni qualification gani zinazohitajika ili mtu aweze kupata kazi kwenye Shirika la TRA namaanisha
1. Course anayotakiwa kusoma
2. Wastani wa gpa
3. Jinsi ya kuomba nafasi ya kazi
Nashukuru nasubiri kuona majibu yaliyo sahihi