Jinsi ya kupata majibu ya swali lolote kirahisi ndotoni

Ujio wa mungu mbi
Kuna aya za mwenyezi mungu ambazo ukizisoma unapata majibu ndotoni pia nimeelekeza simple trick ya kupata majibu lakini wewe umesahau kua kuna watu mchana hawana muda wa kufanya ibada kutokana na mazingira na hali halisi inamlazimu mtu kukwepa ibada, na kwa nini sala za usiku zikapewa uzito na mwenyezi mungu, kwa sababu yeye huja mbingu za karibu hapo na kuskiliza wenye kumuomba akawajibu, mwenye kuona inamfaa atajifunza kitu mwenye kuona ni ushirikina basi hajui hata maana halisi ya neno shirikina,

Rakims

Sent from my SM-G530H using JamiiForums mobile app
ujio wa mungu mbingu za chini ni metaphors tu, hakuna sehemu inayommiliki, zimepewa uzito ukiwa mtu wa ibada, tatizo watu wanaendeshwa na pesa ndio maana wanapuuza sala, hakuna sala yenye uzito kama sala za fardhi tena hasa ya Alfajiri, swali sala za usiku mpk utakufa lakini km unapuuza sala tano pepo utaisikia jina tu.
 
Ushirikina wa wazi kabisa ,sijui mnafaidika nini na hizi shiriki, na ramli
Ukitanguliza jina la mungu wako mlezi hakuna cha ushirikina na ukimtaja yeye anajua kama unamuabudu yeye nashangaa wewe hujui hata jinsi ya kuabudu kuna sehemu nimesema mungu tofauti na Mwenyezi mungu?
Acha kukurupuka mkuu soma thread nzima ndio uanze kuquote

Rakims
 
mmmh hv hii elimu inapatkana shule zp!? je ina chet km hii yetu y duniani? maan aya mamb m nayapenda sana
 
Jf inazingua siku hizi, wapuuzi ni wengi sana! Mtu yuko tayari apinge post ya mtu Bila hoja ili mradi tu ameandika
 
mmmh hv hii elimu inapatkana shule zp!? je ina chet km hii yetu y duniani? maan aya mamb m nayapenda sana
Ndio zipo lakini kwa Tanzania hapa takudanganya we follow nyuzi zangu utajifunza kitu japo kwa uchache,

Rakims
 
Jf inazingua siku hizi, wapuuzi ni wengi sana! Mtu yuko tayari apinge post ya mtu Bila hoja ili mradi tu ameandika
Halafu ukitizama kilichozungumziwa na quote yake ni vitu viwili tofauti ukiacha kumcomment anaona hufahamu kitu mkuu,
Na hata jukwaa linalomfaa kukaa hajui,
Mradi kaona mada anachangia ili awekwe labda expert member

Rakims
 
Halafu ukitizama kilichozungumziwa na quote yake ni vitu viwili tofauti ukiacha kumcomment anaona hufahamu kitu mkuu,
Na hata jukwaa linalomfaa kukaa hajui,
Mradi kaona mada anachangia ili awekwe labda expert member

Rakims
I appreciate you brother, mpaka leo kuna marafiki wa kweli niko nao na wewe ndo ulinikutanisha nao

Logic
 
Ingekua hivyo manabii wote musa,yakobo..wangekua wanafanya
Halafu mungu hana masharti hayo mkuu!
Panga data zako vizuri......,...
kwa hyo mitume na manabii walifanya hayo? kwa imani yangu mimi haiko hivyo mkuu mm naamini ni ushirikina huo
 
Back
Top Bottom