Graph
JF-Expert Member
- Jul 20, 2016
- 2,735
- 6,170
Ni mpumbavu pekee yake anaweza kuamini kuwa umaskini wa Mwafrika umesababishwa na mzungu.
Japan na South Korea tulikua sawa kiuchumi miaka ya sabini, walikua na opportunity sawa na sisi wakasomesha wananchi wao, wakainvest sana kwenye elimu na technology, leo hii ni giants. Tulianza pamoja ila sisi tuko palepale alafu tunalaumu wazungu 😂.
Naweza laumu pia politicians maana wamewajaza watanzania ushenzi kichwani, kila kitu utasikia mabeberu, its an easy way out.
Hata mi naishi nje wazazi wananisumbua kila siku niwe makini na wazungu, nawaambia nimeishi nje miaka zaidi ya 10 bila shida hivi hawajajifunza kitu tu? Hii view waliyonayo ipo kichwani mwao tu hakuna mtu ana muda nao, we are so not important kiasi kwamba hakuna anayekaa kutufikiria ni sisi tu tunawafikiria wao sana