Jinsi wazungu wanavyotuwazia

Jinsi wazungu wanavyotuwazia

Ukirudi nyuma kidogo katika enzi za utumwa, jamaa walichukua ndugu zetu wenye nguvu na maarifa yetu yaliangamizwa, nadhani shida imeazia huko
Ila sisi WAAFRIKA Sijui tuna laana gani sababu katika kila jambo la maendeleo sisi tupo mwisho kuanzia Elimu, sayansi, miundombinu, uchumi nk. Yani Dahhh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
_110850533_gettyimages-1055482354.jpg

Hakuna haja ya kulalama sana kwa hali hii
 
Waafrika walikuwepo miaka milioni na wataendelea kuwepo miaka milioni ijayo. Tumeshaoa na kuolewa na wazungu . Misaada yote haiwezi kuwa na nia ovu. Kama wangekuwa na hayo mawazo hata wewe hungezaliwa


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkiambiwa kama una shida ya uzazi tumia miti shamba wabishi, mnapanga appointment tu na kisha mnajikaanga kwa bidhaa zao mabeberu, mwishowe ndio watu kibao hawana uzazi wa kueleweka wanaishia kukanyagana kwa wachunga kondoo (wachungaji
Tafadhali itazame hii video imetumika lugha ya kiingereza, mimi sio mtafsiri mzuri pia.

Ila kwa kifupi jamaa kaongelea lengo la wamarekani kuwa, kwa muda mrefu serikali ya marekani yaani toka enzi za Kissinger, wamarekani wamekuwa na LENGO LA KUTUPUNGUZA IDADI sisi wa Africa na HAWATAKI TUJITAMBUE NA KUTUMIA RASIRIMALI ZETU kwa FAIDA ya mataifa yetu.

Hivyo kwa mantiki hiyo, napata mashaka sana na misaada yao hasa katika sekta ya AFYA, yaani CHANZO tunazopewa kuna uwezekano mkubwa tunapandikizwa magonjwa yanayopelekea sisi waafrika kushindwa kuzaliana VIZURI.

Dawa nyingi tunazopewa hasa katika miradi yao, kama Bill Gates foundation, Bill Clinton na wengineo inapaswa kuangaliwa kwa jicho PEVU.

Wasomi wetu ifike mahali wafanye tafiti za kutosha kulisaidia bara letu. WAZUNGU hawatupendi, na hakuna kitu wanatoa kama MSAADA, ambao ni BURE, lazima wanamalengo mapana.

Ikiwezekana, MIRADI yote, ichunguzwe, hata haya mambo wanaita HAKI ZA BINADAMU ni UPUUZI, kwani ndani yake ndio kuna ushoga na uchafu mwingi. Yote haya yanadidimiza nguvu ya uzalishaji barani mwetu.

Africa imetupasa kusimama pasipo kutegemea hawa jamaa. Najua ni mchakato, ila tunaweza. HAWATUPENDI.

CHUKUA TAHADHALI jilinde na Corona.

Nakaribisha wajuvi wa mambo watusaidie, mimi sio mwandishi mahili.

View attachment 1410600

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Congo wanakubali wafanyiwe test chanjo za corona wakati italy ndio ingekuwa ya kwanza kufanyiwa test. Yaani kwenye tatizo hawaangalii wanakuja kuleta mdudu mpya congo,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivyo kwa mantiki hiyo, napata mashaka sana na misaada yao hasa katika sekta ya AFYA, yaani CHANZO tunazopewa kuna uwezekano mkubwa tunapandikizwa magonjwa yanayopelekea sisi waafrika kushindwa kuzaliana VIZURI.
Umeishia darasa la ngapi wewe?
 
Okay ila kwanini propaganda nyingi wanaleta ili kutugawa umoja wetu? Unajuwa ile kitu wanaitaga divide and rule?

Huoni makundi ya uasi DUNIANI huasisiwa na wao? #isis na makundi mengine ya uasi huko middle East. Je Africa?
Waafrika walikuwepo miaka milioni na wataendelea kuwepo miaka milioni ijayo. Tumeshaoa na kuolewa na wazungu . Misaada yote haiwezi kuwa na nia ovu. Kama wangekuwa na hayo mawazo hata wewe hungezaliwa


Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila tafadhali, uyatafakari maandishi yangu, na katika usomi wako, kumbuka somo la historia, kumbuka waafrika wenye nguvu walivyopelekwa utumwani, angalia akina Luther King walivyo uawa,na wote waliokuwa wanawaamsha ndugu zao waafrika walivyotendewa.

Angalia hata Bob Marley walivyo muangamiza. Angalia mzee Mugabe alivyo letewa propaganda achukiwe na wananchi wake, wakati alikuwa anajali maslahi ya Africans. Ni mengi yatafakari msomi
Pole sana huna tofauti na wale waliokua wakiita watu wa red cross nyonya damu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila tafadhali, uyatafakari maandishi yangu, na katika usomi wako, kumbuka somo la historia, kumbuka waafrika wenye nguvu walivyopelekwa utumwani, angalia akina Luther King walivyo uawa,na wote waliokuwa wanawaamsha ndugu zao waafrika walivyotendewa.
Achana na alfu ulela ulela,uluwahi kusikia wapi mwanahistoria kawa tajiri kwa ajili ya kuhadithia mavi ya kale
Nenda kachanjwe utakufa
 
Tuache ujinga WaAfrica kwa kujitetea na sababu za kipumbavu kwa kuuhami na kuulinda ujinga wetu... Sisi WaAfrica ni wapumbavu ambao tumeshindwa kila kitu halafu tunajitetea kwa sababu fake za kumsingizia mkoloni ilihali mkoloni alitawala China, India, Taiwan, Hongkong, Australia, Canada, Brazil, Singapore, Malysia nk..

Msingi wa maendeleo duniani kote unajulikana ni kufanya kazi kwa bidii, kuacha kuendekeza upumbavu kama ngono, ulevi, wizi, unafiki, uchawi nk, kutafuta elimu na teknolojia na kuitumia nk..Hivyo vyote tumeshindwa halafu tunatafuta sababu za kipumbavu kutetea ujinga wetu... TUACHE UPUMBAVU NA UJINGA..
 
Fake news written by stupid people, level za gwajima hizi. Bill and Melinda gates foundation wanajishughulisha na mambo mengi sana na madawa yao yameisaidia sana africa zaidi ya unavyofikiria, wamepunguza vifo vya mimba kwa asilimia kubwa, wamepunguza vifo vya malaria kwa asilimia kubwa mno, wao ndiyo sababu unapata madawa mengi kwa bei nafuu, na kwa taarifa yako hawatengenezi madawa, wao wanasaidia watengeneza madawa wanawapa pesa ili wafanye research au wapunguze bei maana hatuwezi kununua.

Nimekutana na watu wanaofanya kazi kwenye hii foundation hadi watanzania wapo na waafrika wengi hasa wanigeria, usidhani wamejaa wazungu tu wanaotaka kutuua, infact idadi ya wazungu ni ndogo mno.

Mkiandika kitu mjitahidi kuja na fact na data za kusupport upuuzi wenu sio kusoma udaku blog za wajinga mnakuja kutujazia server bure we na gwajima wako. Njoo na data na mimi nikuonyeshe data za matatizo ambayo wamesolve miaka yote toka waanzishe hiyo institution.
 
Back
Top Bottom