Jinsi wazungu wanavyotuwazia

Jinsi wazungu wanavyotuwazia

Lakini wazungu wanatumia propaganda kutugawa
Wakulaumiwa sio wao ni wale wanaokubali kuuziwa silaha na kuchonganishwa,chokochoko za Vita Africa wasabibishi ni watawala wa kiafrica kung'ang'ia madaraka na kutoheshimu katiba zao hivo upelekea kuibuka kwa vikundi vya waasi au Vita.Swali mbona ulaya wao awapiganishwi au kuchonganishwa kama Africa? Jibu ni kwa sababu wanna mifumo ya haki ya usawa ya uongozi.Yaani wananchi wao wanaongozwa na viongozi wawatakao,na viongozi wao wanaangalia maslai ya wananchi wao na sio yao binafsi kama ilivo Africa.Kilichommaliza Ghadafi ni kutowaunganisha watu wake kwa kuamini nguvu ya dola ambayo ni sawa na mabua mbele ya nguvu ya umma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unafikiri tatizo ni upingufu kutoka kwa wasomi wetu kuhusu matatizo yetu?
Kwamba viongozi katika bara hili mpaka leo hawajui chanzo cha matatizo na umaskini wetu?!
Tafadhali itazame hii video imetumika lugha ya kiingereza, mimi sio mtafsiri mzuri pia.

Ila kwa kifupi jamaa kaongelea lengo la wamarekani kuwa, kwa muda mrefu serikali ya marekani yaani toka enzi za Kissinger, wamarekani wamekuwa na LENGO LA KUTUPUNGUZA IDADI sisi wa Africa na HAWATAKI TUJITAMBUE NA KUTUMIA RASIRIMALI ZETU kwa FAIDA ya mataifa yetu.

Hivyo kwa mantiki hiyo, napata mashaka sana na misaada yao hasa katika sekta ya AFYA, yaani CHANZO tunazopewa kuna uwezekano mkubwa tunapandikizwa magonjwa yanayopelekea sisi waafrika kushindwa kuzaliana VIZURI.

Dawa nyingi tunazopewa hasa katika miradi yao, kama Bill Gates foundation, Bill Clinton na wengineo inapaswa kuangaliwa kwa jicho PEVU.

Wasomi wetu ifike mahali wafanye tafiti za kutosha kulisaidia bara letu. WAZUNGU hawatupendi, na hakuna kitu wanatoa kama MSAADA, ambao ni BURE, lazima wanamalengo mapana.

Ikiwezekana, MIRADI yote, ichunguzwe, hata haya mambo wanaita HAKI ZA BINADAMU ni UPUUZI, kwani ndani yake ndio kuna ushoga na uchafu mwingi. Yote haya yanadidimiza nguvu ya uzalishaji barani mwetu.

Africa imetupasa kusimama pasipo kutegemea hawa jamaa. Najua ni mchakato, ila tunaweza. HAWATUPENDI.

CHUKUA TAHADHALI jilinde na Corona.

Nakaribisha wajuvi wa mambo watusaidie, mimi sio mwandishi mahili.

View attachment 1410600

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kilichotokea Libya ni matokea ya huo ujinga wa mwafrica,Mwafrica ukimpa bunduki anaenda kuua ndugu zake, kwani akwilina kauwawa na mzungu? Mzungu aliwauzia bunduki akina Magufuli then wanaitumia kweli kweli kuwawinda watanzania,husikii wakisema hawajsribiwi? Wameshika bunduki waliyopewa na mzungu.
hujijui
 
Nakubaliana na mzungumzaji. Ndiyo maana mabeberu wako busy kuhakikisha kuwa hatuongezeki ili tutumie ipasavyo rasilimali tulizonazo kuendelea. Idadi ya watu ni moyo wa maendeleo ya nchi
Wanamchukia Sana JPM kwa kusema tuzaliane kwa wingi....Kuna research moja iliwahi kufanyika mkoa mmoja (siwezi kuutaja) miaka ya 80 kuhusu chanjo kwa watoto wa kike...dah...matokeo yake yanatisha na yaliwekwa kabatini kwa haraka
 
Unafikiri tatizo ni upingufu kutoka kwa wasomi wetu kuhusu matatizo yetu?
Kwamba viongozi katika bara hili mpaka leo hawajui chanzo cha matatizo na umaskini wetu?!

Sent using Jamii Forums mobile app
Viongozi wa kiafrica kwao ni salama zaidi kutawala masikini kuliko matajiri,kumbuka bara la Africa ndilo liongozalo kuwa na madikteta 80% ya dunia utokea Africa.Udikteta na umasikini ni pacha hakuna maendeleo kwenye udikteta bali kuna propaganda ( upikwaji data). Umasikini wa Africa umefanywa makusudi na watawala ili watu watawaliwe kirahisi.Hivo si kwamba awajui chanzo Bali watawala ndio chanzo cha umasikini wetu
 
Lakini mkuu, ukimtafuta kiongozi kama katibu mkuu wizara ya habari na mawasiliano, ukakaa nae na kumpa mawazo yako mazuri, I believe mtafikia mahali pazuri.

Binafsi napenda nchi yangu isonge, ningependa kuona projects zikianzishwa na kufanikiwa

Don't give up so easily, share mawazo yako, utapata wataofuta nyayo zako mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimtafute kumwambia kua wafanyakazi hawataki kupokea simu? 😂 Uvivu wa watu nitakaua naenda kureport ambapo hapahusiki. Ningependa kuona mindset ya watu wengi inabadilika sio kufanya kazi kama tunalazimishwa.

Nenda immigration siku moja jifanye unaenda hata kuomba passport utapokelewa ka nyani, unaenda badala ya kuambiwa karibu unahitaji nini unasikia ehee sema shida tena kwa sauti ya dharau. Huu ujinga wafanyakazi wangu wote nimewaambia I don’t tolerate, either you do your job kwa moyo moja au usepe. I do pay way more kuliko wangefanya same work sehemu nyingine.
 
Kuna siku nimeenda kununua TV mahali, nikawakuta wadada Kama 5 hivi, lakini hawakuonyesha kujali kabisa! Kila mmoja alikuwa busy na simu, I was mad kwa kweli, nikajitahidi kujikaza nikauliza bei, wakanijibu.

Wakati nafanya negotiation ndio nikachoka zaidi, niaenda duka lingine nikanunua nikaondoka.

Kuna wengine wanaomba kazi hadi unawahurumia, but wakiipata hio kazi wanajisahau. Pity

Ila huko immigration sijakutana na masaibu kama yako mkuu
Nimtafute kumwambia kua wafanyakazi hawataki kupokea simu? Uvivu wa watu nitakaua naenda kureport ambapo hapahusiki. Ningependa kuona mindset ya watu wengi inabadilika sio kufanya kazi kama tunalazimishwa.

Nenda immigration siku moja jifanye unaenda hata kuomba passport utapokelewa ka nyani, unaenda badala ya kuambiwa karibu unahitaji nini unasikia ehee sema shida tena kwa sauti ya dharau. Huu ujinga wafanyakazi wangu wote nimewaambia I don’t tolerate, either you do your job kwa moyo moja au usepe. I do pay way more kuliko wangefanya same work sehemu nyingine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Miafrika kazi kulialia na kuzaliana tu, hivi huwa tuna mchango gani dunia hii zaidi ya kuwa mzigo kwa wengine.
 
Haitofika miaka 5 tutakuwa tushavuruga kila kitu huku tukizamia tena Africa.Angalia tu mfano wa South Africa ya makaburu na ya weusi au Zimbabwe ya Ian Smith na ya mugabe
SA ilijengwa na makuburu, sasa makuburu wanapungua sana hapo, nchi inarudi nyuma sana, soon SA haitakuwa na tofauti na Burundi ama hapa kwetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwafrika anaangamizwa na ujinga na uvivu wake. Lakini hataki kukubaliana na hali halisi na badala yake anatafuta mtu wa kulaumu!
Ni sawa na mtu kushindwa kuenzi ndoa yake akaanza kulaumu wengine kumuharibia ndoa yake! Kama Wazungu ni wabaya kiasi hichi, mbona viongozi wakiumwa huenda huko wakaikolewe maisha yao? Mzungu ndiye aliyetwambia watu wakiandamana kudai haki zao za msingi uwamwagie risasi na kuwapiga virungu? Propaganda zilizopitwa.na wakati!
 
Kama viongozi wangekuwa wanaweka wazi masharti wanayopewa na Hawa jamaa, tungebaki midomo wazi.

Itafute video ya mzee Mugabe alipokuwa akihutubia United Nations general assembly, alipomwambia Blair, keep your England and let me keep my Zimbabwe.

Na aliposema pia, kwa Obama kuwa we're not gays. Alizungumzia mengi hadi akamtaja mzee Kikwete kuwa kuna mambo walimwambia kuhusu utawala hapa bongo.
Ni sawa na mtu kushindwa kuenzi ndoa yake akaanza kulaumu wengine kumuharibia ndoa yake! Kama Wazungu ni wabaya kiasi hichi, mbona viongozi wakiumwa huenda huko wakaikolewe maisha yao? Mzungu ndiye aliyetwambia watu wakiandamana kudai haki zao za msingi uwamwagie risasi na kuwapiga virungu? Propaganda zilizopitwa.na wakati!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom