Jinsi wazungu wanavyotuwazia

mtingi1

JF-Expert Member
Mar 21, 2020
945
923
Tafadhali itazame hii video imetumika lugha ya kiingereza, mimi sio mtafsiri mzuri pia.

Ila kwa kifupi jamaa kaongelea lengo la wamarekani kuwa, kwa muda mrefu serikali ya marekani yaani toka enzi za Kissinger, wamarekani wamekuwa na LENGO LA KUTUPUNGUZA IDADI sisi wa Africa na HAWATAKI TUJITAMBUE NA KUTUMIA RASIRIMALI ZETU kwa FAIDA ya mataifa yetu.

Hivyo kwa mantiki hiyo, napata mashaka sana na misaada yao hasa katika sekta ya AFYA, yaani CHANZO tunazopewa kuna uwezekano mkubwa tunapandikizwa magonjwa yanayopelekea sisi waafrika kushindwa kuzaliana VIZURI.

Dawa nyingi tunazopewa hasa katika miradi yao, kama Bill Gates foundation, Bill Clinton na wengineo inapaswa kuangaliwa kwa jicho PEVU.

Wasomi wetu ifike mahali wafanye tafiti za kutosha kulisaidia bara letu. WAZUNGU hawatupendi, na hakuna kitu wanatoa kama MSAADA, ambao ni BURE, lazima wanamalengo mapana.

Ikiwezekana, MIRADI yote, ichunguzwe, hata haya mambo wanaita HAKI ZA BINADAMU ni UPUUZI, kwani ndani yake ndio kuna ushoga na uchafu mwingi. Yote haya yanadidimiza nguvu ya uzalishaji barani mwetu.

Africa imetupasa kusimama pasipo kutegemea hawa jamaa. Najua ni mchakato, ila tunaweza. HAWATUPENDI.

CHUKUA TAHADHALI jilinde na Corona.

Nakaribisha wajuvi wa mambo watusaidie, mimi sio mwandishi mahili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wangetuhamishia huko Marekani, yani tubadirishane wao waje huku halafu siye tukaishi kule, tukapachafue wao waendeleze huku pakiisha endelea, kisha waanze kutupa visa kuja Afrika kusoma na kutembea kama tufanyavyo sasa.
 
Tafadhali itazame hii video imetumika lugha ya kiingereza, mimi sio mtafsiri mzuri pia.

Ila kwa kifupi jamaa kaongelea lengo la wamarekani kuwa, kwa muda mrefu serikali ya marekani yaani toka enzi za Kissinger, wamarekani wamekuwa na LENGO LA KUTUPUNGUZA IDADI sisi wa Africa na HAWATAKI TUJITAMBUE NA KUTUMIA RASIRIMALI ZETU kwa FAIDA ya mataifa yetu.

Hivyo kwa mantiki hiyo, napata mashaka sana na misaada yao hasa katika sekta ya AFYA, yaani CHANZO tunazopewa kuna uwezekano mkubwa tunapandikizwa magonjwa yanayopelekea sisi waafrika kushindwa kuzaliana VIZURI.

Dawa nyingi tunazopewa hasa katika miradi yao, kama Bill Gates foundation, Bill Clinton na wengineo inapaswa kuangaliwa kwa jicho PEVU.

Wasomi wetu ifike mahali wafanye tafiti za kutosha kulisaidia bara letu. WAZUNGU hawatupendi, na hakuna kitu wanatoa kama MSAADA, ambao ni BURE, lazima wanamalengo mapana.

Ikiwezekana, MIRADI yote, ichunguzwe, hata haya mambo wanaita HAKI ZA BINADAMU ni UPUUZI, kwani ndani yake ndio kuna ushoga na uchafu mwingi. Yote haya yanadidimiza nguvu ya uzalishaji barani mwetu.

Africa imetupasa kusimama pasipo kutegemea hawa jamaa. Najua ni mchakato, ila tunaweza. HAWATUPENDI.

CHUKUA TAHADHALI jilinde na Corona.

Nakaribisha wajuvi wa mambo watusaidie, mimi sio mwandishi mahili.

View attachment 1410600

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwafrika anaangamizwa na ujinga na uvivu wake. Lakini hataki kukubaliana na hali halisi na badala yake anatafuta mtu wa kulaumu!
 
Mbona tunazidi kuongezeka na hii mipango yao ni ya siku nyingi sana tuache kutishana

China wenyewe wana sheria ya kudhibiti mfumuko wa watoto
..............................Mkuu mimi huwa nashangaa napomwona au kumsikia mtu akisema Waafrica ipo kampeni ya chini chini kutumaliza/kutupunguza,mzungu asihangaike na Wakorea au Wairan wanaoingia maabara kila wakati kila siku ku-assemble silaha hatari kwa usalama wao waje kuhangaika na sisi tulioshindwa hata kutengeneza tooth pick?

Wakitaka kutupunguza wala hawatatumia nguvu nyingi kutunyima misaada yao tu inatosha,msaada hata usiwe wa pesa Leo kama wakagoma kutupa baadhi ya dawa nani atapona hapa!

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
 
Hivi ni vita vya kisaikolojia ambavyo vimeanzia huko USA vilikuwa vimelengwa kwa wenzetu wamarekani wenye asili ya Afrika

Sisi huku tunatakiwa tuwe makini na kuuza mbegu zetu za asili tupunguze kuzaa sana ili tuache mazingira nayo yawe salama
 
Ila sisi WAAFRIKA Sijui tuna laana gani sababu katika kila jambo la maendeleo sisi tupo mwisho kuanzia Elimu, sayansi, miundombinu, uchumi nk. Yani Dahhh
 
Mkuu tazama productivity yetu kwa kwa sasa, na magonjwa yanayotukabili, wenzetu huwa na mission ya muda mrefu, tazama walichokifanya Libya, Iraq, Syria hivi ni kweli lengo lao lilikuwa ni democracy kwenye hizo nchi?

Angalia kinachoendelea Congo na baadhi ya nchi za Africa, je? Wazungu wanatusaidia au wanafanya biashara ya silaha kutumaliza?

Wanauchungu na wenzetu kuuawa au ndio wachonganishi? Najiuliza tu!

Angalia namna wamarekani wenye asili ya Africa wanavyotendewa hadi leo bado maeneo mengi ubaguzi upo!

Nani alimuua Luther King Jr? Kwanini?

Back
Top Bottom