Jinsi wazungu wanavyotuwazia

Jinsi wazungu wanavyotuwazia

Hao professionals huu ndio muda muafaka wajitokeze kutujulisha sisi ndugu zao, kama kuwaelewa tuwaelewe.

Hakuna haja ya kukaa kimya wajatali huu dunia ipo kwenye tension, japo kwa akili ya kawaida tu, mkuu jiografia pamoja na asili baina yetu na wazungu/wachina ni tofauti.

Kwanini sisi tupendekezwe kwenye hii project? Infant sisi hatuja athirika zaidi kama wao, kwanini waje kutest kwetu?

Kuna wakati waafrika tunadharaulika Dunia nzima kwa ujinga kama huu. Chanjo kwa kawaida hujaribiwa katika nchi mbalimbali kwa kuangalia asili ya watu (wazungu, wahindi, waasia, waafrika), jiografia (nchi za joto na baridi), jinsia (wanaume na wanawake), umri (watoto, vijana, watu wazima na wazee).

Chanjo inaapoingia kwenye majaribio, inaangalia makundi hayo. Waafrika kuambiwa tu inatafutwa nchi ya Afrika kwaajili ya majaribio hayo, kwa ujinga tu, wakaanza kulalamika wakifikiria ni wao tu ndio wanaenda kufanyiwa majaribio.

Wakapewa ufafanuzi, lakini wengine kwa sababu ya ujinga wa kudumu, hawaelewi. Ndiyo maana mpaka sasa hakuna kauli iliyotolewa na mtu profeasional kuelezea ubaya wa kilichokusudiwa kwenye majaribio ya hiyo chanjo kwa nchi za Afrika. Na juzi mtafiti mmoja kwaajili ya masuala ya tiba nchini Kenya amefafanua, lakini wajinga bado hawaelewi.

Ni Afrika tu, masula ya utafiti wa dawa na chanjo yanajadiliwa na wacheza mpira, wasanii wa bongo flavour, maafisa mahusiano, wahasibu, wanasheria, n.k. - tena wanataka watoe mafunzo badala ya kutulia na kujifunza kutoka kwa professionals.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fafanua mkuu, yaani uzi wangu umewaponza wengine?

Wewe mwerevu tutoe matongotongo basi bila mihemko na hasira.

Kwanini hapo south Africa wazungu wachache wanawachukia waafrika wenzako ambao ndio wenye nchi?

Mtu akuchukiaye aweza kukuwazia mema? Rafiki yangu mmoja aliwahi kuniambia, mtingi1, "mzungu huwa hatoi msaada wa bure, ni lazima kuna namna utaulipia."

Unaweza kuukanusha usemi huu?
Taifa la wajinga hili na muanzisha post ni mmoja wao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu gadafi aliuawa kwa msaada wa Americans.
Kilichotokea Libya ni matokea ya huo ujinga wa mwafrica,Mwafrica ukimpa bunduki anaenda kuua ndugu zake, kwani akwilina kauwawa na mzungu? Mzungu aliwauzia bunduki akina Magufuli then wanaitumia kweli kweli kuwawinda watanzania,husikii wakisema hawajsribiwi? Wameshika bunduki waliyopewa na mzungu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watanzania tunawaza kikomunisti ya kale kale tu bila kujua
Kuchukia kila aliye tajiri kwetu tunadhani ndotutapata ahueni ya kimaisha ( huu ni uchawi)

Kutupa lawama ya matatizo yetu kwa watu wengine (this is irresponsibility)

Kuamini katika conspiracy theories zaidi ya kufanya kazi ( huu no upumbavu)

Mataifa ya India,waindonesia,Vietnam, china, Korea hatukuwa mbali nayo kiuchumi nyakati za 1950 to 1970 lakini Leo yametupiga Bonge LA gap na bado linazidi kuongezeka tunabaki kulalamika tu kutafuta mchawi wetu.
Mara ooh wanataka tupingue wewe wazungu wakikaa wakaamua tupungue kiukweli kwa uzezeta wetu hawaitaji mpango wa mda mreefu maana sisi ni tegemezi kila kitu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu tazama productivity yetu kwa kwa sasa, na magonjwa yanayotukabili, wenzetu huwa na mission ya muda mrefu, tazama walichokifanya Libya, Iraq, Syria hivi ni kweli lengo lao lilikuwa ni democracy kwenye hizo nchi?

Angalia kinachoendelea Congo na baadhi ya nchi za Africa, je? Wazungu wanatusaidia au wanafanya biashara ya silaha kutumaliza?

Wanauchungu na wenzetu kuuawa au ndio wachonganishi? Najiuliza tu!

Angalia namna wamarekani wenye asili ya Africa wanavyotendewa hadi leo bado maeneo mengi ubaguzi upo!

Nani alimuua Luther King Jr? Kwanini?

Sent using Jamii Forums mobile app
Productivity ya kuzaliana au ya kiuchumi
Mkuu inaonekana wewe huelewi vizuri
Population kubwa haikupi power, kinachokupa power ni teknolojia yako, kuunda, mkiwa na teknolojia nzuri hata mkiwa laki moja hakuna anayewatishia

Population kubwa na uzalishaji hafifu ndio adui mkubwa kuliko hata hao unaowadhania

Kuhusu hizo vita za DRC, Iraq, Syria pia inaonekana umesoma ama kuambiwa habari juu kwa juu tu, nakushauri fuatilia vizuri siasa za hii Dunia utajua mengi zaidi
 
Mkuu mtu kama MHESHIMIWA John Magufuli anapojitahidi kukimbiza maendelea na kutaka nchi ifike mahali ijitegemee, utashangaa watz wenzetu wanainuka kumpinga, ukiangalia kwa makini chanzo ni haohao.

Wazungu wasingependa tuwa na sheria nzuri zenye kulinda zaidi maslahi ya raia hasa sheria za maliasiri. Lazima wata influence migogoro nchi isitawalike.

Angalia Congo, conflict iliyopo huko ni sababu ya madini tu si kingine. Mifano ni mingi mkuu
Watanzania tunawaza kikomunisti ya kale kale tu bila kujua
Kuchukia kila aliye tajiri kwetu tunadhani ndotutapata ahueni ya kimaisha ( huu ni uchawi)

Kutupa lawama ya matatizo yetu kwa watu wengine (this is irresponsibility)

Kuamini katika conspiracy theories zaidi ya kufanya kazi ( huu no upumbavu)

Mataifa ya India,waindonesia,Vietnam, china, Korea hatukuwa mbali nayo kiuchumi nyakati za 1950 to 1970 lakini Leo yametupiga Bonge LA gap na bado linazidi kuongezeka tunabaki kulalamika tu kutafuta mchawi wetu.
Mara ooh wanataka tupingue wewe wazungu wakikaa wakaamua tupungue kiukweli kwa uzezeta wetu hawaitaji mpango wa mda mreefu maana sisi ni tegemezi kila kitu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"I was initially angry about the move to test vaccines on Africans,but I changed my mind. An African proverb says that a twine that grows out of the wood and start growing on the footpaths should expect to be matched upon. Only Sani Abacha's loots can sponsor 40 researches in Africa. The whites are using the money to produce the vaccine and you expect them to test it out on their people, you must be kidding. Direct your anger at something else. Can't you see Congolese president have accepted that the vaccine be tested in his country? He does not have a choice. If you cannot sing, you must dance but if you cannot dance, you must at least clap your hands or nod your head. If you cannot produce vaccine, and you refuse to sponsor your people to produce one, then you must submit yourself to have the vaccine tested in your country.
America have established grants to help their scientists carry out research on the virus and come up with a cure.Have you ever seen an African billionaire sponsor any research or scientific innovation in Africa? Never! But during election campaigns, they donate fortunes to political parties. Which is more important, political parties or research and technology development? Be sincere in your answers. Will you test your vaccine on someone who is sponsoring your research? No way," he said.

Source:
Reasons Why Africans Should Agree To Vaccine Testing - Bill Gates

Jr
Aliyeandika hili andishi kaomhea ukweli mtupu tunabaki kulalamika hatuna msaada wowote kwenye field ya sayansi na technology sisi zrgu siasa chafu tu hafu tumekaa kulalamika tuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fafanua mkuu, yaani uzi wangu umewaponza wengine?

Wewe mwerevu tutoe matongotongo basi bila mihemko na hasira.

Kwanini hapo south Africa wazungu wachache wanawachukia waafrika wenzako ambao ndio wenye nchi?

Mtu akuchukiaye aweza kukuwazia mema? Rafiki yangu mmoja aliwahi kuniambia, mtingi1, "mzungu huwa hatoi msaada wa bure, ni lazima kuna namna utaulipia."

Unaweza kuukanusha usemi huu?

Sent using Jamii Forums mobile app
Unawaza wazungu wa south Africa kuwachukia weusi na una hoji kabisa ulivo mpumbavu!!!

Wewe unafanya nini hapa,unaandika thread ya kupandikiza chuki dhidi ya wazungu kisha unahoji wazungu kuchukia weusi south Africa kama sio upunguani ninini huo??

We kichwa kibovu hujui unachoandika kalale

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu mtu kama MHESHIMIWA John Magufuli anapojitahidi kukimbiza maendelea na kutaka nchi ifike mahali ijitegemee, utashangaa watz wenzetu wanainuka kumpinga, ukiangalia kwa makini chanzo ni haohao.

Wazungu wasingependa tuwa na sheria nzuri zenye kulinda zaidi maslahi ya raia hasa sheria za maliasiri. Lazima wata influence migogoro nchi isitawalike.

Angalia Congo, conflict iliyopo huko ni sababu ya madini tu si kingine. Mifano ni mingi mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Sijibishani nawewe tena unauwezo mdogo sana wa kufikiri.Mawazo yako ya MTU ambae hajaenda shule kabisa hata form four I expect better than this

Hafu unahisi tutaendelea kama tunawatu kama wewe katika hii nchi tena mnajiona mnaakili kweli hafu ndo mmejaa sasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu mtu kama MHESHIMIWA John Magufuli anapojitahidi kukimbiza maendelea na kutaka nchi ifike mahali ijitegemee, utashangaa watz wenzetu wanainuka kumpinga, ukiangalia kwa makini chanzo ni haohao.

Wazungu wasingependa tuwa na sheria nzuri zenye kulinda zaidi maslahi ya raia hasa sheria za maliasiri. Lazima wata influence migogoro nchi isitawalike.

Angalia Congo, conflict iliyopo huko ni sababu ya madini tu si kingine. Mifano ni mingi mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi umesoma na kuilewa vita vya Congo?
First Congo War na Second Congo War?
Unajua Waasi wake ni nani anawafadhili? Au unahadithiwa story vijiweni tu na kuja kuandika huku?
 
Africa Fungu la kukosa,elimu na dini ndio pingu walizotumia kutufunga.Huwezi kutumia elimu ya mzungu kushindana na mzungu(Kutatua tatizo kwa akili iliyosababisha tatizo)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna uzi nilishawahi kuusoma hapa jf wa mmarekani mwenye asili ya Africa, ambae alitumia pesa zake kutafiti mtambo wa kusafisha maji kama sikosei, na alifanikiwa lakini wazungu hawakutaka kuutambua mchango wake katika jamii.

Unadhini kwanini?

Sent using Jamii Forums mobile app

Nimegundua tatizo ni ushamba, mtambo wa kusafisha maji miaka hii haikupi utambulisho wowote ule kwenye science community kwa kua ni technology ambayo iligunduliwa miaka mingi nyuma, siku hizi ukitaka kutambulika njoo na kitu kipya kabisa.

Tatizo sio teye kua mweusi au mwafrika, tatizo alichofanya kilishafanywa na watu wengi miaka zaidi ya 40 nyuma, we unataka atambulike kwa sababu tu ni mweusi? Hahah watanzania ushamba unawasumbua sana. Ni sawa na yule aliyetengeneza mockup ya umbo la helicopter watu mnapiga kelele serikali impe support, support ipi? Hivi kutengeneza umbo lile nani anashindwa? Kila mtu anayefanya welding tanzania ukimpa schema anatengeneza from scratch hadi anamaliza alafu mnataka tutoe support ipi? Atengeneze ipae tuone ndiyo tutamchukulia serious. Washamba bongo mmejaa hadi kero.

Nakushauri nenda kasome, tumia internet vizuri ongeza skills, soma sana vitabu mambo ya biashara, technology, utakuja nishukuru mbeleni kwa kukufungua akili, achana na ushamba mtakufa maskini
 
Kwanini wasifanyie majaribio hiyo vaccine kwa mataifa Kama USA, Italy na Spain ambao ndio wameathirika zaidi?

Why Africa?

Sent using Jamii Forums mobile app

Majaribio yanafanyika USA, Italy na Australia pia wanafanya. Ungejisumbua kugoogle hata kidogo ungeona kabisa kua wameanzia nchi hizo.
Professor moja kasema kwa nini tusipeleke na Afrika ndiyo waafrika mkaanza kulalamika mnaweka matako mbele as if mmeambiwa mnataka muuliwe, nyie mlipewa priority ya mwisho sio ya kwanza kama mnavyofikiri.

Na naomba ukumbuke uwezo wa kukataa tunao hatujalazimishwa, hakuna mtu aliyekuna akasema anatupa vaccine tujaribu, huyo profesa alitoa mapendekezo tu, ni mtu moja sio wazungu wote acheni ushenzi wa kufikiri wazungu wana shida na nyie. Congo wametuma barua kuomba wapewe hiyo vaccine na wao wajaribu, sasa hapo unamlaumu mzungu huku wakongo wameomba wenyewe?

Watanzania inabidi ifike muda mtambue kua kila mnachokidhania kua nyie ni wa muhimu sana dunia nzima inawafikiria kuwaua sijui kwa wivu upi ni upuuzi mtupu. Nimeishi nchi nyingi Europe Asia US, nakuhakikishia hakuna mtu anawafikiria hata kidogo ni nyie tu mnakaa kuwafikiria na chuki zenu za kishenzi. Igeni asians, wao badala ya kulaumu wazungu wamekaa wamesoma, wamejiendeleza mno sayansi imekua leo hii wanashindana na nchi kubwa duniani, wana pesa za kutosha, infrastructures zilizopo asia ni kali na more modern kuliko hata marekani au united kingdom. Acheni lawama kaeni mjaribu kua competitive muone. Mi niliacha huu ushenzi leo nina maisha mazuri tu. Nenda kasome ongeza skills utaona wewe tu ndiyo ulikua kwenye kifungo cha akili sawa na washenzi wengi wa tanzania
 
Back
Top Bottom