Jinsi wazungu wanavyotuwazia

Jinsi wazungu wanavyotuwazia

Kwanini sasa hatumpi sapoti ya nguvu mh Magufuli ambae anatamani tusonge mbele na tuje kuwa donor country?
Tuache ujinga WaAfrica kwa kujitetea na sababu za kipumbavu kwa kuuhami na kuulinda ujinga wetu... Sisi WaAfrica ni wapumbavu ambao tumeshindwa kila kitu halafu tunajitetea kwa sababu fake za kumsingizia mkoloni ilihali mkoloni alitawala China, India, Taiwan, Hongkong, Australia, Canada, Brazil, Singapore, Malysia nk..

Msingi wa maendeleo duniani kote unajulikana ni kufanya kazi kwa bidii, kuacha kuendekeza upumbavu kama ngono, ulevi, wizi, unafiki, uchawi nk, kutafuta elimu na teknolojia na kuitumia nk..Hivyo vyote tumeshindwa halafu tunatafuta sababu za kipumbavu kutetea ujinga wetu... TUACHE UPUMBAVU NA UJINGA..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila sisi WAAFRIKA Sijui tuna laana gani sababu katika kila jambo la maendeleo sisi tupo mwisho kuanzia Elimu, sayansi, miundombinu, uchumi nk. Yani Dahhh

Tatizo tumejaa lawama badala ya kukaa kufanya kazi. Kila kitu tunamsingizia mzungu, nchi ambazo zilikua level moja ya uchumi na tanzania miaka ya 60 ni nyingi mno ila leo hii Japan, South Korea zote zina uchumi mkubwa mno sisi tuko palepale tumekaa kulaumu wazungu tu. Wao wanepeleka watu nje wanasoma wanarudi kuendeleza nchi, sisi tunakaa kusema billgates anataka kutuwekea sumu.

haha wabongo wengi nyoooko, sijaona watu lazy kama watanzania nchi zote nilizopita duniani
 
Tafadhali itazame hii video imetumika lugha ya kiingereza, mimi sio mtafsiri mzuri pia.

Ila kwa kifupi jamaa kaongelea lengo la wamarekani kuwa, kwa muda mrefu serikali ya marekani yaani toka enzi za Kissinger, wamarekani wamekuwa na LENGO LA KUTUPUNGUZA IDADI sisi wa Africa na HAWATAKI TUJITAMBUE NA KUTUMIA RASIRIMALI ZETU kwa FAIDA ya mataifa yetu.

Hivyo kwa mantiki hiyo, napata mashaka sana na misaada yao hasa katika sekta ya AFYA, yaani CHANZO tunazopewa kuna uwezekano mkubwa tunapandikizwa magonjwa yanayopelekea sisi waafrika kushindwa kuzaliana VIZURI.

Dawa nyingi tunazopewa hasa katika miradi yao, kama Bill Gates foundation, Bill Clinton na wengineo inapaswa kuangaliwa kwa jicho PEVU.

Wasomi wetu ifike mahali wafanye tafiti za kutosha kulisaidia bara letu. WAZUNGU hawatupendi, na hakuna kitu wanatoa kama MSAADA, ambao ni BURE, lazima wanamalengo mapana.

Ikiwezekana, MIRADI yote, ichunguzwe, hata haya mambo wanaita HAKI ZA BINADAMU ni UPUUZI, kwani ndani yake ndio kuna ushoga na uchafu mwingi. Yote haya yanadidimiza nguvu ya uzalishaji barani mwetu.

Africa imetupasa kusimama pasipo kutegemea hawa jamaa. Najua ni mchakato, ila tunaweza. HAWATUPENDI.

CHUKUA TAHADHALI jilinde na Corona.

Nakaribisha wajuvi wa mambo watusaidie, mimi sio mwandishi mahili.

View attachment 1410600

Sent using Jamii Forums mobile app
Mtapata tabu sana,ninyi mnang'ang'ania CCM na viongozi wao wabovu Kama akina Magufuli then mnabaki kumlaumu mmarekani? Hivi mmarekani ndo aliwaambia mkanunue dreamliner huku watoto wenu wakiwa wanakaa chini darasani ? Au wamarekani ndo walimpa kibari Lugola akasaini mkataba wa kifisadi nje?
 
Nakubaliana na mzungumzaji. Ndiyo maana mabeberu wako busy kuhakikisha kuwa hatuongezeki ili tutumie ipasavyo rasilimali tulizonazo kuendelea. Idadi ya watu ni moyo wa maendeleo ya nchi
Mnaojua,Sweden na Tanzania ni taifa gani lina watu wengi au Rwanda na Malawi wapi Kuna watu wengi au Tanzania na Kenya?
 
..............................Mkuu mimi huwa nashangaa napomwona au kumsikia mtu akisema Waafrica ipo kampeni ya chini chini kutumaliza/kutupunguza,mzungu asihangaike na Wakorea au Wairan wanaoingia maabara kila wakati kila siku ku-assemble silaha hatari kwa usalama wao waje kuhangaika na sisi tulioshindwa hata kutengeneza tooth pick?

Wakitaka kutupunguza wala hawatatumia nguvu nyingi kutunyima misaada yao tu inatosha,msaada hata usiwe wa pesa Leo kama wakagoma kutupa baadhi ya dawa nani atapona hapa!

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
Waafrica wengi si viongozi wetu si raia tunaakili ya kuvukia barabara tu na kuiba ili tupate utajiri wa haraka
 
Tafadhali itazame hii video imetumika lugha ya kiingereza, mimi sio mtafsiri mzuri pia.

Ila kwa kifupi jamaa kaongelea lengo la wamarekani kuwa, kwa muda mrefu serikali ya marekani yaani toka enzi za Kissinger, wamarekani wamekuwa na LENGO LA KUTUPUNGUZA IDADI sisi wa Africa na HAWATAKI TUJITAMBUE NA KUTUMIA RASIRIMALI ZETU kwa FAIDA ya mataifa yetu.

Hivyo kwa mantiki hiyo, napata mashaka sana na misaada yao hasa katika sekta ya AFYA, yaani CHANZO tunazopewa kuna uwezekano mkubwa tunapandikizwa magonjwa yanayopelekea sisi waafrika kushindwa kuzaliana VIZURI.

Dawa nyingi tunazopewa hasa katika miradi yao, kama Bill Gates foundation, Bill Clinton na wengineo inapaswa kuangaliwa kwa jicho PEVU.

Wasomi wetu ifike mahali wafanye tafiti za kutosha kulisaidia bara letu. WAZUNGU hawatupendi, na hakuna kitu wanatoa kama MSAADA, ambao ni BURE, lazima wanamalengo mapana.

Ikiwezekana, MIRADI yote, ichunguzwe, hata haya mambo wanaita HAKI ZA BINADAMU ni UPUUZI, kwani ndani yake ndio kuna ushoga na uchafu mwingi. Yote haya yanadidimiza nguvu ya uzalishaji barani mwetu.

Africa imetupasa kusimama pasipo kutegemea hawa jamaa. Najua ni mchakato, ila tunaweza. HAWATUPENDI.

CHUKUA TAHADHALI jilinde na Corona.

Nakaribisha wajuvi wa mambo watusaidie, mimi sio mwandishi mahili.

View attachment 1410600

Sent using Jamii Forums mobile app
Huenda anayetakiwa kuchunguzwa kwa umakini ni wewe. Ni vema wakapatikana watu wa kukuchunguza ili kuridhisha kama upo sawasawa.

Hiyo video kwa vile anayeongea ni mzungu, hata kama ni mwendawazimu, wewe unaona ameongea la maana?

Kwanza lafudhi tu ya hao wendawazimu wanaoongea, siyo ya Wamarekani.
 
Tatizo tumejaa lawama badala ya kukaa kufanya kazi. Kila kitu tunamsingizia mzungu, nchi ambazo zilikua level moja ya uchumi na tanzania miaka ya 60 ni nyingi mno ila leo hii Japan, South Korea zote zina uchumi mkubwa mno sisi tuko palepale tumekaa kulaumu wazungu tu. Wao wanepeleka watu nje wanasoma wanarudi kuendeleza nchi, sisi tunakaa kusema billgates anataka kutuwekea sumu.

haha wabongo wengi nyoooko, sijaona watu lazy kama watanzania nchi zote nilizopita duniani
Mkuu shida yetu ni ccm,imetuaminisha kwa muda mrefu kwamba ndo inaleta maendeleo,nakuhakikishia kati ya watanzania kumi ni mmoja tu ndo anaweza kuwa anajua kuwa daraja la ubungo ni matokeo ya kazi yake na 9 wanaweza kuwa wanajua daraja la ubungo limejengwa na ccm
 
Kwanini wasifanyie majaribio hiyo vaccine kwa mataifa Kama USA, Italy na Spain ambao ndio wameathirika zaidi?

Why Africa?
Fake news written by stupid people, level za gwajima hizi. Bill and Melinda gates foundation wanajishughulisha na mambo mengi sana na madawa yao yameisaidis sana africa zaidi ya unavyofikiria, wamepunguza vifo vya mimba kwa asilimia kubwa, wamepunguza vifo vya malaria kaa asilimia kubwa mno, wao ndiyo sababu unapata madawa mengi kwa bei nafuu, na kaa taarifa yako hawatengenezi madawa, wao wanasaidia watengeneza madawa wanawapa pesa ili wafanye research au wapunguze bei maana hatuwezi kununua.

Nimekutana na watu wanaofanya kazi kwenye hii foundation hadi watanzania wapo na waafrika wengi hasa wanigeria, usidhani wamejaa wazungu tu wanaotaka kutuua, infact idadi ya wazungu ni ndogo mno.

Mkiandika kitu mjitahidi kuja na fact na data za kusupport upuuzi wenu sio kusoma udaku blog za wajinga mnakuja kutujazia server bure we na gwajima wako. Njoo na data na mimi nikuonyeshe data za matatizo ambayo wamesolve miaka yote toka waanzishe hiyo institution.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo tumejaa lawama badala ya kukaa kufanya kazi. Kila kitu tunamsingizia mzungu, nchi ambazo zilikua level moja ya uchumi na tanzania miaka ya 60 ni nyingi mno ila leo hii Japan, South Korea zote zina uchumi mkubwa mno sisi tuko palepale tumekaa kulaumu wazungu tu. Wao wanepeleka watu nje wanasoma wanarudi kuendeleza nchi, sisi tunakaa kusema billgates anataka kutuwekea sumu.

haha wabongo wengi nyoooko, sijaona watu lazy kama watanzania nchi zote nilizopita duniani
Ni mpumbavu pekee yake anaweza kuamini kuwa umaskini wa Mwafrika umesababishwa na mzungu.
 
Kuna uzi nilishawahi kuusoma hapa jf wa mmarekani mwenye asili ya Africa, ambae alitumia pesa zake kutafiti mtambo wa kusafisha maji kama sikosei, na alifanikiwa lakini wazungu hawakutaka kuutambua mchango wake katika jamii.

Unadhini kwanini?
Tatizo tumejaa lawama badala ya kukaa kufanya kazi. Kila kitu tunamsingizia mzungu, nchi ambazo zilikua level moja ya uchumi na tanzania miaka ya 60 ni nyingi mno ila leo hii Japan, South Korea zote zina uchumi mkubwa mno sisi tuko palepale tumekaa kulaumu wazungu tu. Wao wanepeleka watu nje wanasoma wanarudi kuendeleza nchi, sisi tunakaa kusema billgates anataka kutuwekea sumu.

haha wabongo wengi nyoooko, sijaona watu lazy kama watanzania nchi zote nilizopita duniani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"I was initially angry about the move to test vaccines on Africans,but I changed my mind. An African proverb says that a twine that grows out of the wood and start growing on the footpaths should expect to be matched upon. Only Sani Abacha's loots can sponsor 40 researches in Africa. The whites are using the money to produce the vaccine and you expect them to test it out on their people, you must be kidding. Direct your anger at something else. Can't you see Congolese president have accepted that the vaccine be tested in his country? He does not have a choice. If you cannot sing, you must dance but if you cannot dance, you must at least clap your hands or nod your head. If you cannot produce vaccine, and you refuse to sponsor your people to produce one, then you must submit yourself to have the vaccine tested in your country.
America have established grants to help their scientists carry out research on the virus and come up with a cure.Have you ever seen an African billionaire sponsor any research or scientific innovation in Africa? Never! But during election campaigns, they donate fortunes to political parties. Which is more important, political parties or research and technology development? Be sincere in your answers. Will you test your vaccine on someone who is sponsoring your research? No way," he said.

Source:
Reasons Why Africans Should Agree To Vaccine Testing - Bill Gates

Jr
 
...Ila kwa kifupi jamaa kaongelea lengo la wamarekani kuwa, kwa muda mrefu serikali ya marekani yaani toka enzi za Kissinger, wamarekani wamekuwa na LENGO LA KUTUPUNGUZA IDADI sisi wa Africa na HAWATAKI TUJITAMBUE NA KUTUMIA RASIRIMALI ZETU kwa FAIDA ya mataifa yetu...
View attachment 1410600

Sent using Jamii Forums mobile app
Lisu na Zitto bado hawajielewi hawa jamaa.
 
Ndugu hujui usemalo, fuatilia kilichotokea libya kwa Gadaffi.
Kilichotokea Libya ni matokea ya huo ujinga wa mwafrica,Mwafrica ukimpa bunduki anaenda kuua ndugu zake, kwani akwilina kauwawa na mzungu? Mzungu aliwauzia bunduki akina Magufuli then wanaitumia kweli kweli kuwawinda watanzania,husikii wakisema hawajsribiwi? Wameshika bunduki waliyopewa na mzungu.
 
Kwanini wasifanyie majaribio hiyo vaccine kwa mataifa Kama USA, Italy na Spain ambao ndio wameathirika zaidi?

Why Africa?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna wakati waafrika tunadharaulika Dunia nzima kwa ujinga kama huu. Chanjo kwa kawaida hujaribiwa katika nchi mbalimbali kwa kuangalia asili ya watu (wazungu, wahindi, waasia, waafrika), jiografia (nchi za joto na baridi), jinsia (wanaume na wanawake), umri (watoto, vijana, watu wazima na wazee).

Chanjo inaapoingia kwenye majaribio, inaangalia makundi hayo. Waafrika kuambiwa tu inatafutwa nchi ya Afrika kwaajili ya majaribio hayo, kwa ujinga tu, wakaanza kulalamika wakifikiria ni wao tu ndio wanaenda kufanyiwa majaribio.

Wakapewa ufafanuzi, lakini wengine kwa sababu ya ujinga wa kudumu, hawaelewi. Ndiyo maana mpaka sasa hakuna kauli iliyotolewa na mtu profeasional kuelezea ubaya wa kilichokusudiwa kwenye majaribio ya hiyo chanjo kwa nchi za Afrika. Na juzi mtafiti mmoja kwaajili ya masuala ya tiba nchini Kenya amefafanua, lakini wajinga bado hawaelewi.

Ni Afrika tu, masula ya utafiti wa dawa na chanjo yanajadiliwa na wacheza mpira, wasanii wa bongo flavour, maafisa mahusiano, wahasibu, wanasheria, n.k. - tena wanataka watoe mafunzo badala ya kutulia na kujifunza kutoka kwa professionals.
 
Sasa hizo silaha zilizotumika huko Rufiji na kwa Tundu Lissu zilijifyatua zenyewe? silaha wanapewa Wazungu weusi
Trump anasema ukimpa Mwafrica bunduki anaenda kuua ndugu zake,so zile kelele za sijaribiwi ni kwa sababu kishapewa bunduki.
 
Just tried to understand the context, so in case the results would be negative to testee's is up to them right? Just because they didn't contribute to the research fund.

I Italy should accept to be tested since it's affected the most.

Samahani kwa English mbovu
"I was initially angry about the move to test vaccines on Africans,but I changed my mind. An African proverb says that a twine that grows out of the wood and start growing on the footpaths should expect to be matched upon. Only Sani Abacha's loots can sponsor 40 researches in Africa. The whites are using the money to produce the vaccine and you expect them to test it out on their people, you must be kidding. Direct your anger at something else. Can't you see Congolese president have accepted that the vaccine be tested in his country? He does not have a choice. If you cannot sing, you must dance but if you cannot dance, you must at least clap your hands or nod your head. If you cannot produce vaccine, and you refuse to sponsor your people to produce one, then you must submit yourself to have the vaccine tested in your country.
America have established grants to help their scientists carry out research on the virus and come up with a cure.Have you ever seen an African billionaire sponsor any research or scientific innovation in Africa? Never! But during election campaigns, they donate fortunes to political parties. Which is more important, political parties or research and technology development? Be sincere in your answers. Will you test your vaccine on someone who is sponsoring your research? No way," he said.

Source:
Reasons Why Africans Should Agree To Vaccine Testing - Bill Gates

Jr

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tafadhali itazame hii video imetumika lugha ya kiingereza, mimi sio mtafsiri mzuri pia.

Ila kwa kifupi jamaa kaongelea lengo la wamarekani kuwa, kwa muda mrefu serikali ya marekani yaani toka enzi za Kissinger, wamarekani wamekuwa na LENGO LA KUTUPUNGUZA IDADI sisi wa Africa na HAWATAKI TUJITAMBUE NA KUTUMIA RASIRIMALI ZETU kwa FAIDA ya mataifa yetu.

Hivyo kwa mantiki hiyo, napata mashaka sana na misaada yao hasa katika sekta ya AFYA, yaani CHANZO tunazopewa kuna uwezekano mkubwa tunapandikizwa magonjwa yanayopelekea sisi waafrika kushindwa kuzaliana VIZURI.

Dawa nyingi tunazopewa hasa katika miradi yao, kama Bill Gates foundation, Bill Clinton na wengineo inapaswa kuangaliwa kwa jicho PEVU.

Wasomi wetu ifike mahali wafanye tafiti za kutosha kulisaidia bara letu. WAZUNGU hawatupendi, na hakuna kitu wanatoa kama MSAADA, ambao ni BURE, lazima wanamalengo mapana.

Ikiwezekana, MIRADI yote, ichunguzwe, hata haya mambo wanaita HAKI ZA BINADAMU ni UPUUZI, kwani ndani yake ndio kuna ushoga na uchafu mwingi. Yote haya yanadidimiza nguvu ya uzalishaji barani mwetu.

Africa imetupasa kusimama pasipo kutegemea hawa jamaa. Najua ni mchakato, ila tunaweza. HAWATUPENDI.

CHUKUA TAHADHALI jilinde na Corona.

Nakaribisha wajuvi wa mambo watusaidie, mimi sio mwandishi mahili.

View attachment 1410600

Sent using Jamii Forums mobile app
Jibu lipo hapa
 
Attachments

  • IMG_2118.MP4
    35.8 MB
Back
Top Bottom