tatizo ni la muafrika ni muafrika mwenyewe na sio ngozi nyeupe.
viongozi wanatumia ngozi nyeupe kupata sympathy kwa wananchi.
na wanachi walivyo vilaza, wamekubaliana na dai kwamba tatizo la uchumi wetu na Circumstance yetu ni ngozi nyeupe.
NDIO, NGOZI NYEUPE SIO MIUNGU HATA WAWE NA UPENDO WOTE DHIDI YETU, WANAMAPUNGUFU YAO, LAKINI TATIZO KUBWA NI SISI WENYEWE NGOZI NYEUSI.
my opinion: natamani tutawaliwe tena hata decades 20 hivi ndo watuache tujitawale wenyewe.
Sent using
Jamii Forums mobile app