- Thread starter
- #101
Umesifia Sana Asians, what have you done for your beautiful country Tanzania, ili at least na sisi tupige hatua Kama hao?
Umewahi kupeleka mawazo yako mazuri kwa wahusika japo wakusikie kama ikiwezekana wayafanyie kazi?
Hongera kwa uchambuzi wako, ila next time try to control your temper. Unaweza kuwa bora zaidi mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umewahi kupeleka mawazo yako mazuri kwa wahusika japo wakusikie kama ikiwezekana wayafanyie kazi?
Hongera kwa uchambuzi wako, ila next time try to control your temper. Unaweza kuwa bora zaidi mkuu.
Majaribio yanafanyika USA, Italy na Australia pia wanafanya. Ungejisumbua kugoogle hata kidogo ungeona kabisa kua wameanzia nchi hizo.
Professor moja kasema kwa nini tusipeleke na Afrika ndiyo waafrika mkaanza kulalamika mnaweka matako mbele as if mmeambiwa mnataka muuliwe, nyie mlipewa priority ya mwisho sio ya kwanza kama mnavyofikiri.
Na naomba ukumbuke uwezo wa kukataa tunao hatujalazimishwa, hakuna mtu aliyekuna akasema anatupa vaccine tujaribu, huyo profesa alitoa mapendekezo tu, ni mtu moja sio wazungu wote acheni ushenzi wa kufikiri wazungu wana shida na nyie. Congo wametuma barua kuomba wapewe hiyo vaccine na wao wajaribu, sasa hapo unamlaumu mzungu huku wakongo wameomba wenyewe?
Watanzania inabidi ifike muda mtambue kua kila mnachokidhania kua nyie ni wa muhimu sana dunia nzima inawafikiria kuwaua sijui kwa wivu upi ni upuuzi mtupu. Nimeishi nchi nyingi Europe Asia US, nakuhakikishia hakuna mtu anawafikiria hata kidogo ni nyie tu mnakaa kuwafikiria na chuki zenu za kishenzi. Igeni asians, wao badala ya kulaumu wazungu wamekaa wamesoma, wamejiendeleza mno sayansi imekua leo hii wanashindana na nchi kubwa duniani, wana pesa za kutosha, infrastructures zilizopo asia ni kali na more modern kuliko hata marekani au united kingdom. Acheni lawama kaeni mjaribu kua competitive muone. Mi niliacha huu ushenzi leo nina maisha mazuri tu. Nenda kasome ongeza skills utaona wewe tu ndiyo ulikua kwenye kifungo cha akili sawa na washenzi wengi wa tanzania
Sent using Jamii Forums mobile app

