Jinsi watu wanavyotongozana JF

Jinsi watu wanavyotongozana JF

Hapo kwenye soko. Tupendeni tu kupitia avatar. Labda tungeweka sura zetu msingeweza kututumia hata elfu 2 ya vocha
Hahahaaa surprise zinahusikaga, ndomana real men akishatuma hizo vocha anaona hana jinsi inabidi tu amalizie mchezo maana pesa yake itauma kuitupa for free, wakati hata ombaomba hajawah kumpa mia
 
Embu tuone ya demu wako Kama nzuri halafu ndo useme zetu mbovu. Hatuna sura nzuri ila sio mbovu mkuu tutake radhi au utuwekee sura ya demu wako
Huu ushindani ndo naopendaga, sura za dem zetu na sura zenu, haya wakuu anzeni [emoji23][emoji23]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom