Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,959
- 70,694
wewe ! tafadhari!Hamna sio kweli mkuu, wewe ni 2 za mwanzo mwanzo
wewe ! tafadhari!Hamna sio kweli mkuu, wewe ni 2 za mwanzo mwanzo
Mi huwa nawatumia PM wale singo mazas, nawapenda kweli singo mazaMwambie hapa hapa 'NIMEJARIBU KUKUTUMIA MSG PM IMEFUNGWA,NAOMBA FUNGUA KUNA UJUMBE WAKO' hawezi kukataa labda awe mshamba fulani.
HahahahahahaMi huwa nawatumia PM wale singo mazas, nawapenda kweli singo maza
You wish, wewe bado mdogo mkuu unaonekana tu,wewe ! tafadhari!
narudia tena!wewe! watoto humu kina demiss!mm demiss nammzaa asbhYou wish, wewe bado mdogo mkuu unaonekana tu,
Hahaaaah sasa wengi wenu humu huwa hamuelezi huu ukweli...wengi wenu nyie mna act like jamaa hata awe mkali vipi hamuwezi kuwa nae bila jamaa kuwapa helaHivi unajua kupigwa free p sio ishu, hivi mfano nimekutana na jamaa mkare nimemzimia hadi naumwa nikimuona naloa naanzia wapi kumuomba hela yani huyu ni atateleza bureeeee na nisipokua makini naenda hata vicoba kumkopea!!!!
😀😀😀😀😀Wazee wa pm direct ifike mahali mjifunze kutongoza, mnakera mnafanya watu wafunge pm kwa viujinga vyenu!!!
Wakati unazama pm make sure umemsoma soma kidogo unaemfata yukoje, huwezi jua kila kitu ila hukosi hata kimoja, yani kama mie hivi nnavojitahidi kuandika kwa ufasaha kuna kibushuti kinakuja kuniandikia "xaxa, kipande ip, ixhu znasmje" mxyuuu (nmetoa mfano sijakaribisha), hadi hapo pm yako tayari ni ushuzzz
Make sure umepanga mistari sio misalaaaamu mambo, uko poa, ishu vipi, mishe inaendaje huu nao upimbi.
*nafundisha kutongoza bure
Kwakweli 😛😛 Hakuna itakayonishawishihahaaa Evelyn bwana " hizo takwimu alizozitaja bwana muandishi" ni takwimu zinazo tumiwa na wabahili ". tu peke Yao
Hahahaa mkuu unajitenga kundi lenu,narudia tena!wewe! watoto humu kina demiss!mm demiss nammzaa asbh
Kupigwa free p sio dhambi na mimi sijasema ni dhambi...dhambi ni mtu ku act kuwa she is expensive wakati sio kwelikwahyo husadiki wasemayo! kwan kupigwa free p dhambi?
Usingeenda PMNitume nigundue nini kwanini yaani....kuna kipi nisichokijua za humu jf zina tv ndani???

Wherever there is interaction, attraction is bound to happen. Kuna watu humu wamepata flings, spouses, wengine got married and some ended up being catfished. All is life.
So lets say someone caught your eye humu, lakini hujui uanzie wapi. Unaweza ukaenda straight PM ila more times than not haita end well.
Ila use this guideline and you might have a shot.
1. Usiwe mchoyo wa likes. Yaani mmwagie huyo mtu like popote pale unapoiona comment yake. Hii ni kama unaji-introduce bila hata kumpa hi, ile kuona jina lako kila saa kwenye notification, ni introduction tosha.
2. Baada ya step one. Anza kuchangia comment zake, ukiona amecomment popote, anza kujibu comment zake. At first try to keep it short and to the topic.
3. Endelea kuijibu comment zake pale utakapoziona, ila safari hii anza na kuingiza matani ya hapa na pale. Ukiona na yeye ana-respond vizuri basi hapo ujue kashaanza kukuzoea.
4. Endelea na namba tatu, ukiona mko kwenye thread ya watu hadi mnatoka nje ya mada na yeye anaendelea kukujibu tu. Basi ujue ni muda muafaka sasa wakuzama PM.
5. After the steps above, zama kwenye PM yake, hutakutana na kipingamizi chochote kwavile anakuwa ashakuzoea so atakuwa anakujibu tu vizuri. Ukiona PM yake imefungwa, omba akufungulie, itakuwa nadra sana kukataa.
6. Endeleeni kulisongesha PM, ila usi-act desperate, after a few days of chatting omba namba. After that utajua mwenyewe mtaendeleaje baada ya hapo.
NB. Hii strategy has a 90% chance of working. Ukiona mtu hakujibu/ changamkii kama wewe unavyomchangamkia kwenye threads mbalimbali au hata mkienda PM. Let it go. Otherwise unaonekana msumbufu tu.
Strategy nyingine ni kutafuta influencer au mtu popular humu ndani na kuwa friends nae. And here comes the wonderful thing about human psychology, watu wakikuona uko friends na mtu fulani ambae ni popular, they will always want to associate with you too. So inakuwa ni rahisi sana na wewe kuzoeana na wengine, hata hupati tabu.
So go forth and prosper friends!
Hahahahahaahha. Pm yangu imekumiss.Tujaze ujinga tu..
Nobody is expensive, labda anayeumwa kansa au kisukari, medical fees are off the roof, ila kwa anayebindua kiuno aonekane ana kalio reeefu huyo hana expense,Kupigwa free p sio dhambi na mimi sijasema ni dhambi...dhambi ni mtu ku act kuwa she is expensive wakati sio kweli
narudia tena!wewe! watoto humu kina demiss!mm demiss nammzaa asbh

mm mdogo kweli sikataiMtag Nione Kama ndo yule alienitumia na Mimi pia. Mwanaume huzunguki. Hapo unapata na Namba kiulainiiUnazunguuuuuka....wakati unaweza tuma meseji moja tu ikakutambulisha we ni nani, upo wapi, unahitaji nini. Tena ukivizia sikukuu huyo mrembo amekwisha
"Hello miss, uko poa vipi maandalizi ya sikukuu....nmekuandalia japo visenti upate wyne sasa utapataje"
Sie wapenda hela lazma vinyweleo visimame, halafu hivo visenti viwe kuanzia laki koh koh sijui nimtag kaka mwenye hii technique!!!
Hey ladies vikware vitacopy vije kuapply msivipe namba havina kitu vimebeba pmb tu.
Hapo umeongea ukweli kabisa...i appreciateYeah nmesema pia inatakiwa umsome unaemfata, sasa we utakuta mtu ye kila kitu yupo perfect, story zake kupika perfect, kitandani perfect, kutunza Mme anajiweza japo bado hajaolewa, kudanga anakwambia hawezi sipendi vya kupewa, yani everything perfect....shtuka babu huyo ni malaika ilitakiwa umkute mbinguni sio jf