Jinsi watu wanavyotongozana JF

Jinsi watu wanavyotongozana JF

Hizo hizooo labda awe na back-up I'd
Sasa utajuaje km anataka kukutumia afu anaenda kwa mwingine, au hilo we hujali, as long as kashakupa dollar na ni real men, he can use you as how he likes and it doesnt matter as long as there's few cheese you are ok with spreading! Nimecopy tu hiko kizungu
 
Sasa km tukiwa tunajazana pm si JF itakuwa dating site, au hooking site, wengine tunaenjoy kupiga stori na nyie na PM tunapenda tuje pia, na bei mtupunguzie kidogo
🙂🙂 bwana wee!hapa wadada waliamua kufunguka tu wanavoeleza approach nzuri ni ipi!mengne ni yako!maana mmepewa maujuz bureee!
 
Back
Top Bottom