Jinsi watu wanavyotongozana JF

Jinsi watu wanavyotongozana JF

Unazunguuuuuka....wakati unaweza tuma meseji moja tu ikakutambulisha we ni nani, upo wapi, unahitaji nini. Tena ukivizia sikukuu huyo mrembo amekwisha

"Hello miss, uko poa vipi maandalizi ya sikukuu....nmekuandalia japo visenti upate wyne sasa utapataje"

Sie wapenda hela lazma vinyweleo visimame, halafu hivo visenti viwe kuanzia laki koh koh sijui nimtag kaka mwenye hii technique!!!

Hey ladies vikware vitacopy vije kuapply msivipe namba havina kitu vimebeba pmb tu.
Hapo kwenye pmb ulimaanisha pumbu au pombe?
 
sasa mbna sielew!kuna 1 amekuja pm akadai mm ni me nimekuja na id mpya!nikamwabia ili iwaje!sina id 2 mungu shahid my dear!ht huyo mtu mm simfaham...!
Basi mmefanana halafu ukitegemea Id yako mpya ila unaandika Kama una miezi sita au mwaka vile plus Una mwandiko wa Mbiti kabisaaaaa. Akirudi atakuta twin wake huku
 
Ukweli hata Mimi sitaki salamu za kila dakika kushindishana pm tu. Hao wanaotuvutia tunakuaga tumeshawaona huku na sisi hivyo akija pm inakua rahisi. Sasa wewe sijawahi ona Id yako kabisa utanishawishi vipi nikeshe pm na wewe?
hahaaah so ili kukushawishi ndo lazima muamala uhusike...but ur point is noted
 
Basi mmefanana halafu ukitegemea Id yako mpya ila unaandika Kama una miezi sita au mwaka vile plus Una mwandiko wa Mbiti kabisaaaaa. Akirudi atakuta twin wake huku

hapo useme hvyo labda... mm sio mgen sana jf... utanikutanishaga naye mamy.....at first sikuwa actve had kusahau pswd yang!thts why nikaja na hii
 
Back
Top Bottom