hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 51,534
- 73,812
hahaaa hapo grants zishaanza kufanya kazi yake ".Mimi sikujibu tena ukinikuta kichwa kinawaka moto nakujibu kajifunze kwanza kuandika ndio urudi kusalimia
hahaaa hapo grants zishaanza kufanya kazi yake ".Mimi sikujibu tena ukinikuta kichwa kinawaka moto nakujibu kajifunze kwanza kuandika ndio urudi kusalimia
Naelewa Mama P mimi nachangamsha genge tuuWewe unanijua mimi vizuri.

Sidhani kama kuna ambaye hayupo ivyo,but labdaaaTeh, labda hawako hivo
umeshapokea my dearuna raha kwakweli!mm ndo wameleta barua ya kujitambulisha!uwiii na umri ushafika usiku!tuombeane heri nasi tuolewe km wewe!
Tuone kwanza WiFi etu kama mzuri tunakubali tu sie wabovuTumeni basi, nan anajikubali aanze
hahaa hata hiyo ya kutumiwa muamala wa 100k ...halafu mtumaji wala haulizi kama " Umepata "?Kwakweli 😛😛 Hakuna itakayonishawishi
Hao siwajuiUsisahau max pia wa humu wapooo
Ila unajitahidi kuongea ukweliMuamala ukihusika unajiuliza huyu nani iweje anitumie hela kipindi hili cha anko Magu. Unakua mpole tu hata akija na salamu zake
Basi mmefanana halafu ukitegemea Id yako mpya ila unaandika Kama una miezi sita au mwaka vile plus Una mwandiko wa Mbiti kabisaaaaa. Akirudi atakuta twin wake huku

aaminumeshapokea my dear
Mi najua mamaa yupo fresh sana, tatizo lipo kwenu warembo wetuTuone kwanza WiFi etu kama mzuri tunakubali tu sie wabovu
Nikiwa nimekunhwa nakua mpole. Ukute tu Nina mastress yangu halafu unaandika vitu hata havichekeshihahaaa hapo grants zishaanza kufanya kazi yake ".
Hahaahahhaa. Ndo ukweli mkuuIla unajitahidi kuongea ukweli
Usipouliza afu ikaenda kwenye namba nyingine si utatuma ujumbe hiyo hela itume kwenye namba hii jina litatokea flani afu utaonekana tapelihahaa hata hiyo ya kutumiwa muamala wa 100k ...halafu mtumaji wala haulizi kama " Umepata "?
Kwa kuwa sisi ni kizazi cha kina Chief Mkwawa au?Mi najua mamaa yupo fresh sana, tatizo lipo kwenu warembo wetu
Ha Ha Ha haMbona kama tunaviziana?
Naona matunda yameshaanza.Subiria sasa utaleta mrejesho
😎Vya unaa au nini?
Yaani " mpaka unatuma unakuwa na uhakika " wa namba ambazo " umezitumia huo muamala "... au namba 1 ya weza kuwa yatumiwa na watu wawili mkuuUsipouliza afu ikaenda kwenye namba nyingine si utatuma ujumbe hiyo hela itume kwenye namba hii jina litatokea flani afu utaonekana tapeli