Jinsi Richmond/Dowans walivyoizunguka TANESCO na Taifa

Jinsi Richmond/Dowans walivyoizunguka TANESCO na Taifa

Shukrani sana M/Kijiji.

Kinachonishangaza ni yule star asiyekufa. Wengine wanaumia na kufa yeye yupo tu! Katika kadhia hii, rais anaonekana yupo kimia na haguswi na kashfa hii tangu wakati alipojiuzuru W/Mkuu Mh Lowasa. Ukifuatilia mtiririko wa jambo hili unapata ushahidi kuwa mhusika mkuu wa ufisadi wa Richmond na Dowans ni yeye na RA, na amekuwa akishinikiza mawaziri wake kutekeleza mikataba ya Richmond na Dowans. Kikwete ndio kiini cha shida yetu yote. Sasa hivi lawama zinaelekezwa kwa Ngereja, ama Sitta na Mwakyemebe na kama kuna mtu kuwajibishwa ni kati ya hao na si Kikwete.



Kitu cha kushangaza ni kuwa:
  1. Rais anasema hukumu ya kulipa Dowans imemsikitisha sana! Lakini pamoja na kusikitika huko hakuona haja ya kuitisha kikao cha Baraza la Mawaziri ili kuliongelea jambo hilo na kuchukua uamuzi wa pamoja.
  2. Juzi ameongoza kikao cha CC na kutoa uamuzi wa kulipa Dowans baada ya kesi iliyofunguliwa dhidi ya Dowans. Je inawezekana Mahakama Kuu haitatengua hukumu ya ICC?
  3. Amekwenda Bungeni na kuongea na wabunge na kuchukua msimamo mpya tofauti na ule wa CC. Je katika chama cha CCM uamuzi wa nani ni wa mwisho kati ya Mkutano wa CC au mkutano wa Wabunge wa Chama? Kwahiyo wabunge wamebadili msimamo wa CC? Kwa nini asingeongea na wabunge in the first place na badala ya kufanya kikao cha CC na kuokoa pesa za nchi?
Tatizo letu kubwa ni rais huyu tuliye naye sasa hivi. Si kiongozi bali msanii tu. Kama kuna njia ya kumfanya ajiuzuru au avuliwe madaraka yake ingekuwa msaada mkubwa kwa taifa letu. Kikwete keshapoteza uhalali wa kuongoza nchi hii tena! Kama ilivyo CCM ndivyo alivyo Rais, hawapendwi tena na wananchi walio wengi. Chuki dhidi yao ni kubwa, na kila siku inaongezeka… mwisho wake hautakuwa mzuri. Sasa hivi hata mwaka haujaisha tangu arudi ofisini, je atatufikisha salama miaka mitano mingine?

Ushahidi alioutoa M/Kijiji ni mzito, naomba Mwiba ajitokeze tena kuupinga. Mwiba kaenda wapi? Wananchi wa Tz hawatakubali ujanja wa kifisadi uendeshwe juu yao labda iwe juu ya miili yao wakiwa wamekufa. Watu tumechoka, kuna wana CCM wengi wataunga mkono Chadema kuongoza mapambano ya ukombozi wan chi yetu.

Mapambano yanaendelea ...


Ni vizuri kuelewa kuwa CC walipokutana walikuwa hawajui taarifa hii (aidha sababu ya uzembe au kufichwa). Hivyo wao kama ilivyokuwa Tanesco walipokea tu kile kilicholetwa mezani pao. Kamati ya Wabunge wa CCM ilipokutana ndio walikuwa wamepata tu taarifa hii na ikabadili kabisa mjadala ulivyokuwa.
 
Mzee Mwanakijiji samahani yote yananiuma ila ni kweli Richmond na Dowans walichukua mkopo CRDB? (kwa Kimei) au ni uzushi? maana attachment zote sijaona hilo


Mkopo (line of Credit) iliyotolewa na CRDB ilikuwa kwa ajili ya kuwezesha Dowans kuweza hatimaye kuleta majenereta yale. Kiasi cha mkopo kilikuwa ni kama dola milioni 30 na ushee hivi. Malipo yake yalikuwa yalipwe kwa awamu kwa kadiri majenereta yalivyoletwa. Hadi majenereta yote yalipokuwa yameletwa na Dowans kulipwa walikuwa wamelipwa karibu dola milioni 35.5 hivi (karibu sawa na bilioni 44). Hizi zilikuwa kabla ya kuanza kuzalisha umeme (malipo ya capacity charge na units charge za umeme n.k). Hadi mkataba unavunjwa Dowans walikuwa wameshalipwa karibu shilingi bilioni 100 hivyo (pamoja na hayo ya line of credit).
 
Baada ya hayo mapendekezo yote yaiyotolewa na MM ni nini kifanyike. Hayo mapendekezo ni wapi yanatakiwa kwenda na ni nani wa kuyashugulikia. Sidhani kama MM unamaanisha ni serikali, bunge ama mahakama zilizopo sasa, na muundo wake ndivyo vifanye kazi kuangalia uwezekano wa kuyafanyia kazi mapendekezo hayo. Hilo tusahau, japo kwa sasa. Ninachoona hii habari, pamoja na zote zinazoonyesha ukiukwaji na ufisadi wa kupindukia, hakuna sehemu pa kushtaki zaidi ya kwa wananchi wenyewe. Na ninatumaini hili ndilo linafanyika hapa. Lakini wananchi wetu bado (wengi wao) wamefungwa na 'partisan politics' - walio madarakani "ndio wako sahaihi" regardless wanalofanya..nk, najiona na kujisikia mwenye raha kuishi nikishuhudia kizazi cha mabadiliko ya kweli, na hili naamini ni kwa msaada mkubwa wa teknohama -mawasiliano --hivyo, ni kuendeleza kupaza sauti mpaka pale utekelezaji wa kweli utakapowezekana - nikiassume watu wengi zaidi watakua wamekua conscious , na kwa wingi, kuleta mabadiliko ama kuondoa udhalimu huu.


sijui ni nani anahusika kwa kweli au nani asimamie; kuna kitu nitakuja nacho wiki ijayo inshallah ambacho kitagusia kidogo ni vipi twende mbele.
 
sijui ni nani anahusika kwa kweli au nani asimamie; kuna kitu nitakuja nacho wiki ijayo inshallah ambacho kitagusia kidogo ni vipi twende mbele.

Mzee Mwanakijiji nimeisoma na nadhani hakuna haja kuwalipa na ICC ni vema wakarudishiwa award yao ikajadiliwe upya. Nimeisoma na inasikitisha kuwa kuna mipango inasukwa kwa maksudi kuliingiza shirika la Tanesco katika matatizo halafu wajanja wanachukua chao baadae kwa njia ya kulipwa fidia. Kwa kuanzia mie nashauri wanasheria wapeleke pingamizi mahakama kuu kupinga hiyo tuzo. Ikimalizika tuombe kufungua kesi ya udanganyifu dhidi ya dowans. I still have some faith in our judicial system sidhani kama watapindisha sheria ila kwa muda niliotumia kusoma haya matokeo ni dhahiri we have sufficient grounds of rejecting this award.
 
MMKJJ,

punde tu nimemaliza kuisoma tena (kwa mara ya pili) hiyo post yako..............kwa kweli inaumiza sana sana tena sana...........pale TANESCO walipokubali kuingia Mkataba na DOWANS..................na TECHNICALLY.......we are knocked out na zile barua za tar 21 na 23 December 2006.............zile BARUA NI MBAYA SANA SANA...................hata kama DOWANS walipewa mkataba na Richmond huko Oct bila kuishirikisha TANESCO.............hii logic ndio inayoniumiza kichwa.................

suala la kesi ya DOWANS na kesi yao huku US na uhusiano wa argument ya lini walipewa mkataba na Richmond........ni suala dogo sana.....halisaidi sana kutujengea hoja ya nguvu............isipokuwa inatuambia na kutuhakikishia kuwa jamaa ni matapeli............
 
MMKJJ,

punde tu nimemaliza kuisoma tena (kwa mara ya pili) hiyo post yako..............kwa kweli inaumiza sana sana tena sana...........pale TANESCO walipokubali kuingia Mkataba na DOWANS..................na TECHNICALLY.......we are knocked out na zile barua za tar 21 na 23 December 2006.............zile BARUA NI MBAYA SANA SANA...................hata kama DOWANS walipewa mkataba na Richmond huko Oct bila kuishirikisha TANESCO.............hii logic ndio inayoniumiza kichwa.................

suala la kesi ya DOWANS na kesi yao huku US na uhusiano wa argument ya lini walipewa mkataba na Richmond........ni suala dogo sana.....halisaidi sana kutujengea hoja ya nguvu............isipokuwa inatuambia na kutuhakikishia kuwa jamaa ni matapeli............

Mkuu Ogah,

Are you familiar with word misrepresentation of facts? If misrepresentation had occured in a warranty of a contract tunaweza kusema kuwa Tanesco technically hawana njia itabidi walipe. However, kama misrepresentation had occured in one of the conditions to the contract (kama section 15.2) then that is a breach of contract.

Sasa usituangushe ndugu i think there is a sufficient evidence kuipeleka chini hii kitu.
 
kiduku.JPG

mheshimiwa nkono akicheza kiduku baada ya kupata mgao wake wa dowazi
 
naomba mnisaidie kuiforwad hii topic kwa kibonde mm siwez natumia kiserula. maana huyu paka anapotosha sana umma. pse naomba tumpe hii, na mkuu pale umechangia kwamba kuprint naunga mkono wazo, lkn wewe ushaprint? wewe hapo na wengine wote tuanze kuwajibika.
 
Nadhani watu wengine bado hamjasoma kifungu kimoja ambacho kitawasaidia kuelewa kwanini Richmond na Dowans hawakuweza kuwaambia tanesco baada ya kutambua kosa lao. Kifungu cha 12 cha mkataba wa Richmond/Tanesco kinaelezea vitu ambavyo supplier (Richmond at the time) angejikuta amevunja mkataba. Sehemu yake ya 12.1e inasema endapo Richmond ingeassign mkataba kwenda mtu mwingine bila tanesco kujua basi wangekuwa wako kwenye default. Na walikuwa na siku 30 kuweza kuwajulisha Tanesco ili kusahihisha. Bahati mbaya sana walisaini mkataba 14 Oktoba, 2006. HIvyo walikuwa na hadi tarehe 13, 2006 kuweza kuwaambia tanesco. bahati mbaya waliposhtuka ilikuwa ni Novemba 28.

Hapa ndio utaona ile barua ya Nov 4, 2006 ilipokuja (tarehe iliyonesha tarehe hiyo) lakini Tanesco waliipata Disemba 9! Na haikuwa barua ya kuwataarifu Tanesco ila ilikuwa ni barua ya nia ya kutaka kuassign mkataba kwa Dowans!
 
Mkuu I hope hii kitu tayari wanayo wote ambao wanaweza kutusaidia, hata wale ambao wanajifanya wanaweza kutusaidia, na wale ambao wanasema hatusaidiki ili wakose cha kusema na kubadilisha tune yao.
 
but mzee hapa mara nyingi huwa unatuacha hewani.
whats real have to be done to solve the situation?
tukiandamana tutapigwa risasi na mabomu
tukikaa kimya wanachukua hiyo pesa
now its looking like all lawyers in tz theyre in dowans side
hata sielewi hili dhahma tutalikwepa vp.maana inaonekana CCM na tanesco wamedhamiria kweli kulipa hiyo pesa tutake tusitake.
 
but mzee hapa mara nyingi huwa unatuacha hewani.
whats real have to be done to solve the situation?
tukiandamana tutapigwa risasi na mabomu
tukikaa kimya wanachukua hiyo pesa
now its looking like all lawyers in tz theyre in dowans side
hata sielewi hili dhahma tutalikwepa vp.maana inaonekana CCM na tanesco wamedhamiria kweli kulipa hiyo pesa tutake tusitake.

Well.. sasa ukishajua si ndio unazidi kuamua kama mtu mwenye dhamira safi utaendelea kuwaunga mkono hawa walioko madarakani au utachukua uamuzi wa kuwapinga. Naamini hilo la pili utakuwa ni uchaguzi wa watu wengi.
 
Nadhani watu wengine bado hamjasoma kifungu kimoja ambacho kitawasaidia kuelewa kwanini Richmond na Dowans hawakuweza kuwaambia tanesco baada ya kutambua kosa lao. Kifungu cha 12 cha mkataba wa Richmond/Tanesco kinaelezea vitu ambavyo supplier (Richmond at the time) angejikuta amevunja mkataba. Sehemu yake ya 12.1e inasema endapo Richmond ingeassign mkataba kwenda mtu mwingine bila tanesco kujua basi wangekuwa wako kwenye default. Na walikuwa na siku 30 kuweza kuwajulisha Tanesco ili kusahihisha. Bahati mbaya sana walisaini mkataba 14 Oktoba, 2006. HIvyo walikuwa na hadi tarehe 13, 2006 kuweza kuwaambia tanesco. bahati mbaya waliposhtuka ilikuwa ni Novemba 28.

Hapa ndio utaona ile barua ya Nov 4, 2006 ilipokuja (tarehe iliyonesha tarehe hiyo) lakini Tanesco waliipata Disemba 9! Na haikuwa barua ya kuwataarifu Tanesco ila ilikuwa ni barua ya nia ya kutaka kuassign mkataba kwa Dowans!

got you!..............ngoja nirudi kuangalia tena facts za kesi ya TEXAS........nione kama ina-support lugha/arguments na zinazotolewa hapa............
 
got you!..............ngoja nirudi kuangalia tena facts za kesi ya TEXAS........nione kama ina-support lugha/arguments na zinazotolewa hapa............

Tafadhali hakikisha unarudi na majibu yako kutukosoa au kutuunga mkono.
 
Tafadhali hakikisha unarudi na majibu yako kutukosoa au kutuunga mkono.

I think we are on the right track..............sikuhitaji kwenda mabli sana hii fact hapa chini inatosha sana kutuondoa na huu UPUUZI.......ngoja nikanywe gahawa sasa......................

Case 4:10-cv-01086 Document 1 Filed in TXSD on 04/02/10 Page 3 of 7

8. On October 14, 2006, Dowans and RDEVCO entered into an agreement in which RDEVCO assigned its Power Purchase Agreement with Tanesco to Dowans. The assignment occurred before the Turbine was air-freighted to Tanzania.

9. In connection with the assignment of the Power Purchase Agreement to Dowans, RDEVCO and Dowans entered into another Assignment and Assumption Agreement (the "Vulcan Assignment Agreement"), effective October 14, 2006, whereby RDEVCO assigned to Dowans all rights and obligations under the Vulcan Agreement-namely, the right to purchase and receive the Turbine from Vulcan.

The Vulcan Assignment Agreement provides, in pertinent part:

Assignment and Delegation. Assignor [RDEVCO] hereby: (1) assigns to Assignee [Dowans] all Assignor's rights, title, benefit and interests in, to and under the [Vulcan Agreement]; and (2) delegates to Assignee all of Assignor's obligations and duties under the [Vulcan Agreement] arising and attributable to the period from and after the Effective Date.

Assumption. Assignee hereby assumes and agrees to satisfy and perform all liabilities and obligations of Assignor under the [Vulcan Agreement] arising and attributable to the period from and after the Effective date.


Vulcan Assignment Agreement, 1-2, attached hereto as Exhibit 1,

10. Pursuant to Dowans' rights and obligations as assignee of the Vulcan Agreement, Dowans paid to Vulcan the entire purchase price of the Turbine ($7,500,000) and, upon payment, the Turbine was air-freighted by Dowans to Tanzania and installed at the Ubungo site in late-October 2006. The Turbine was commissioned in January 2007.


...............naunga mkono hoja
 
Hawa jamaa (CCM) wanajua kila kitu katika hiii saga......hata wao hawajui wanataka nini??? wana tamaa ya hiyo pesa na hapohapo wanaogopa wananchi.....wanapima jinsi walivyopiga pesa ya EPA kiulaini na sasa wanashangaa ngoma imekua ngumu kupiga hii ya Dowans...

Haingii akilini UVCCM wanapinga malipo hayo then wankuja CC (Ambao ndiyo walafi koz most of them ndo walipiga EPA) wanabariki malipo hayo ambayo Werema alisema hayaepukiki. Then wanakaa wabunge wote wa CCM wakiwemo wale wa CC waliobariki wanakuja na story ingine kuwa YAWEZEKANA TUSILIPE au watatusaidia tulipe KIDOGO (MKONO ndo alisema haya)

So ukiangalia kwa undani huwezi jua wao wenyewe wanataka nini.....WANAUJUA ukweli na wanamjua mwenye MALI anaetakiwa kulipwa ni nani....thus why kuna beneficiaries waanaosupport haya Malipo Hasa Waziri husika....BOss wao analijua hili (RAIS) waziri mkuu analijua hili ila cha kushangaza hawalitolei TAMKO kwa kivuli cha kufuata sheria SWALI: SHERIA IPO KTK DOWANS TU?????

They have to know sisi wananchi tumechoka na wizi wao so they have to act smart on this SAGA kuepusha nchi isiingie kwenye machafuko....Janja yao ya kusema TZ kuna udini ili tusijadili mambo ya msingi IMEGONGA mwamba



Mara nyingi watu hapa Marekani wakiulizwa Hobby zao utasikia wakisema SHOPPING.

Hivi Shopping ni hobby au watu tunashop out of necessity??
Ukiwa na hobby ya shopping ni lazima uwe na hobby ya kusaka noti au siyo??
sijasikia mtu akisema hobby yake ni kutafuta pesa.

Ukisema Shopping ni Hobby ni wazi kwamba kazi yako ni kwenye huko madukani na kufanya kusanykusanya bila kujali nini unataka nini unahitaji na nini ununue.
Loho yako inasuzika ukinunua na kununua na kununua.

Yuko rafiki yangu mmoja wa kitasha niliwahi kumsaidia kuhamia kwenye nyumba yake mpya, sasa wakati tunapanga vitu ndani ya Garage aligundua kwamba kuna Pea za viatu rangi na mtindo mmoja kanunua zaidi ya 2, Blender za aina moja kaa 3 Portable saw 2 zikiwa ndani ya mabox. New Parts za gari kibao na gari yenyewe bado mma haihitaji parts.
Ni wazi kwamba rafiki yangu alikuwa na Hobby ya Shopping.
Ananunua kwa sababu ana Virus wa Hobby ya shopping.
Asipofanya shopping majira hayakatizi.

Tanzania kuna watu ,Viongozi wa CCM, wenye Hobby ya WIZI.
Kila uchao wanwaza kuiba Mali ya Umma hasa Fedha.
Wanaiba si kwa uhitaji,si kwa umasikini wao, si kwakutaka kujikwamua katika ukata, wanaiba kwa sababu wana access ya mahali pesa ilipo,pia wanaiba kwa sababu wanajisikia vizuri wakiiba.
Kipindi cha mwaka mmoja kinageuka kuwa Milenia moja kama hawafanikishi wizi.
Akili zao hazifanyi kazi vizuri kama hawaibi fedha za wananchi.
Kinawauma na kuwakondesha kama hawaibi.
Wataua, watachinja, watatishia watu Bunduki na kunyausha vibarua vyao ili kukidhi hamu yao chafu ya kuiba.

Mtu kama Lowassa hahitaji kuiba hata shillingi ni Tajiri tangu enzi akiwa Mkurugenzi wa AICC.
Lowassa ni mwizi kwa sababu Lohoni hajui namna yakujivunga kuiba mali ya serikali.
Hata sadaka ya kanisani Lowassa hawezi kuiachia, anaiba kwa mapezi ya kuiba.
Anaiba kwa sababu Hobby yake ni kuiba.
Rostam Aziz naye alishaiba sana utajiri wote wa Caspiana na Magari mazito ya kubeba udongo wa dhahabu kule migodini kila siku anatengeneza 7Figure za $$, unashangaa kuona bado mikono yake miwili imo katika wizi wa Dowans. Yeye kwa sababu ni Bamasinde najua aniba ili kumtengeza BIST ambaye sisi Watanganyika tukimwachia akue na kubarehe hatutamweza.
Wizi huu wa akina Rostam si wizi wa kutaka kuishi vizuri ni wizi wenye Roho ya kiibilisi Roho ya kutaka kuchukua Dunia na kuiweka mfukoni.

Rais Kikwete hahitaji kuiba hata kidogo kwa sababu Ikulu haina Bajeti anaweza kujichotea fedha Tani yake kupitia mgongo wa Ikulu. Inashangaza sana kuona naye ni Kinara mkuu wa wizi wa Dowans.
Kibaya zaidi Waheshiwawa hawa wenye Hobby ya kuiba fedha za Walipa kodi kamwe they dont Slow down pale wakikamatwa Ready handed na ushahidi kwamba wanaiba, wanajenga hoja ya kuiba mchan kweupe.
Wanatumia Katiba ya nchi mamlaka waliyopewa na sheria ya nchi kuwaibia wananchi KIKOLONI.

Waziri mkuu Mizengwe Pinda yeye ndo kafanywa Kijiko cha Chips, anapakua chips na kuishia kuungua mafuta tu.
Kitendo chake kama Kiongozi mkuu wa shughuli za serikali kudai kwamba Serikali haina namna ila kulipa Deni la Dowans;Dowans iliyorithi mkataba kinyemela kutoka Richmond , Richmon kampuni iliyoingia nchini kwa mtindo wa Briefcase, ni kitendo cha KIMALAYA. Waziri mkuu ana Hobby ya wizi ili aendeleze Umalaya na Uzinzi wa kisiasa.
Yaani anaonyesha Paja lake laini kwetu Mwaume zake (wananchi) na kutuacha zikiwa zimesimama, kisha anaingia mtaani kuonyesha paja lake zuri kwa(Njembaz) Mafisadi na hata kudiriki kuumua kitumbua ili wapige huku akipiga mayowe ya ukelele.

Viongozi wa CCM wana Hobby ya Kuiba.

Kama Ndugu yangu hapo juu alivyosema, wanaiba wanaendelea kuiba na hawajui wafanye nini na pesa za wizi.
Wanajenga vijumba kwenye mitaa isiyopimwa.
Wanafungua biashara za kufua nguo.
Wananunu magari ya kifahari barabara zina mahandaki
Wanfuga kuku, wanachukua Tenda za kusupply vitu mbuzi tu serikali.
Wanapeleka wake zao kufanya shopping ya Gagulo Pikadili na zandani
Wameshindwa kabisa kuanzisha Miradi mikubwa ya Viwanda mama hata kwa kuingia Ubia wa kweli na wazito wa Technolojia.
wameshindwa kuanzisha Viwanda vya chuma, Viwanda vya kutengeneza Spea za magari Viwanda vya kusindika vyakula.
Viwanda vya kutengeneza vifaa home appliencies kama Majokofu,Majiko makubwa ya umeme,pump flashing Toilets nk.
Viwanda vya kuunda zana za kilimo kama Matrekta na majembe ya kulimia.
Wanakusanya fedha za wizi ili kushindana ukubwa wa ACCOUNT zao DUBAI na USWISS.

Ku&$Ma*&ma*#y0 zenu Wallah Mafisa!



Viongozi wa CCM wajifunze kutoka kwa Marais madikteta waliojirimbikizia uatajiri kisha kukimbia nchi na kufia ughaibuni kwa aibu, au wnegine kurudi nchini mwao ghafla kwa aibu kuu huku wamechacha mbaya.

Nyumbani ni nyumbani.

Viongozi wetu wana Hobby chafu ya kuiba fedha za walipa kodi ili kufurahisha mioyo yao ya plastic.
 
Tanzania kuna watu ,Viongozi wa CCM, wenye Hobby ya WIZI.
Kila uchao wanwaza kuiba Mali ya Umma hasa Fedha.
Wanaiba si kwa uhitaji,si kwa umasikini wao, si kwakutaka kujikwamua katika ukata, wanaiba kwa sababu wana access ya mahali pesa ilipo,pia wanaiba kwa sababu wanajisikia vizuri wakiiba.
Kipindi cha mwaka mmoja kinageuka kuwa Milenia moja kama hawafanikishi wizi.
Akili zao hazifanyi kazi vizuri kama hawaibi fedha za wananchi.
Kinawauma na kuwakondesha kama hawaibi.
Wataua, watachinja, watatishia watu Bunduki na kunyausha vibarua vyao ili kukidhi hamu yao chafu ya kuiba.
.


Aisee nimependa hapa; umenipa mawazo ya mimi kufyatuka kidogo. Inshallah. "Ufisadi kama Hobby"!
 
Back
Top Bottom