Jinsi Richmond/Dowans walivyoizunguka TANESCO na Taifa

Jinsi Richmond/Dowans walivyoizunguka TANESCO na Taifa

Ngeleja na Mwanasheria Mkuu wa Serikali ni watu ambao wanapashwa kusoma hii kitu halafu wakiishasoma wanawajibishwa ili iwe fundisho maana wamekuwa ni waropokaji wakubwa kubariki malipo bila kujua the main core and source of the problem laiti kama wangekuwa wanafanya kazi kwa maslahi ya watanzania tusingekuwa tunasikia kauli za kipuuzi kutoka kwao
 
Mageuzi siku zote yanaanzia North.
Wenyewe wameona Kitimtim kule Tunisia na Misri.
Sisi Watanganyika tuna nyaka kwa karibu sana soo zima linavyoendeshwa, mpangilio,mwenendo na mcheche mzima wa kuyatikisa majabali ya ufisadi.
Wakati wa kutenda vitendo u karibu mno.

Viongozi wa CCM kaeni mkao wa kuliwa.
Safari hii Polisi wa pangu pakavu na Wajeshi wa vyeo vya chini wa JWTZ watakuwa pamoja nasi kunyonyoa manyoya yenu viunoni na kuwapatiliza haki yenu.

Ready or not,We are coming
 
sasa tangu juzi tulipoiweka hii hakuna waandishi wa habari ambao wamethubutu kuwahoji hawa watu juu ya ukweli wa tunayoyasema?
 
Hivi hawa wanaharakati wameenda kufungua kesi ya kuzuia malipo katika mahakama gani???

Huyo jaji kateuliwa na nani??

MSIPOTEZE MUDA WANAHARAKATI... mahakama kuu ya kuzuia haya malipo ni wananchi ambao hawajateuliwa na JK.... zaidi ya hapo muda huo mngefanya mambo mengine.

Why hire a lawyer while JK can buy a judge??

weste
 
sasa tangu juzi tulipoiweka hii hakuna waandishi wa habari ambao wamethubutu kuwahoji hawa watu juu ya ukweli wa tunayoyasema?

Chombo gani cha habari? Labda tusubiri RaiaMwema J'tano ijayo. Wahariri wengine ni mpaka waulize kwa wamiliki na "wafadhili" wao.
 
aisee hapa unanikatisha tamaa.. au hawajui jinsi ya kunukuu?
Habari hii ni kama inalianza upya sakata la Richmond. Inawagusa watu wengi tu ambao ndio "Marais" wetu watarajiwa 2015. Pia inagusa ajira za wakubwa wengi tu. Itazuiwa sana. Tumwombe tu Jenerali na wenzake kama wanaweza kuinukuu.
 
aaah sasa legality ya hiyo hukumu inatoka wapi? Hv jaman tanesco wana lawyers kweli au wakat wa kutoa utetezi wao walioverluku hvo vifungu yan day afta day nackia mambo mapya kuhsu hyo issue. Nategemea kusikia hata hiyo kesi haikuamuliwa huko icc hilo pia possible

nimesikia juu kwa juu kulikuwa na ka mkutano kadogo pale moven peak hizi ni tetesi sina uhakika nazo, ni viambatanisho tu na sio kesi kusikilizwa usanii tu ndugu yang ni sawa na dalali anayekutafutia nyumba anaweza mwambia mwenye nyumba apandishe kodi anamtafutia mpangaji faster!
 
Asante sana mzalendo, historia itakukumbuka kwa unayoyafanya tofauti na wengine wanavyokuangalia. Tatizo linalotusumbua naliangalia kuwa zaidi ya tudhaniavyo, hapa pia linaibuka suala la dini na maadili. Hawa wote wameapa kwa kushika BIBLIA au KORAN. Inawezekana wakawa na uelewa wa matokeo ya kula kiapo bila ya kulazimishwa wakati ukijua kabisa matendo yako yako tofauti kwa asilimia 98% - 100% na kiapo? Matokeo yake ni kuiletea nchi laana isiyo na ulazima! OMBI LANGU NI KUWA MTANZANIA YEYOTE AKISIKIA UHAMASISHAJI KUWAPINGA WATU HAWA AJITAHIDI KUHUDHURIA PAMOJA KUWAJULISHA WENZAKE ZAIDI ILI TUWAISHE "UWASHAJI MOTO" KUPAMBANA NAO. ASANTE MZEE MWANAKIJIJI
 
Sijui kama viapo kwao vina maana tena kwa sababu wale waliokula viapi ndio wametusaliti.
 
Mbona Chadema kama Chama hawalitolei kauli Sakata hili[ Tunataka CC ya Chadema na si Slaa au Mbowe], kivipi wanashindwa kucapitalize na kuweka pressure kubwa kwa Serikali kuhusiana na Sakata hili?
Mimi nina wasiwasi kwamba Chadema kama Chama Kikubwa Cha Upinzani wameshindwa kutoa Uongozi wa katika hili jambo la Dowans.
 
Mbona Chadema kama Chama hawalitolei kauli Sakata hili[ Tunataka CC ya Chadema na si Slaa au Mbowe], kivipi wanashindwa kucapitalize na kuweka pressure kubwa kwa Serikali kuhusiana na Sakata hili?
Mimi nina wasiwasi kwamba Chadema kama Chama Kikubwa Cha Upinzani wameshindwa kutoa Uongozi wa katika hili jambo la Dowans.

yaani wenye kustahili kubeba mzigo huo wasibebe tena? Chadema wakishatoa "kauli" then inatosha? Nadhani pressure inatakiwa kuwa kwa JK na CCM na serikali yao. Wapinzani wataishia kutoa kauli tu.
 
MM
ThanK for this useful post of which can save as a base kwa wanaharakati wetu waliofungua kesi mahakama kuu kupinga malipo ya dowans.
Hivi ni kweli kwamba hukumu ikishatolewa na ICC hurusiwi uipinga popote.Naombena msaada wenu wana JF
 
tulishaambiwa tanesco lawyers wake ni vilaza... hata normal clauses hawasomi wako bize kusaini vocha za per diem

Ukija kwenye hukumu, hapo ndio utajua ICC ni another bureaucratic function that serves the rich at the expense of porr

Kwa maelezo ya hiyo Article ya Mwanakijiji siwezi na wala sithubutu kuwalaumu wanasheria wa Tanesco, inaonekana walijitahidi sana kustick kwenye makaratasi yalivyokuwa yanasema, KILICHOWASHINDA NI KUPAMBANA NA NGUVU YA VIMEMO KUTOKA STATE HOUSE KWA JK NA EL
 
Time. Time will tell.

Soon and very soon when the Parliament begins!

Never before Tanzanians will see fire in the parliament like what they will see in the forthcoming session.

And guess what from both within and outside CCM. Everybody is tired now.

Dowans; Katiba Mpya; Mauaji ya Arusha etc are just few to mention.


  • Hivi kwann hawa watu tunawabeba hivi mpaka leo..
  • hiki kwann tusibadili muelekeo
  • hivi ni kwann tusianzishe movment ili kuwatoa madarakani
TUNAHITAJI KUHIMIZA WANANCHI ILI WOTE TUINGIE MTAANI NA KULETA MABADILIKO KAMA TUNISIE, EGYPT NA SASA YEMEN... MUDA NDIO HUU WATANZANIA WENZANGU
 
Mzee MwanaKijiji Ahsante sana Kwa Taarifa hii muhimu ambayo imetuamsha wengi ambao tulikuwa hatuna picha halisi.Ukisoma kwa undani hii taarifa inaonyesha kabisa kwamba hili swala la Dowans ni mchoro wa Kimafia uliochorwa kwa stadi kubwa sana kuna maswali najiuliza mpaka sasa
Je ni nani ambaye yupo pamoja na Rostam Azizi kwa sababu yeye kuwa na nguvu za Kisheria kuwa msimamizi wa kampuni hii hapa nchini

Mpaka sasa hivi umeandika taarifa hii nimejaribu kuunganisha mahusiano ya Dowans S.A na Dowans Tanzania Limited na shindwa kuyaoanisha ni kweli huyu mmiliki wa Dowans S.A ndiyo huyo huyo wa Dowans Tanzania Limited

Kwa nini Mkono anauthibitishia Umma kwamba deni linaweza Kupunguzwa au Kufutwa kabisa akisaidia je ni kitu gani kitakachotufanya sisi wananchi tusiamini kwamba Ngereja aliposema Tanesco inadaiwa bilioni 94 na sio 185 kwamba kauli yake ni ya kuchonga na ilikuwa ya kutaka kutupooza na kwa namna hiyo ni kwamba ICC maauzi yake ni batili kwa sababu kauli za wamiliki wa Dowans kama Mkono zinaonyesha wanasikilizia upepo wa wananchi unaendaje na swala zima la Dowans
Je hii kesi ambayo imefunguliwa Texas inaweza kuathiri maamuzi ya uongo ya ICC
Kwa kweli hili jambo lina umiza sana ,nimekuwa nikiwaza sana ni kwa namna gani kila mmoja wetu anaweza kuwashawishi wananchi popote walipo na kuwachochea hasira kuwaambia deni na madeni mengine na ufujwaji mwingine wa rasilimali za taifa ulivyodumaza huduma za muhimu za kijamii ukataliwe kwa nguvu ya umma
Itakuwaje asilimia 80 ya watahiniwa wa kidato cha nne wafeli kwa nini walimu hawana tija ,wanafunzi hawana tija wazazi na welezi hawana tija taifa zima limekuwa goigoi kwa sababu ya njaa,dhiki na dhuluma
Itakuwaje watoto mitaani waone ndio maskani timilifu,inakuwaje Tanzania nzima inawataalamu wa fahamu ya mishipa na neva kuwa wa nne tuu baada ya miaka hamsini ya uhuru

Itakuwaje wahadhiri wanaotengeneza mbongo za wasomi wanadhulumiwa mishahara yao,walinzi wetu wanakatw mishahara bila kupewa taarifa manak wanadharauriwa huku tukilazimishwa tulipe dowans
Wakulima wetu vocha zao zinachukuliwa na wajanja,misitu yetu inavunwa na watndaji wa serikali na kuharibu vyanzo vya maji,
wezi wamesababisha chumvi,sukari unga unga wa ngano,mchele viazi mabogo mchicha kabeji nyama samaki dagaa bei zake zipande juu hata nyumba za kupanga tabu tupuuuuuu
Watanzania wenzangu tumeona taarifa hii hapa kwenye jamvi mimi nimeprint copy miamoja nimewagawia vijana nafanya nao kazi huku kijijini nawaona wengine wanadondosha machozi wananithibitishia hawatachangia kitu chochote mpaka watakapokuwa na uhakika kama pesa yao haitakobwa kulipa Dowans
 
Mzee mwenzangu,

Kusema tumesema mie binafsi nilikuwa mwanzoni sioni njia ya kulipinga hili jambo ila baada ya kusoma ulichokiandika na ile taarifa kwenye Richmond pale Tanzania affairs it is clear someone screw us up. Sasa nini solution ya hili swala.
 
Kwa maelezo ya hiyo Article ya Mwanakijiji siwezi na wala sithubutu kuwalaumu wanasheria wa Tanesco, inaonekana walijitahidi sana kustick kwenye makaratasi yalivyokuwa yanasema, KILICHOWASHINDA NI KUPAMBANA NA NGUVU YA VIMEMO KUTOKA STATE HOUSE KWA JK NA EL

hili ni jambo ambalo............wengi wetu tunalisahau................
 
Back
Top Bottom