Jiunge na program yetu kuweza kufanyakazi TANESCO

Status
Not open for further replies.

kilio

Member
Joined
Jan 24, 2014
Posts
87
Reaction score
106
Hii in fursa kwako!!! Mwezi wa 11, mwaka 2021, Shirika la Umeme TANESCO liliingia mkataba na kampuni ya INDIA, ili kuanza safari yake ya mageuzi ya teknolojia (Digital Transformation). TANESCO ipo kwenye mIfumo ya kisasa ya Enterprises Resource planning (ERP) na Geographic Information Systems. Kwa malengo ya kuweza kuboresha huduma zake, miundo mbinu yake, na kuongeza ufanisi katika kutoa huduma kwa wateja waliopo na wataja wapya. Pia na kuweza kutumia mifumo hiyo kuboresha mipango mikakati ndan ya shirika hilo.

Wewe uliopo chuoni bado unasoma, uliyemaliza, au unafanyakazi , Kama una ndoto za kufanya kazi katika shirika la umeme TANESCO au Kampuni yako inafanyakazi na TANESCO ( kama contractor) au inampango wa kufanyakazi na TANESCO lazima uwe na uwelewa na mabadiliko haya yiliopo TANESCO kivitendo.

Jiunge na program hii ya mafunzo yetu yatakuwezesha kuendana na mabadiliko ya TANESCO katika Electric digital grid management kwakutumia Electric ArcGIS Utility Network Management itakuwezesha .Hii ni progeam ambayo inatumiwa na makampuni makubwa ya umeme nchi za nje.Ni pmoja ya program inakua kwa kasi sana na inapokelewa vizuri na makampuni ya umeme. Ni wakati wetu wa kuunganisha gepu la ukosefu wa technical skills utakudhibia nafasi ya kufika malengo.
Geospatial Tanzania ipo kwa ajili yako

TANESCO YAKANUSHA KUHUSIKA...
Habari ndugu kilio,

Tunapenda kukufahamisha kuwa TANESCO haitohusika na kitu chochote kitakacho sababishwa na program hii. ^GK

Attachments

  • techm3.jpg
    techm3.jpg
    257.2 KB · Views: 12
  • Firefly_gpt-image_Create a background for the photo below; show Electric ArcGIS Utility Networ...png
    Firefly_gpt-image_Create a background for the photo below; show Electric ArcGIS Utility Networ...png
    2.3 MB · Views: 10
  • Firefly_gpt-image_Create an image showing TANESCO's infrastructure digitized on the Electric A...png
    Firefly_gpt-image_Create an image showing TANESCO's infrastructure digitized on the Electric A...png
    2.3 MB · Views: 10
Hii in fursa kwako!!! Mwezi wa 11, mwaka 2021, Shirika la Umeme TANESCO liliingia mkataba na kampuni ya INDIA, ili kuanza safari yake ya mageuzi ya teknolojia (Digital Transformation). TANESCO ipo kwenye mIfumo ya kisasa ya Enterprises Resource planning (ERP) na Geographic Information Systems. Kwa malengo ya kuweza kuboresha huduma zake, miundo mbinu yake, na kuongeza ufanisi katika kutoa huduma kwa wateja waliopo na wataja wapya. Pia na kuweza kutumia mifumo hiyo kuboresha mipango mikakati ndan ya shirika hilo.

Wewe uliopo chuoni bado unasoma, uliyemaliza, au unafanyakazi , Kama una ndoto za kufanya kazi katika shirika la umeme TANESCO au Kampuni yako inafanyakazi na TANESCO ( kama contractor) au inampango wa kufanyakazi na TANESCO lazima uwe na uwelewa na mabadiliko haya yiliopo TANESCO kivitendo.

Jiunge na program hii ya mafunzo yetu yatakuwezesha kuendana na mabadiliko ya TANESCO katika Electric digital grid management kwakutumia Electric ArcGIS Utility Network Management itakuwezesha .Hii ni progeam ambayo inatumiwa na makampuni makubwa ya umeme nchi za nje.Ni pmoja ya program inakua kwa kasi sana na inapokelewa vizuri na makampuni ya umeme. Ni wakati wetu wa kuunganisha gepu la ukosefu wa technical skills utakudhibia nafasi ya kufika malengo.
Geospatial Tanzania ipo kwa ajili yako
Habari ndugu kilio,

Tunapenda kukufahamisha kuwa TANESCO haitohusika na kitu chochote kitakacho sababishwa na program hii. ^GK
 
Na hapo tanesco hakuna mtu aliye watag ila angalia walivo changamka....
😄😄😄😄🙌🙌🙌🙌
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom