Uhasibu, Afisa Biashara, au Afisa Manunuzi: Kazi ipi kati ya hizi ina nafasi nzuri ya kutengeneza pesa mbali na mshahara?

selemangrace346

JF-Expert Member
Sep 26, 2018
450
613
Wana JF kwema?

Straight to the point, najua JF is the home of great thinkers na inajumuisha watu mbalimbali wenye uelewa katika mambo mengi hivo Uzi wangu upo mahali sahihi kabisa, naomba ushauri kwa mwenye kujua ni kazi gani kati ya UHASIBU, AFISA BIASHARA, AFISA MANUNUZI, AFISA RASLIMALI WATU kwa ngazi za halmashauri ina nafasi ya kutengeneza pesa nzuri mbali na mshahara kwa maana ya marupurupu. Nina mdogo wangu yeye ni in service (mwalimu) na anataka kujiendeleza aweze kubadili kada.

N.B Suala la upatikanaji ajira hapa halina nafasi maana tayari ni in service.
 
Back
Top Bottom