Rais tengua uamuzi wako rudisha ajira za TRA Utumishi

Filosofia ya Rorya

JF-Expert Member
Sep 20, 2021
3,214
3,587
Kuna malalamiko mitaani na kwenye mitandao ya jamii kama Insta kuhusiana na mchakato (unaotafsiriwa kama ni dhalimu) wa Mamlaka ya Mapato Tanzania TRA kuendesha ajira kwa mfumo ambao unasemekana UMEKOSA UWAZI na kuzua hofu ya ufisadi wa ajira kupata kutokea kwa miaka 8 iliyopita.

Inayoitwa serikali ya awamu ya 5 ilirudisha ajira za TRA Utumishi ili kutenda haki kwa Watz wa madaraja yote ya maisha kufuatia malalamiko yaliyokithiri ya Mamlaka kutokuwa na uwazi katika kuajiri.

Awamu ya 6 ikatengua uamuzi huo na kuirejeshea TRA mamlaka ya kuajiri itakavyo, anasema mhanga mmoja wa ajira zilizohitimika hivi karibuni.

Anaendelea kusema TRA ilitangaza nafasi kwenye ukurasa wake, ikachuja waombaji na kutangaza majina yao kwenye ukurasa wake pia, ikachuja tena mara ya pili na kuita wasailiwa kwenye ukurasa wake.

Usaili ukafanyika kwa awamu 2 za mtihani na mahojiano. Matokeo ya usaili hayakutangazwa kokote kwa uwazi kuonyesha nani amechaguliwa na nani hakuchaguliwa.

Kwamba waliochaguliwa walipewa taarifa kwa baruapepe kila mmoja kivyake jambo ambalo linalalamikiwa kwamba limekosa uwazi.

Kwamba baadhi ya waliokosa wakapata habari tu kutoka kwa wenzao waliochaguliwa kwamba tayari wako kazini baada ya kumaliza mafunzo.

Hali hii ilitishia kuirejesha Rwanda kwenye kimbari ya 2 baada ya kimbari ya 1 na Mhe. Rais Paul Kagame hakulifumbia macho hata kidogo na kuchukuwa hatua za makusudi na za dharura kusahihisha mwelekeo wa taifa ikiwemo kwenye suala zima la ajira ambalo lilighubikwa na ukabila. Akaondoa dai la kabila kwenye nyaraka zote za nchi kwa sekta zote 2 rasmi na binafsi.

Tusipochukua hatua kujikosoa kama taifa iko siku tutapewa haki kikabila, iko siku tutapewa haki kwa ukanda, iko siku tutapewa haki kwa kigezo cha ukazi wa pande 2 za muungano, iko siku tutaajiri kwa kuangalia itikadi za kisiasa na kadi za uanachama wa vyama vya siasa kutumika kama moja ya viambatanisho vya nyaraka za kuomba ajira.

Binafsi nashauri ajira hizo zitenguliwe zoezi lianze upya kwa kuweka chombo huru cha kuisimamia TRA inaporudia kuajiri upya hadi hapo Utumishi itakapokasimiwa rasmi dhamana na jukumu hili adhimu kwa ustawi na utangamano wa taifa.

Rais tengua uamuzi wako rudisha ajira za TRA Utumishi.
 
20231216_195634.jpg
 
Kuna malalamiko mitaani na kwenye mitandao ya jamii kama Insta kuhusiana na mchakato (unaotafsiriwa kama ni dhalimu) wa Mamlaka ya Mapato Tanzania TRA kuendesha ajira kwa mfumo ambao unasemekana UMEKOSA UWAZI na kuzua hofu ya ufisadi wa ajira kupata kutokea kwa miaka 8 iliyopita.

Inayoitwa serikali ya awamu ya 5 ilirudisha ajira za TRA Utumishi ili kutenda haki kwa Watz wa madaraja yote ya maisha kufuatia malalamiko yaliyokithiri ya Mamlaka kutokuwa na uwazi katika kuajiri.

Awamu ya 6 ikatengua uamuzi huo na kuirejeshea TRA mamlaka ya kuajiri itakavyo, anasema muhanga mmoja wa ajira zilizohitimika hivi karibuni.

Usitarajie mabadiliko kwa sasa. Hili lilifanyika kwa makusudi kabisa ili watoto na ndugu zao waendelee kufaidi keki ya taifa.
 
Mm nilipooana wametoka utumishi nikajua hapa kuna watu watalia!! Haiwezekani watu wafanye saili zote 2 waliofaulu wanawekwa public lakini mwishoni wanatumiwa message ni mambo ya hovyo kabisa, swali la kujiuliza, tutajuaje kuwa walioajiriwa ndio wale waliofanya usahili au waliopitia hizo saili, je kwa nini tusiamini kuwa hao waliotumiwa email wametoa rushwa ili wapate hizo nafasi, na huenda hata usaili hawakufanya!! Haya ni mambo ya hovyo kabisa
 
So sad. Hatuna Raisi wa kufanyia kazi jambo nyeti kama hili
 
Haya ya ajira kutolewa kwa kuangalia itikadi za vyama na asili yako ni utaratibu rasmi wa SMZ. Baada ya muombaji kukidhi vigezo vya kitaaluma uamuzi unakuwa wa GSO. Hiki ni kitengo kinachouliza kadi ya CCM ya muombaji na wazazi wake.
 
Hizo kazi zitangazwe zisitangazwe ni za watu wa kanda ya kaskazini.
Ninyi wa kanda nyingine lipa kodi bila masharti.
Pamoja tunalijenga taifa.
TRA ikiwa ya watu wa Kanda ya Kaskazini, NIC ikiwa ya watu wa Kanda ya Nyanda za Juu Kusini, Majeshi yakiwa ya watu wa Kanda ya Ziwa na Mahakama ikiwa ya watu wa Kagera (Kanda ya Ziwa pia), Tume ya Kudumu ya Uchaguzi na Muhimbili zitakuwa za watu wa Kanda gani? Je, watani zangu Wagogo na Wamang'ati watafit wapi? Nchi itakuwa na umoja?
 
Mm nilipooana wametoka utumishi nikajua hapa kuna watu watalia!! Haiwezekani watu wafanye saili zote 2 waliofaulu wanawekwa public lakini mwishoni wanatumiwa message ni mambo ya hovyo kabisa, swali la kujiuliza, tutajuaje kuwa walioajiriwa ndio wale waliofanya usahili au waliopitia hizo saili, je kwa nini tusiamini kuwa hao waliotumiwa email wametoa rushwa ili wapate hizo nafasi, na huenda hata usaili hawakufanya!! Haya ni mambo ya hovyo kabisa
Xenophobia inatunyemelea kama Afrika Kusini hususan tutapofikia kutekeleza itifaki ya pamoja ya EAC ya soko la ajira.
 
So sad. Hatuna Raisi wa kufanyia kazi jambo nyeti kama hili
Sote tunakumbuka Magufuli alitinga UDOM na kuondoa wasio na sifa ya kusoma digrii na kuwaweka kwenye stashahada. Pia alimuondoa ndugu wa Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani aliyepelekwa (kwa wadhifa huo) kusomea nyota kwenye chuo cha jeshi moja hivi lililoko chini ya wizara hiyo pale Kurasini.
 
Hapa cha kufanya siyo kurudisha TRA utumishi bali kila idara ifanye mchakato kivyake. Utumishi nao ni jipi tu
Utumishi ni wizara mama inayopatikana kwenye nchi zote 255 za dunia hii; ambazo ni wanachama wa UN. Kuinyima dhamana na wajibu wa kuajiri ni sawa na kulipa jeshi la mgambo mamlaka ya kuajiri askari wa JW alafu utegemee kupata wapiganaji mahiri na jeshi imara.
 
100% sina imani na utumish kabisa kila mtu aajiri watu wake kwa utaratibu. wake
Utumishi wana mahusiano ya kiasili ya kikazi na taasisi za elimu ikiwemo NECTA na pia Uhamiaji. Kila taasisi ikiajiri kivyake iko siku tutajikuta tumeajiri mjukuu wa Nduli Idd Amin Dada kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufaa (ambaye huwezi kumtoa kwenye ajira) alafu anapangiwa kesi inayomdai rais. Au hata tukamuajiri kitukuu cha Sultan Jamshid kuwa mwanajeshi na siku moja akapanda hadi kuwa Mkuu wa Jeshi.

Kifupi ni kwamba kila taasisi ikiajiri yenyewe yafuatayo yatajiri:-

1. Utumishi haitakuwa na ikama sahihi ya watumishi kwa ajili ya bajeti ya nchi.

2. Kuna hatari raia wa kigeni wakapata ajira na wenyeji kukosa.

3. Vihiyo wanaopasua kichwa badala ya mguu na mguu badala ya kichwa watapenya na kuongezeka.

4. Mafisadi watazidi kwenye utumishi wa umma.

5. Ukabila na xenophobia vitatamalaki.

6. Upandishaji vyeo na madaraja vitakuwa kwa upendeleo.

7. Mapendekezo ya nyongeza za mishahara, mafao na pensheni zitafanywa kwa hila.

8. Migogoro ya kazi itazidi.
 
Back
Top Bottom