wadau vp kuhusu wizi wa posta zetu? Bd upo?
Zote in kampuni za MTU mmoja ila alibaba no kwa ajili ya manunuzi ya jumla wakati aliexpress ni kwa manunuzi ya jumla na rejarejawadau naombeni tofauti kati ya alibaba na aliexpress..
ahsante sana!!Zote in kampuni za MTU mmoja ila alibaba no kwa ajili ya manunuzi ya jumla wakati aliexpress ni kwa manunuzi ya jumla na rejareja
Alibaba na aliexpress hawatumii PayPal ni card za VISA,Matercard direct ama T/T na Western UnionUnatumia PayPal?
Natakaga kuagiza laptop na camera lakini huwa naogopa sana sijui kwa nini! Mkuu nibembeleze basi ili niweze kuagiza!!
Hiyo posta ya Dar si ndiyo inayolalamikiwa na wadau humu ndani? Unamdanganya nani mkuu?Nunua wala hutojuta, posta pia wako vizur kama uko dar
Unapewa track number au posta ukifika mzigo wanakupigia.
Hiyo posta ya Dar si ndiyo inayolalamikiwa na wadau humu ndani? Unamdanganya nani mkuu?
Nimenunua fast charge tangu 26/3/2018. Mpaka leo hakuna taarifaNaomba nikiri kwa kinywa changu kwamba aliexpress inazipiku hizo eBay na hata amazoni
-
Kwanza aliexpress ni rahisi kununua
Pili ni fastest shipping compare to ebay or amazon
Cha tatu wanarefund haraka na ni wa uhakika zaidi
Cha NNE bidhaa zao ni cheap na affordable
Cha tano sana customer care nzuri sana
Cha sita packages za bidhaa wanapack vizuri
Sijaona cha kunishawishi kunitoa aliexpress kiukweli naenjoy sana hata juzi ijumaa nimetoka kupokea parcel zangu Posta ya Arusha
Jamaa wapo vizuri changamoto ni Posta zetu hazijakaa kidigital hapa ndo tatizo
Nyingine ongezeeni wakuu
wadau naombeni tofauti kati ya alibaba na aliexpress..
ulitumiwa kwa njia gani???huo ushafika mkuuNimenunua fast charge tangu 26/3/2018. Mpaka leo hakuna taarifa
refund jee?Nilikua mtumiaji mzuri sana wa eBay ila niliongiwa na ukakasi mwishoni mwa mwaka jana baada ya kuagiza drone kwa pesa ndefu kweli kweli nimesubiri mwezi naingia kucheki status naambiwa "seller suspended"
Kuhangaika kusumbuana na eBay mwisho wa siku nikachoka nikaachana nao mpaka sasa sitaki tena masuala ya kununua vitu online kuna ufala mwingi
why??Huo ni mtazamo wako kutokana na experience yako na hao......
Nimekutana na watu hawataki hata kuusikia huo mtandao....