Kinkunti El Perdedo
JF-Expert Member
- Nov 28, 2020
- 5,599
- 14,067
Shekhe tuko na mfungo wa mwezi Ramadhani,mbona wataka tuvunje swaumu!
Donald trump hajawahi kuisha radha period.
Donald trump hajawahi kuisha radha period.
Kuna mtu aliniambia nyama yake nyekundu sana, waulize watu wa Yanga huwa wanachinja ngamia.Kwa wenzetu mliotembelea uko saudia na uarabuni mbona hamtupi mlejesho wa mapishi na utamu wa ngamia?
Waje muda huuUtachinjwa vibya
Betrutembe gani jekundu hivy au umemiksi na nini
Nayapokea nikiwa hai 🙏amini mtu wangu,, ugali wenyewe umeusonga ukasongeka 🤣🤣 alooo nikupe maua yako
🥱🥱 nilisahau aseShekhe tuko na mfungo wa mwezi Ramadhani,mbona wataka tuvunje swaumu!
Donald trump hajawahi kuisha radha period.
hapo sawaa,, ila betrut huwa napenda kuitumia pekeyake,, sijawahi kujua kama ukichanganya na tunda lingine inanogaBetrut
Af ndio uka mkataa binamu yangu poaBonge moja ya msosi!
WanakuonaWaje muda huu
Nani aligundua wa kwanzaIla tuache utani kitimoto ni kitamu sana
Ina kuwa mzuri sana jaribuhapo sawaa,, ila betrut huwa napenda kuitumia pekeyake,, sijawahi kujua kama ukichanganya na tunda lingine inanoga
sawaa nitajaribuIna kuwa mzuri sana jaribu
Dogo kwenye ubora wakoTulia hapa nikuelekeze jinsi ya kupika kitimoto kizuri cha geto na ugali
Kwanza tafuta chainizi au mchicha ukate kama hivi nilivyo kata mimi
View attachment 3558734
Kisha anza kukaanga kitimoto chako usiwek mafuta na baada ya hpo weka zako vitunguu kaanga mpaka vilainike na uwke karoti na nyanya usiweke hoho kwasababu kuna mboga za majani hoho sio muhimu hapa
View attachment 3558735
Nyanya yako ikiiva weka mboga za majani mm napenda mboga za majani zisiive sana ndio maana naweka mwishoni
View attachment 3558736
Kama hivyo kisha changanya vizuri pole pole baada ya dakika chache nikazima jiko baada ya kuona mboga yangu imeiva nilivyo taka
View attachment 3558738
Baada ya hapo nikasonga ugali vizuri nika kata na utamaduni wetu swafiiii
View attachment 3558739
Baada ya hpo nilisahau juice yangu aseee ila nimeshiba ile mbaya karibuni iki chakula
Ni cha hamu
View attachment 3558740
Na wanyama mmewafukuza ili mlime. Bado kuzinduliwa siku ukiingia ndani utasema kwelii pame badirika sanaa
Alafu Mwachiluwi unatuchukuliaje humu ndani.Usiseme hivyo maana unamtamanisha kobazi Poor Brain na Al Mukheef.
Utakua msabato makambi weweOverrated meat🚮
Unaniona Mimi boya au?Embee