Fake P
JF-Expert Member
- Jan 3, 2017
- 4,967
- 14,698
Laiboni amefanya yake tayari🤣 si watakimbia eneo loteNdio ila kuingia shambn wao ngumu
Laiboni amefanya yake tayari🤣 si watakimbia eneo loteNdio ila kuingia shambn wao ngumu
Ujitambui ww IKitimoto aheshimiwe na watu wote bhana!
Acheni mambo ya ajabu nyieAstakafirullah cc Poor Brain
We jauNdio nilikuwa nachukua ujuzi
Jichanganye uone.Utavurumishwa vibaya Sana😅Aisee hadi mate yamenitoka hapa 😋.
Yaani kesho nitampika halafu naenda kukaa chini ya mti uliokaribu na msikiti wa hapa jirani huku nikimla ilikusudi niwarushe tu roho wale wanaokwenda kuswali.
Mbona watafungua bila kupenda?!
Ndugu yangu katika imani Monetary doctor njoo tuone msosi mtamu.
Mbaga Jr.
Leo itabid nimle tuu japo ni cc secretarybirdAcheni mambo ya ajabu nyie
Hapana mkuu wewe sizani kama kitimoto ni vtu vyako.Leo itabid nimle tuu japo ni cc secretarybird
Unajua utamu wa kitimoto dogo na safari za baridiHapana mkuu wewe sizani kama kitimoto ni vtu vyako.
Usifate mkumbo kabisa
Weee mlevi kumbeUnajua utamu wa kitimoto dogo na safari za baridi
Mnywa juiceWeee mlevi kumbe
Astaghfillah astaghfillah IMnywa juice
kafirullah mara tatuAstaghfillah astaghfillah I
Fayaaa 🔥.Ujitambui ww I
Wacha buana!Jichanganye uone.Utavurumishwa vibaya Sana😅
Do dat plizz.Leo itabid nimle tuu japo ni cc secretarybird