Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,913
- 67,435
- Thread starter
- #21
Agizia tuNaweza pata kitimoto 🐖 Kwa ajili ya daku Leo alfajiri?
Agizia tuNaweza pata kitimoto 🐖 Kwa ajili ya daku Leo alfajiri?
Mcheki Mwachiluwi akutengenezee.Nahitaji kitimoto 🐖 nifuturu
Sawa mrembo ngoja niagizeAgizia tu
Nahitaji Makange nilie tendeMcheki Mwachiluwi akutengenezee.
😀🐖🐷 Hii kitu ulie tende ni SunnahUsiseme hivyo maana unamtamanisha kobazi Poor Brain na Al Mukheef.
Hahaha 😂, hapa natokwa na mate tu.😀🐖🐷 Hii kitu ulie tende ni Sunnah
KitafuteMate yamenijaa mdomoni hayakauki😋
Takbir ⚔️Aisee hadi mate yamenitoka hapa 😋.
Yaani kesho natapika halafu naenda kukaa chini ya mti uliokaribu na msikiti wa hapa jirani ilikusudi niwarushe tu roho wale wanaokwenda kuswali.
Mbona watafungua bila kupenda?!
Ndugu yangu katika imani Monetary doctor njoo tuone msosi mtamu.
Mbaga Jr.
Na tule kitimoto kwa afya zetu 😎.Takbir ⚔️
kwanini unajua kurost hivi mpka unanishida?Tulia hapa nikuelekeze jinsi ya kupika kitimoto kizuri cha geto na ugali
Kwanza tafuta chainizi au mchicha ukate kama hivi nilivyo kata mimi
View attachment 3558734
Kisha anza kukaanga kitimoto chako usiwek mafuta na baada ya hpo weka zako vitunguu kaanga mpaka vilainike na uwke karoti na nyanya usiweke hoho kwasababu kuna mboga za majani hoho sio muhimu hapa
View attachment 3558735
Nyanya yako ikiiva weka mboga za majani mm napenda mboga za majani zisiive sana ndio maana naweka mwishoni
View attachment 3558736
Kama hivyo kisha changanya vizuri pole pole baada ya dakika chache nikazima jiko baada ya kuona mboga yangu imeiva nilivyo taka
View attachment 3558738
Baada ya hapo nikasonga ugali vizuri nika kata na utamaduni wetu swafiiii
View attachment 3558739
Baada ya hpo nilisahau juice yangu aseee ila nimeshiba ile mbaya karibuni iki chakula
Ni cha hamu
View attachment 3558740
EmbeeJuice ya nini hiyo.. kitimoto nitanunua tu
Utachinjwa vibyaTakbir ⚔️
🤣🤣 sio kwelikwanini unajua kurost hivi mpka unanishida?
embe gani jekundu hivy au umemiksi na niniEmbee
amini mtu wangu,, ugali wenyewe umeusonga ukasongeka 🤣🤣 alooo nikupe maua yako🤣🤣 sio kweli