Jifunze kupika kitimoto na mboga za majani

Jifunze kupika kitimoto na mboga za majani

Kila kitu kitu kipo sawa ila hapo kwenye machainizi ndio kamzozo.Vipi nikiweka tembele badala ya chainizj?.Mauric acid baba.
 
Aisee hadi mate yamenitoka hapa 😋.

Yaani kesho natapika halafu naenda kukaa chini ya mti uliokaribu na msikiti wa hapa jirani ilikusudi niwarushe tu roho wale wanaokwenda kuswali.

Mbona watafungua bila kupenda?!


Ndugu yangu katika imani Monetary doctor njoo tuone msosi mtamu.

Mbaga Jr.
Astakafirullah cc Poor Brain
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom