Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,913
- 67,435
- Thread starter
- #81
Sijawai ona ilo labda mchichaKila kitu kitu kipo sawa ila hapo kwenye machainizi ndio kamzozo.Vipi nikiweka tembele badala ya chainizj?.Mauric acid baba.
Sijawai ona ilo labda mchichaKila kitu kitu kipo sawa ila hapo kwenye machainizi ndio kamzozo.Vipi nikiweka tembele badala ya chainizj?.Mauric acid baba.
Kashaolewa si ulikuwa una mringiaNipe digits zake
Kabisa nyama ya hamu hii kama binamuDahhhh..... nna karibia mwez bwashee sijala hii mambo .... ngoja jion baada ya harakati nipitie wala niupe mwili chochote kitu ............
Leo najua nimekukosea 🤣🤣 ila kesho nina futurisha sizan kama nitaweza kuandika uzi hapa maana vyakula vingiMnapenda kuchokoza watu😂
Hiyo juice ni ya nini?Tulia hapa nikuelekeze jinsi ya kupika kitimoto kizuri cha geto na ugali
Kwanza tafuta chainizi au mchicha ukate kama hivi nilivyo kata mimi
View attachment 3558734
Kisha anza kukaanga kitimoto chako usiwek mafuta na baada ya hpo weka zako vitunguu kaanga mpaka vilainike na uwke karoti na nyanya usiweke hoho kwasababu kuna mboga za majani hoho sio muhimu hapa
View attachment 3558735
Nyanya yako ikiiva weka mboga za majani mm napenda mboga za majani zisiive sana ndio maana naweka mwishoni
View attachment 3558736
Kama hivyo kisha changanya vizuri pole pole baada ya dakika chache nikazima jiko baada ya kuona mboga yangu imeiva nilivyo taka
View attachment 3558738
Baada ya hapo nikasonga ugali vizuri nika kata na utamaduni wetu swafiiii
View attachment 3558739
Baada ya hpo nilisahau juice yangu aseee ila nimeshiba ile mbaya karibuni iki chakula
Ni cha hamu
View attachment 3558740
Ntamdaka mdogo wake.Kashaolewa si ulikuwa una mringia
Embee na betrutiHiyo juice ni ya nini?
🤣🤣🤣 au sio kijanNtamdaka mdogo wake.
NtaijaribuEmbee na betruti
Uzi unanukia haram haram
😊😊😊 Sawa nakujulishaa.....usijareeee sameja angu,, siku ukiwa na nafasi utanambia🤗
oukyyy pamoja🤝😊😊😊 Sawa nakujulishaa
Hizo mboga mboga safi sana ...... unate na kaugali flani lainiKabisa nyama ya hamu hii kama binamu
Utaingiza gari mtaroni kwa shibe 🤣Hizo mboga mboga safi sana ...... unate na kaugali flani laini
Sawa hongera chagua vike hujawah leta ndio tunatakaLeo najua nimekukosea 🤣🤣 ila kesho nina futurisha sizan kama nitaweza kuandika uzi hapa maana vyakula vingi
Kabisa ngoj niangalieSawa hongera chagua vike hujawah leta ndio tunataka
Natabia ya kuongeza chunvi nikija hapo utakubali?Tulia hapa nikuelekeze jinsi ya kupika kitimoto kizuri cha geto na ugali