Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,586
- 50,683
Utakuwa umerogwa blazaHujawahi kupewa vitu vitamu wewe! Unajua Kuna watu wanautamu mpk ukifumba macho unaona ule usemi wa "zunguka huko nami huku tumfinye mshenz..I"
Utakuwa umerogwa blazaHujawahi kupewa vitu vitamu wewe! Unajua Kuna watu wanautamu mpk ukifumba macho unaona ule usemi wa "zunguka huko nami huku tumfinye mshenz..I"
Umenikumbusha kipindi mchepuko wangu uliposhtukia kuna manzi mwingine, ukasema utamwambia wife labda yeye ndio nitamsikilizaWanaume kutulia ni ngumu labda awe na hofu sana ya Mungu, vishawishi ni vingi sana na teknolojia inachangia kurahisisha zinaa,
Mbaya zaidi unamtongoza mwanamke anaejua kila kitu kuhusu wewe lakini hajali anakubali na mtoto anakuzalia, tatizo linaanzia kwenu. Kama huyo aliemuua jamaa pengine anajua ana familia yake lkn kaamua kua nae, Kuna nipo nae mchepuko ana wivu kuliko hata mke wangu na kunifuatilia kupitiliza, na kunitishia maisha keshanitisha sanaa apo yeye ni mchepuko na anajua kila kitu kuhusu mimi. Sisi tunavutiwa na nyie kwanini msitukatae?
Aiseh ni huzuni mno.watu wakimya aiseh 🥺🥺🥺Akili iliruka kidogo..siunajua stress ikiwa kwenye peak
Si ndo hapo sasa jamani 🥺🥺Siyo sawa kabisa...
Kama mtu siyo muaminifu sii unapita kushoto...
Ikawaje sasaUmenikumbusha kipindi mchepuko wangu uliposhtukia kuna manzi mwingine, ukasema utamwambia wife labda yeye ndio nitamsikiliza
Yote kheriUtakuwa umerogwa blaza
Mithali 6.23"aziniye na mwanamke hana akili kabisa afanya jambo litakaloangamiza nafsi yake" hayo ni maneno ya biblia sijui kwenye kitabu gani vile nikumbusheni jamani
Ulizia kwanza anaitwa Neema nani utapata jibu sahihiMbona neema mwenyewe anaonekana mpole,mnyenyekevu na mwenye huruma (angalieni sura yake jamani)nini kimemkuta mpaka kufikia hatua hiyo jamani
Kwanza nikukosoe hili tukio limetokea jana usiku? Rekebisha mada yako hata kama umeikopi sehemu jifunze kuandika tarehe ya tukio na sio mambo ya jana juzi.Jamaa huyo maarufu kwa jina la Zungu ameuliwa kwa kuchomwa moto na mpenzi wake huyo kwa jina la Neema. Tukio limetajwa kutokea huko Mbezi Makabe, Dar jana usiku.
Sababu inadaiwa ni jamaa kutokuwa mwaminifu katika mapenzi yao ndipo mdada anadaiwa kumfungia ndani jamaa kisha kumwaga petrol na kuunguza nyumba inayodaiwa kuwa ya baba wa mdada huyo.
Kabla ya tukio hilo jana, inadaiwa Neema aliweka status mtandaoni kuashiria atafanya tukio baya huku katika status hizo akisema mtanisamehe
Zungu ambaye ametajwa kuwa kinyozi huko Mbezi, kwa upande mwingine anadaiwa alikuwa na mke na watoto wawili hivyo Neema alikuwa mpenzi wake mwingine. Kwa mujibu wa walioshuhudia nyumba ikiungua wamesema walikuwa wakisikia sauti ya Zungu akimuomba Neema amsamehe na amfungulie mlango asifariki lakini moto uliochagizwa kwa petrol unadaiwa ulikuwa mkubwa
Neema tayari inadaiwa amedakwa yupo polisi.
Je, kitendo alichofanya Neema ni sahihi?
Nini maoni yako?
View attachment 1856649
Hebu mwangalie mwanaume mwenyewe pale juu halafu useme kama anaweza kufanya hivyo!Nikianza ku imagine kwa circumstances ya tukio naona kama hata mchizi kafa kizembe
Yani demu anawasha moto we uko ndani baada ya ku fight utoke unaanza kumuomba afungue mlango?
Hapo ningekua mimi vyomba vya habari headlines zingeandika the return of koyla.
Yani ningepita na mlango huku nawaka kama sharukan
Nani alimwambukiza mwenzake? Andika kwa utulivu ueleweke sio unaandika kama unaharisha.
Hahahaaaaa, ikabidi uwe mpoleeeUmenikumbusha kipindi mchepuko wangu uliposhtukia kuna manzi mwingine, ukasema utamwambia wife labda yeye ndio nitamsikiliza
NaamMaana yake hata wanawake wanawafanyia the same...mke wa mtu, mume wa mtu
Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Basi mwisho wa siku malipo ya mzinzi ni kama ya mwizi jamaa kaishia kufa,Wanaume kutulia ni ngumu labda awe na hofu sana ya Mungu, vishawishi ni vingi sana na teknolojia inachangia kurahisisha zinaa,
Mbaya zaidi unamtongoza mwanamke anaejua kila kitu kuhusu wewe lakini hajali anakubali na mtoto anakuzalia, tatizo linaanzia kwenu. Kama huyo aliemuua jamaa pengine anajua ana familia yake lkn kaamua kua nae, Kuna nipo nae mchepuko ana wivu kuliko hata mke wangu na kunifuatilia kupitiliza, na kunitishia maisha keshanitisha sanaa apo yeye ni mchepuko na anajua kila kitu kuhusu mimi. Sisi tunavutiwa na nyie kwanini msitukatae?