kwa hiyo Lusinde naye afutiwe ubunge wake,!? Jibu hapana hilo haliwezekani.
Nina imani thabiti kwamba hawa watu wachache wametumika kuidhurumu haki ya huyu mtu mnyonge tema chaguo la wengi.
Inakuwaje aliyetukanwa ama kukashfiwa hajaenda mahakamani lakini hawa wakaweza kufanya hivyo.!!
siasa bwana...!?
Hivi ni kweli kwamba mahakama imeagizwa imfungie Lema asigombee mpaka ipite miaka mi5Niliwaambia ataanza kuondolewa Lema mkabisha, sasa atafuata Lissu halafu Mnyika. CHADEMA hamna chenu.
....ndiyohiyo
Unauliza mwisho wao mkuu? Tumesha noa mapanga kwa ajili yao.Ona walivyokaa ni wanafiki tu hawa,
njaa zao zitaumiza watz kwa ajili ya kurudia uchanguzi,
tuone mwisho wao nao utakuwaje.
Niliwaambia ataanza kuondolewa Lema mkabisha, sasa atafuata Lissu halafu Mnyika. CHADEMA hamna chenu.
....ndiyohiyo
Niliwaambia ataanza kuondolewa Lema mkabisha, sasa atafuata Lissu halafu Mnyika. CHADEMA hamna chenu.
....ndiyohiyo
Nimeongea na mwana CCM mmoja hapa DAR ni mtu mwenye nafasi kubwa kidogo lakini kwasababu ni mtani wangu nimemuuliza je mnategemea kushinda Arusha akanijibu wao Wanaamini hawatashinda ila wanataka CHADEMA watumie mda mrefu kuhangaika na chaguzi ndogo na fedha kidogo walizo nazo zitumike kughalamia kesi na hizo chaguzi ili ifikapo 2015 wawe hoi kifedha waburuzwe tu kama Mizoga.
watu wengine cjui bange zinawawasha! We kijana shika adabu yako.
Niliwaambia ataanza kuondolewa Lema mkabisha, sasa atafuata Lissu halafu Mnyika. CHADEMA hamna chenu.
....ndiyohiyo
Mliposema Slaa kugombea Arumeru mlijibiwa, unadhani majibu yale hayaapply na Arusha???hebu mtafute mambo ya kuwasilisha humu jamani. Mbona issues zipo nyingi za kuleta kwenye hili jikwaa. kama hatuna points ni bora tubaki wasomaji. Huu nimtazamo wangu tu.Wana jf, ukweli ni kwamba Lema sio saaaaana. Tumtose Lema, kamanda wetu aingie bungeni....
Hapo vipi?!
Kwanza naomba kutoa pole kwa viongozi wa CDM wa ngazi zote, wanachama, na wapenzi wa CDM popote pale mlipo hapa nchini na nje ya nchi kwa hukumu iliyotolewa leo tarehe 05/04/2012 asubuhu na mahakama kuu kanda ya kaskazini-Arusha dhidi ya aliyekuwa mbunge wetu Godbless Lema. Na pili nitoe pole kwa Mbunge wetu(nasema mbunge wetu maana najua atarudi tu nwa kwa hilo sina wasiwasi) maana najua kama binadamu wa kawaida hukumu hii itakuwa imemchanya kidogo japo alishajua nini kitatokea kutokana na mazingira yalivyokuwa yanajionesha."NAMTIA MOYO MBUNGE WANGU KWA KUSEMA POLE NA HONGERA SANA MAANA HILI LINAKUONGEZEA UJASIRI ZAIDI" maana wengi tunaufahamu ujasiri wako.
Pili ndugu napenda kuwaambia kuwa pamoja na kuwa uchaguzi utarudiwa CCM wanajua fika kuwa hawawezi kushinda Arusha Mjini ila mkakati walio nao ni kuhakikisha kuwa CHADEMA inapoteza fedha nyingi katika chaguzi ndogo na kutumia gharama katika kesi za kupinga matokeo ili chama kiishiwe fedha.Hivyo ndugu zangu wanaCDM na wapenzi wote wa CDM nawaomba tena nawasihi tujitotea kuchangia kwa michango gharama zote za uchaguzi mdogo utakaporudiwa bila chama kutumia fedha za chama ambazo zinetumika kukijenga chama mara baada ya uchaguzi wa Arumeru Mashariki.Tuwashauri viongozi wetu watupe utaratibu unaoweza kutumika ili kurahisisha zoezi hili endapo litaungwa mkono na wanachama ili kila mmoja achangie kwa kadri ya uwezo wake,mwenye sh.50/=,100/=, 200/=, 500/=, 1000/= na kuendelea tuchangie ili kumrejesha kamanda wetu LEMA Bungeni.
Natumaini hoja yangu imeeleweka na nakaribisha michango yenu ya hoja.
Naomba kuwasilisha.
" KUMBUKA SIKU ZOTE UKIMPIGA CHURA TEKE UNAMWONGEZEA HATUA YA KUSONGA MBELE "