Red Scorpion
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 5,736
- 4,254
Magamba bwana!!
Lema haja hukumiwa na mahakama bali amehukumiwa na Ikulu...Nzi,
Unataka ushahidi gani zaidi ya hukumu ya Mahakama Kuu kanda ya Arusha chini ya Jaji msomi Gabriel Rwakibarila.
Haya yatakuwa ni mawazo yako baada ya kula ndumu nyie machalii wa arusha ndumu zinawaharibu!
Mkuu Pakajimmy,WALIOMUUA LEMA HAWA HAPA!
wakazi watatu wa Jimbo la Arusha Mjini na wanachama wa CCM Kulia ni Mussa Mkanga,Agnes Mollel na Happy Kivuyo waliofungua kesi ya kupinga matokeo ya uchaguzi katika jimbo hilo kwa Mbunge wa Chadema Godbles Lema,wakiwa katika chumba cha Mkahakama Kuu Kanda ya Arusha leo wakati kesi hiyo ilipoanza kusikilizwa.
View attachment 51051
CCM ilishasambaratika yenyewe ndani baada tu ya kichapo pale Arumeru Mashariki, na sasa Arusha mjini itakuwa ndiyo mwisho wao. Arumeru walienda na sera ya matusi, sijui Arusha watakuja na kipi tena; maana udini walijaribu Igunga ukafeli, matusi Arumeru yamefeli!!!!!! Arusha ........!! yetu masikio.
Lema haja hukumiwa na mahakama bali amehukumiwa na Ikulu...
Wana jf, ukweli ni kwamba Lema sio saaaaana. Tumtose Lema, kamanda wetu aingie bungeni....
Hapo vipi?!
Nzi,
Unataka ushahidi gani zaidi ya hukumu ya Mahakama Kuu kanda ya Arusha chini ya Jaji msomi Gabriel Rwakibarila.
msomi wa wap?umeona wap msomi akakubali kutumiwa kama Condom ya kiume?
Ni kwamba hujamuelewa au unaleta umagamba, kasema umuwekee clip ya video au audio kama ile ya lusinde inayomuonyesha LEMA akimwaga matusi....wewe unaaza kuzunguka zunguka!!!
Wana jf tupo wangapi mpaka nipate 22 mkuu?
Kwanza sina shida ya kwenda UNGA LTD,namaliza kampeni zangu hapa hapa jf.