Jicho la tatu Arusha na Lema linavyoona

Hivi ni kweli kwamba mahakama imeagizwa imfungie Lema asigombee mpaka ipite miaka mi5

Lema yuko huru kugombea chaguzi ijayo!hakuna kifungu cha sheria kinacho halalisha ilo
 
Arusha mjini ccm itabaki kuwa chama cha upinzani hata cdm wakiweka jiwe ligombee! Uchaguzi mdogo ni kupoteza muda na fedha za serikali tu! Hizo hela wangetunza kwa ajili ya Segerea.
 
Nimeongea na mwana CCM mmoja hapa DAR ni mtu mwenye nafasi kubwa kidogo lakini kwasababu ni mtani wangu nimemuuliza je mnategemea kushinda Arusha akanijibu wao Wanaamini hawatashinda ila wanataka CHADEMA watumie mda mrefu kuhangaika na chaguzi ndogo na fedha kidogo walizo nazo zitumike kughalamia kesi na hizo chaguzi ili ifikapo 2015 wawe hoi kifedha waburuzwe tu kama Mizoga.

MAGAMBA wanatumia masaburi kufikira. Yaani wameshindwa kukumbuka kwamba ni juzi tu CHADEMA wameanzisha M4C. Mfuko ambao pesa zinatoka kwa wananchi. Sio CCM pesa zinatoka kwa matajiri ambao nao wameshashtuka. Kila wanapotoa pesa zao jamaa badala ya kuzifanyia kampeni zinapelekwa kulipia faini za kufumaniwa.

CHADEMA hawataishiwa ng'o. Si wameona ARUMERU!!! Tatizo sikio la kufa hali sikii dawa.
 
Biashara biashara imewadia katika mji wetu wana wa arusha! tukashone mashati ya magamba na suluwali nyeusi tumeze mihela halafu siku ya majumuisho tunakomaa kwenye Kombati.
This time ndiyo huwe mkakati! si unajua ****** aliondoa mikutano ya kimataifa hapa baada ya kuchagua cdm pesa ikapotea town sasa this time tukae kibiashara zaidi tujiunge na sisiemu kwa wingi tubonse mihela halafu mwisho teh teh teh! Pipoooooooooooooooooooooooooooooooo!

Kwa kweli hapo umenena. Acha mafisadi kama kawaida yao yachemke na mihela yao. Hapendwi mtu wa CCM hapa, ni CDM tu.
 
Leo nilikuwa sokoni,wamama wakawa wanaongea wakasema hata akiwekwa nyoka wa shaba na ccm watamchagua nyoka.,Wananchi wamechoka na utawala wa kidhalimu na wanataka mabadiliko ya kweli.,CCM haina chake huku.
 
WALIOMUUA LEMA HAWA HAPA!

wakazi watatu wa Jimbo la Arusha Mjini na wanachama wa CCM Kulia ni Mussa Mkanga,Agnes Mollel na Happy Kivuyo waliofungua kesi ya kupinga matokeo ya uchaguzi katika jimbo hilo kwa Mbunge wa Chadema Godbles Lema,wakiwa katika chumba cha Mkahakama Kuu Kanda ya Arusha leo wakati kesi hiyo ilipoanza kusikilizwa.




View attachment 51051


Walitumia haki yao ya kikatiba na wala wao hawana makosa; kama kuna kosa basi ni la wale walinzi wa Katiba. Kesi hiyo ilikuwa ni ya kupuuzi sana hata mwanafunzi wa LAW 101 asingeshindwa kuona upuuzi wa kesi hiyo ila eti JUDGE wa High Court ya Tanzania hakuweza kuuona.
 
Walitumia haki yao ya kikatiba na wala wao hawana makosa; kama kuna kosa basi ni la wale walinzi wa Katiba. Kesi hiyo ilikuwa ni ya kupuuzi sana hata mwanafunzi wa LAW 101 asingeshindwa kuona upuuzi wa kesi hiyo ila eti JUDGE wa High Court ya Tanzania hakuweza kuuona.


Mheshimiwa Kichuguu na Mwalimu mwenzangu, unasemaje kuwa hio kesi ilikuwa ni ya kipuuzi?

jee umepitia ushahidi wa pande zote mbili ? na umeona jinsi gani Lema alivyowasilisha utetezi hafifu? na kama haki haijatendeka unadhani hatua njema kwa Lema na Chadema ni kufanya nn ?

Ndugu Mwalimu Mwenzangu naomba maelezo yako
 
viongoziikulu.JPG







https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/170168-wasiotaka-ikulu-iwe-na-website-hawa-hapa.html
 
Bwana Kayoka nina wasiwasi na elimu yako ........................sijui kama unajua kuchambua mambo

hakika elimu yangu ni ndogo sana (class 4 la zamani) lakini nimeandika kile ninachokiamini.
Tuambie wewe msomi unaonaje?
 
Napenda kuwaeleza kwamba, haya yote yanayomkuta Lema ni kutokana na nyie kutumiwa na mafisadi kuweza kukandamiza haki ya mnyonge.
Tazameni sasa damu yetu wana Arusha inaenda kumwagika wakati wote wa kampeni mpaka uchaguzi ujao hapo Arusha.
Mmekubali kutumika ili kuweza kumkomoa lema lakini kumbukeni kwamba nguvu ya umma kamwe haiwezi kuzimwa na nyie. Kitu gani kiliwawasha mpaka mkafanya hivyo?
Anyway MUNGU yupo one day atakuja kudhihirisha ukweli juu ya jambo hili.


huu ni upumbavu wa hali ya juu, lazima ifike wakati tuwe accountable na maneno yetu au matendo yetu. ushahidi wa kesi ya lema ulikuwa very heavy...sasa swala ni kweli au ni uwongo?/ tusipende kulea ujinga!
 
We tunakufahamu ni walewale wa kunywa kahawa pale maeneo ya msikitini huna lolote!!!!!!!!!!!!!!!

Mvumbuzi! ..lol.! ndio umevumbua hilo leo ...! or have you been SUN BATHING too much that the heat has got to your brain? lol .. no wonder your supporting Chadema ..
 
Kweli tunaraisi wa aina yake yuko radhi kuwalinda waziri wa afya ata kama watazania wamekufa ajali ,but yuko tayari kumvua mbunge wetu chaguo letu kwa ajili ya roho yake mbaya.Lema ni chaguo la mungu so wote waliohusika kuanzia jaji watakutana no mkono wa mungu siku kumi na nne azitapita mtaona kitakachotokea ktk nchi hii.hebu jaribuni kuwaza kama kweli viongozi wote wa ccm walikuwa wanajuha lema anavuliwa ubunge kabla jaji ajasoma hukumu kweli huyu jaji ni mnyama sana namchukia sana na malaika wa bwana wamkoseshe AMANI KUANZIA SASA NA WOTE WALIOSHIRIKI KUFANYA UNYAMA HUU.LEMA ATUTAKAA TUMSAHAU WATU WA ARUSHA KWA USHUPAVU WAKE AKUOGOPA KUANZIA RAISI <WAZIRI MKUU WOTE ALIWAPA KUBWA WANA ARUSHA ATUTAKAA TUPATE MTU KAMA LEMA AMBAYE YUKO TAYARI KUFA KWA AJILI YA WANANCHI WAKE KAMWE ,KIKWETE UMETUHUMIZA SANA ATUTAKAA TUKUSAHAU KAMWE WANAARUSHA KUANZANIA HUINGIE MADARAKANI UMEGUSA PABAYA LEMA NI NABII WA MUNGU .LEMA LEMA JIPE MOYO TUPO PAMAJA NA WEWE.
 
huu ni upumbavu wa hali ya juu, lazima ifike wakati tuwe accountable na maneno yetu au matendo yetu. ushahidi wa kesi ya lema ulikuwa very heavy...sasa swala ni kweli au ni uwongo?/ tusipende kulea ujinga!

Ushahid upi ulitolewa mkuu...mbona una matusi hivyo...ushahidi haukua na vielelezo...hata mimi ningeweza sema alimtukana mama yangu...lakini wapi kithibiti...waliokashifiwa mbona hawakusema kama waliathirika?....acha ushabiki...angalia taratbu...hata kama alisema,ushahidi hautoshi.
 
Back
Top Bottom