Angel Msoffe
JF-Expert Member
- Jun 21, 2011
- 6,781
- 1,657
na kule kwa wavaa vipedo na malapa umezoea kuSikia nini?Haya mameno nimezoea kuyasikia kwenye mikutano ya injili ya kakobe na mzee mzee wa upako, sasa sijui kwenye siasa yanaingia vipi!
na kule kwa wavaa vipedo na malapa umezoea kuSikia nini?Haya mameno nimezoea kuyasikia kwenye mikutano ya injili ya kakobe na mzee mzee wa upako, sasa sijui kwenye siasa yanaingia vipi!
WALIOMUUA LEMA HAWA HAPA!
wakazi watatu wa Jimbo la Arusha Mjini na wanachama wa CCM Kulia ni Mussa Mkanga,Agnes Mollel na Happy Kivuyo waliofungua kesi ya kupinga matokeo ya uchaguzi katika jimbo hilo kwa Mbunge wa Chadema Godbles Lema,wakiwa katika chumba cha Mkahakama Kuu Kanda ya Arusha leo wakati kesi hiyo ilipoanza kusikilizwa.
View attachment 51051
Hawa ni mashujaa na wanastahili hadhi ya kitaifa,
Lema ni mbaguzi/mdini na anachochea ukanda na ukabila, LEMA amesababisha watu waichukie Chadema Hafai wala hafai hata kidogo.
Hongera Majaji na mahakimu kwa kutenda haki.
Hongera mliomfungulia mashtaka, Mungu awalipe.
Ameeeeeeeeeeeen
Acha watu waongee ushabiki wa kwenye mtandao wakipoteza jimbo ndio watajua nilikuwa namaanisha nini na nimejibainisha kama mwanachama wa CDM maksudi kwani nilijua wengi watafikiri nimetumwa au ni mwana magamba.
Tuangalie hali halisi jamani najua wakuu wa chama watalifanyia kazi hili.
kwa upande wangu siwezi kuwapigia magamba kura maisha kama chadema wakisimamisha jiwe nitalipigia kura,
nimeongea haya ili kupanua wigo wa kufikiri ushindi wa kishindo kwa Chadema kwenye uchaguzi wa marudio.
Tuangalie changamoto zinazotukabili kwa na CCM wana mbinu na nyingi ni chafu
jitekenyeni alafu chekeni wenyewe, ila CCM hapa arusha mtapasahau milele.
Kwa taarifa za jikoni Lema hakati rufaa na ndiyo mgombea wa CDM tena.
Tunamuaibisha shetani kwenye ballot kwa mara ya pili.
Hawa ni mashujaa na wanastahili hadhi ya kitaifa,
Lema ni mbaguzi/mdini na anachochea ukanda na ukabila, LEMA amesababisha watu waichukie Chadema Hafai wala hafai hata kidogo.
Hongera Majaji na mahakimu kwa kutenda haki.
Hongera mliomfungulia mashtaka, Mungu awalipe.
Ameeeeeeeeeeeen
Habari wana jf.
Ndg zangu kutokana na hali halisi iliyotokea pale Arusha leo juu ya kumvua ubunge mh Lema hiyo inamaanisha kwamba jimbo liko wazi,sasa nami nimeamua kuingia kwenye kinyan'ganyiro hicho kupitia chama changu.Maana maisha ya udaktari yamenishinda,kila kukicha migomo tuuuuuuuuuuu!!!
Sasa jee nikipata nafasi ya kugombea akina mama hapo mbele mtanipa?na akina baba hapo nyuma mtanipa?
Sura zenyewe tu zinaonyesha ni wachovu na mazezeta waliotumiwa na CCM kuihujumu CHADEMA. Bila shaka watakuwa wameandaliwa zawadi nono ya Mafisadi wa CCM baada ya kufanikisha hujuma hii.
Wajue tu kwamba Mungu huwa analipa hapahapa. Sauti ya wengi ni sauti ya Mungu. There is a day they gonna pay for it.
Arumeru sio tanzania , CDM ukabila na udini uliojaa bado mnasafari ndefu !... ! About ushindi wa Arumeru :nono: You should know Even a blind squirrel finds a nut once in a while....!! pole zake Lema finally haki imetendeka!
sura zenyewe tu zinaonyesha ni wachovu na mazezeta waliotumiwa na ccm kuihujumu chadema. Bila shaka watakuwa wameandaliwa zawadi nono ya mafisadi wa ccm baada ya kufanikisha hujuma hii.
Wajue tu kwamba mungu huwa analipa hapahapa. Sauti ya wengi ni sauti ya mungu. There is a day they gonna pay for it.
Toa ushahidi (audio/visual) wa matusi ya Lema!!
Ushahidi wa matusi ya Lusinde hupo, nenda Youtube utajionea na kusikia!!
Nzi,
Unataka ushahidi gani zaidi ya hukumu ya Mahakama Kuu kanda ya Arusha chini ya Jaji msomi Gabriel Rwakibarila.
Kayoka,
Hutuwezi kuchukizwa na matusi ya Lusinde halafu tufurahie matusi ya Lema...sidhani kama Lema kaonewa, maneno yake ndio yamemfikisha hapo kajifunza uchaguzi ujao anafanya kampeni za kiungwana.