Jibu kwa The Boss (Nyumba ndogo)

Jibu kwa The Boss (Nyumba ndogo)

Well, naona mmetoa mapovu lakini ukweli umebakia palepale......

Nyumba ndogo/cheating/infidelity....whatever whatsoever kinachohusisha mahusiano ya kingono yasiyo halali hayatokaa yaishe....... Yalikuwapo tangu zamani, yapo hivi sasa na yatakuwepo sikiu zote. Cha msingi tuendelee kupeana mbinu ya jinsi ya kuyafanya haya madude bila kuleta athari kwenye mahusiano yetu halali.

Baada ya kusema haya napenda kuwatangazia rasmi kuwa hii sredi imefungwa.

Kwaniaba ya wachezaji, wanachama na wapenzi wote wa Simba Sports Club na Liverpool FC, tunampongeza Chicharito kwa kubahatika kuwaondolea Mashetani wekundu kipigo cha mbwa mwizi.

Karibuni makange ya kuku hapa Port View. Kuna jamaa anatumbuiza miziki ya kigogo. Ukimkatia buku tano unapewa bonus tracks mbili.

Ahsanteni kwa kunisikiliza.

Mheshimiwa spika Aspiriniiiiiiiiiiiiii ,pamoja na kuhairisha bunge lako tukufu alilolianzisha mama wa Kirusi,naomba unipe nafasi japo kiduchu ili nimpe kudos Bi Sarafina maana amekonga moyo wangu big time!I love this lady,she is my ideal woman,mkweli,outspoken,havungivungi,the first one katika mmu kujilipua,wengine wanapiga longolongo tu hapa kumbe baadhi yao nao ni mahawara zetu.
 
Orayt.......mheshimiwa bishanga dakika tano tafazali...........kabla hujampongeza kwanza kamgongee ka_LIKE ka heshima kwenye ile yuziful posti.
 
Loh Babu imenibidi nimsomee hii post MM hatuna mbavu!
Na huyo MM anatumia ID gani hapa? Ni he/she? Yuko with/without? Anatumia soseji au donati?

Baada ya kusema hayo, mwambie ODM anamsalimu. Kama ni she mpe namba yangu ya simu tayari kuendelea na huu mchezo ambao hauna fainali wala kipyenga cha mwisho na wala hauhitaji refarii........mchezo wa ku-cheat responsibly.
 
Hahahahaa Babu loh mie leo naumwa mbavu!

MM huyu Babu GY anamkumbuka! Alitoa somo la uzazi wa mpango!mambo ya povu!hahahah
 
Kama GY anamkumbuka that means anamjua, na huwezi mjua mtu kama humfahamu. Nimekoma, imekula kwangu!

Hivi unajua nyumba ndogo haina uhusiano wowote na uzazi wala mpango wake?.......Nyumba ndogo kazi yake ni kukukurushana tu..... (kaka yangu chizi anasema mkewe ni mashine ya kufyatulia tofali, wakati nyumba ndogo yake ni mashine ya kuchanganyia zege):lol:
 
Aibu ya nini? kwani hao wanaume wanaosemwa kuwa na nyumba ndogo hao nyumba ndogo/hawara ni wan

aume wenzao? si wanawake. Watu tunawona

huku makazini wana waume zao na ni

mahawara ije kuwa mie nisie na mume?

Nimeona hapo chini umesema bado hujaoa, nyie msiooa ndio nuksi kabisa na hovyo wasumbufu hamna mfano utasikia mwingine anajinadi kabisa wanaume ambao hatujaoa tuko wachache inabidi tunyenyekewe. Nani anataka kusumbuliwa? kazini nisumbuliwe na mikazi bado nije kwako na wewe unisumbue halafu wabahili kama nini wanaume wasiooa kazi yao kutaka kulelewa tu.

Shida gani nitaendelea kuwa nyumba ndogo wala sioni aibu, mradi nina kazi yangu naweza endesha maisha mwenyewe sina mpango wa kusumbuliwa na kidume kisa nataka anioe.

Darling Sarafina,sijui nikupe zawadi gani,chagua mwenyewe lunch Kempinski,trip dubai,shopping mariedo au nikupige ka rav4?hakika umenikonga moyo,you are honest dear,yani we ni mkweli,humu ndani kuna watu wanajifanya watakatifu kumbe ni mahawara zetu na wengine wana vimada.Thanks love mmmmmmmmwwwwwaaaaaaaaaa!!!!!!!
 
Heeeeeey!

Nimekupa dakika tano mheshimiwa............naona unavuka mipaka sasa!
 
sema semaaaaaaaaaaaaaaaa kureni viporo mutoe siri zenuuuuu,

wera wera... kande zimeanza kufurmua tumbo za reo reo za reo reoooooooo

mwaga mwaga dataz, aroooooooooo

Hakuna cha kutoa siri wala kande kuharibu mkuu, haya ndio maisha halisi ila watu wanajifanya kuficha ficha tu hapa, eti wanaona aibu wakati wanawasaulia huko hawana hata haya. Ya nini kujibana bana
 
Darling Sarafina,sijui nikupe zawadi gani,chagua mwenyewe lunch Kempinski,trip dubai,shopping mariedo au nikupige ka rav4?hakika umenikonga moyo,you are honest dear,yani we ni mkweli,humu ndani kuna watu wanajifanya watakatifu kumbe ni mahawara zetu na wengine wana vimada.Thanks love mmmmmmmmwwwwwaaaaaaaaaa!!!!!!!

Bishanga ukinitafutia senene nishushie na rubisi tu utakua umekonga moyo wangu lol. hii sredi imenifanya nicheke mpaka basi
 
Orayt.......mheshimiwa bishanga dakika tano tafazali...........kabla hujampongeza kwanza kamgongee ka_LIKE ka heshima kwenye ile yuziful posti.

Sikiliza Bw.Aspirin,mi niko razi nishinde na kukesha kwenye huu uzi,no retreat no surrender mpaka wapinga uhawara wakubali to see it our way.Taasisi ya uhawara sio ya kubeza hata kidogo,its what keeps lots of marriages intact otherwise ndoa nyingi zingesha sambaratika long time.Uhawara ni valve ambayo ina relieve presha za ndoa otherwise ndoa nyingi zingelipuka.Imagine you get married to a nice,charming beauty,after a while unajiuliza hivi huyu ndo Mage niliyempenda na kumuenzi,maana sasa minywele hiyo,tumbo hilo,barabara ya saluni kasahu,kitandani mke wangu geukia basi hivi kidogo,hataki ye anataka missionary position tu mengine eti ni uhuni,ndo nini sasa ,mzee mzima unafanyaje? Acheni bana Taasisi ya uhawara muhimu!!!!!!!Bi Sarafina,narudia tena uko juuuuuuuuuuu kuliko Michelle Obama!!!!!
 
Hahaha lol nimechekaje. Mi nitaolewa uzeeni na mzee mwenzangu atakaenipenda tayari nishazaa watoto wangu wawili na yeye sijui ana sita huko tumalizie uzee. Huyo naamini tutakaa kwa amani na si sasa. Kwa sasa nakula maisha tu tena nikiwa nyumba ndogo ambao hawajaoa wenzangu wasumbufu sana, waongo huyu mwenye mkewe hata akinidanganya dia niko na wife hata kama ana kimada mwingine namuamini, naishi kwa amani sina presha kabisa
 
Khaaa! Hebu nambie leo umeamkia upande upi?
 
Bishanga ukinitafutia senene nishushie na rubisi tu utakua umekonga moyo wangu lol. hii sredi imenifanya nicheke mpaka basi

niko dar,subiri nikienda kwetu kanyangereko hata na akamwani nitakuletea,ila chunga sana huyo Aspirin ana mahawara kibao asije akakuunganisha kwenye foleni,maana nasikia weekend huwa anaanza asubuhi kuzungusha vikapu mpaka amalize mzunguko ni saa 12 jioni!
 
Back
Top Bottom