Jibu kwa The Boss (Nyumba ndogo)

Jibu kwa The Boss (Nyumba ndogo)

wewe hujanielewa....sisemi umewaponda kwa maana ya kuwaponda.....
ninachosema 'mitazamo yako' ya 'kutokukubali ku share mfano....na ya wanawake wengine
isitafsiriwe kuwa ni mitazamo sahihi..mfano 'wanaosema tunawasaliti' wanawake as if wanawazungumzia
wanawake wote kwa niaba yao....

Aksante The Boss kwa kunielewesha lol mie naye kwa kurukia kumbe sikukuelewa vema. My bad leo hii jumatatu nailaani isirudie tena wiki hii!

There u are! nadhani hiyo thread hapo ilisomeka "Are we fighting an endless battle?". Was one of ur platinum.
Halaf shem leo mbona unamjibu The Boss tu? nitakasirika nilog out ujue?

Shem pole bana ntakujibu sasa hivi kuhusu Prostitution niliyokunong'oneza mwanzo! Ngoja niwahi kikao cha Ulinzi shirikishi kwanza.
Will be back

But surely The Boss anayo shule nzuri sana ambayo wengi tunawezajifunza toka kwake ila tu bado hatujaweza kuiextract from here.
Yes Are we fighting an Endless battle?, Sheria mama za Infidelity na hii thread ya RR zinawezampatia mtu PhD ya maana shem sio hizi za kugaiwa kama njugu mawe!
 
Kwenye hii thread mmekonkludi nini...

mimi nime conclude kuwa hiyo 'janja yenu' ya kuijifanya wanaume mnaponda
nyumba ndogo itawapatia 'a lot of sex this coming weekends...lol
tunawarahisishia kazi mimi na Kloro..LOL
nyie endeleeni kujifanya 'the good boys' lol
 
Aksante The Boss kwa kunielewesha lol mie naye kwa kurukia kumbe sikukuelewa vema. My bad leo hii jumatatu nailaani isirudie tena wiki hii!



Shem pole bana ntakujibu sasa hivi kuhusu Prostitution niliyokunong'oneza mwanzo! Ngoja niwahi kikao cha Ulinzi shirikishi kwanza.
Will be back

But surely The Boss anayo shule nzuri sana ambayo wengi tunawezajifunza toka kwake ila tu bado hatujaweza kuiextract from here.
Yes Are we fighting an Endless battle?, Sheria mama za Infidelity na hii thread ya RR zinawezampatia mtu PhD ya maana shem sio hizi za kugaiwa kama njugu mawe!

Fact!.....
 
mimi nime conclude kuwa hiyo 'janja yenu' ya kuijifanya wanaume mnaponda
nyumba ndogo itawapatia 'a lot of sex this coming weekends...lol
tunawarahisishia kazi mimi na Kloro..LOL
nyie endeleeni kujifanya 'the good boys' lol

unajifagilia wewe na kloro,sawa bana,poa tu,wakati na mimi nime fight mpaka povu linantoka,lol!
 
mimi nime conclude kuwa hiyo 'janja yenu' ya kuijifanya wanaume mnaponda
nyumba ndogo itawapatia 'a lot of sex this coming weekends...lol
tunawarahisishia kazi mimi na Kloro..LOL
nyie endeleeni kujifanya 'the good boys' lol[/QUOTE]


hahaha mkuu The Boss bana! wee acha tu, kuna kadada nilikuwa nakajua kalikuwa kana mikwala kweli enzi hizo. "Mimi sishei mapenzi loooh, mapapai ndo yanakaa pamoja mtini sio mrembo kama mimi, unanichek kwa woga?, umeniona wa mnadani mimi? mimi wholesale babu wee" mwisho wa kunukuu.

kalikuwa kajuba kweli kale kadada (senk god skuwahi kukatongoza), kalikuwa kanajifanya babkubwa kama hakaoti nywele za kwapa vile, Huwez kuamini karibuni nimeskia haka kadada kameolewa kama second wife na kanapapatua kwenye hiyo ndoa kuliko goli la fainali.
Hivo hawa wadada hapa wanaimba tu kwakuwa wako kwenye mahusiano, yakiwakuta na kaumri kanapotea utawaona wanatuPM wenyewe hawa wanataka hifazi.
Mie nasubiria tu.
 
Kuna vitu viwili
siyo makosa kuoa mke wa pili ( hata mababu zetu na wamefanya, na dunia kwa sasa inahitaji wanaume waoe zaidi ili kuondoa tatizo wanawake wengi kukosa wanaume..(ratio of women vs,men)

Pili kuoa ili kumkomoa mwingine hatari sana hiyo..lakini usisahau "dawa ya moto ni moto" hivyo dawa ya mwanamke ni mwanamke

Note: Bi mkubwa tunza mumeo ukileta ubishi tunaoa mwingine

je dawa ya mwanaume mkorofi ni mwanaume?
 
JG kabla sijajibu hii post... naomba niambie "Infidelity" na "Ushoga" ipi ni more of a taboo?? Umeona lakin inavokua kwa kasi hii hali ya ushoga mpaka inasikitisha?? Do you really believe kua ikijulikana ni taboo ndo watu wataelewa na kuacha??

Nimesoma post yako ya mwisho, nadhani nmekuelewa kuwa kumbe tuendelee na REALITY!
Kama ni hvyo thread ya The Boss iliweka clear conclussion kuwa ni namna gani hii reality inaweza kuendelea bila kuleta madhara kwa familia zetu!
Pia naelewa kuna suala la reality (inajengwa na mazoea) na kuna suala la ni namna gani mambo yanatakiwa kuwa!
So ikumbukwe kuwa tunapojadili masuala haya wengi wetu tunafahamu REALITY hiyo ila bado kuna namna nyingine tuna tamani jamii yetu iwe. Hivyo kusukumizia hoja zote kwenye hiyo REALITY inakuwa ni kumaanisha kufunga mjadala i.e. turudi kwa The Boss (sababu ye ndio alichimba ukweli mchungu).
Lakini sababu naamini tunajadili ni namna gani jamii yetu hata kama ni kizazi kijacho inatakiwa kuwa basi hapo kuna haja ya kuangalia vitu si tena as per REALITY (MAZOEA).....
 
ukiwa na mtazamo wa kila ushauri usiokubaliana nao ni wrong
na ni makosa kushauri basi 'utawachukia wengi mno...na utakosa amani..

mfano mtu anafungua duka la kuuza magari used,wewe unamtuhumu hapendi watu wanunue magari mapya..

binadamu wote including you ni watu selfish in nature.....ndo maana

hakuna anaezaliwa akiota kuendesha volkswagen beetle,wengi huota kuendesha benz...
but somehow wanajikuta wanaendesha beetle na huwezi kusema'alietengeneza beetle' hataki watu waendeshe
benz....

mtu akija kukushauri kuwa kama huna pesa ya kununua gari,nunua bajaj...
huwezi sema huyu mtu ana roho mbaya,hatakina wewe umiliki gari....sio hivyo..

ukiweza kumpata mwanaume 'perfect' ni vizuri kwako.....
but sisi wengine tunaona hao wanaolaumiwa kwa kutekeleza familia na kujali nyumba ndogo zaidi
ni bora wakaelimishwa namna ya kupunguza 'hasara' kwa familia..kuliko kukazania kuwa waache while najua sio rahisi...
I am sorry ila thread yako haikusema hivo. hii ni dimention mpya unaongeza kwenye thread. Namna thread imekaa inaonesha ni ujanja fulani unataka ku-share, sio "kama utashindwa kabisa basi at least hakikisha hivi na hivi, and then you give the consequences" kama unataka naweza kukusaidia kusema what you say here na uone mwenyewe sio what you said there
 
nyumba ndogo hoyeeee, mie ni mama nimeolewa, ila nilivyobize nahisi kama si nyumba ndogo iko siku ingefikia mume akatembea huku jamaa kasimama, angalau wananisaidia kumpunguzia mzigo wa mawazo na uzito wa between two legs!!! sio mimi ni mtazamo wangu tu jamani msinishambulie tafadhali..... true story... to be continued.... stay tuned

Aiseeeeee! Ww sio mzima.
 
Ashadii hiyo point ya nyumba ndogo ulomrefer Boss "don't ever touch my wife" ni moja ya guidlines alizozitoa ambayo binafsi ilinichekesha sana na itawaponza wengi!!
 
mimi nime conclude kuwa hiyo 'janja yenu' ya kuijifanya wanaume mnaponda
nyumba ndogo itawapatia 'a lot of sex this coming weekends...lol
tunawarahisishia kazi mimi na Kloro..LOL
nyie endeleeni kujifanya 'the good boys' lol

haaah haaah haaah mkuu unanivunja mbavu, haya The Finest umesikia hukooo!
 
Kuna watu wengi tunao wajua na tusio wajua hawana nyumba ndogo. Na hata kama mtu anae, ushauri wa kumpa ni namna gani anaweza kuachana na tabia hiyo.
Hivi unadhani ushauri wa the boss unasaidia nini zaidi ya kukupa confidence ya kufanya ujinga? The Boss kasema as if mwanaume yuko in charge, in control of the situation ila ukitazama katika maisha ya kila siku hana control yoyote. anafanya maamuzi kutokana na influence ya wanawake hao, na vitu vingine vingi ambavyo hawezi control.
RR
Kwanza aksante sana kwa thread hii ambayo am sure watu wamejifunza mengi juu ya mahusiano, mapenzi na mapendo.

Hapo kwenye red hapo kidogo sina uhakika, ni kama unasema shetani wa ndoa ni MWANAMKE peke yake?! Kuwa mwanamke ndo anayemuinfluence mwanaume kufanya ayafanyayo?!

Tukizungumza kwa kukubali kutoka na mume wa mtu sawa nitakuelewa but kwa mwanaume ambaye tayari dhamira ipo hata asipokuja kwako atakwenda kwa Mbuzi! Ni vile tu hatuna uwezo wa kuzielewa hisia za mbuzi kama mnyama lakini tungejaaliwa am sure wanawake tungekuwa na maadui wengi in the process of keeping ndoa zetu in tact
 
Mhhh patamu hapo nyumba ndogo vs nyumba kubwa, kwa mtazamo wangu ukiangalia kwa makini tatizo la nyumba ndogo linachangiwa kwa kiasi kikubwa na wadada/wamama wenyewe. Mathalani utakuta mdada/binti anafaham fika kuwa ww ni dume la m2 lakini bado anakubali kupata kichapo. Pia kuna kina dada/bint huwa wanjirengesha kwetu wakaka/wababa nasi kwa kutaka kuthibitisha urijali wetu bila kutafakari tunajikuta tumefungua Gobole nakumwaga mashambulizi. Nafahamu inauma sana ku-cheat lakini kiukweli haina maana ku-cheat bali ni tamaa za kijinga pia ni kukosa msimamo. Nafahamu cku hizi wababa/vijana wengi hatushangai kuona njemba ina nyumba ndogo ila tukisikia mke/dem wa jamaa anamegwa tunalalama. Napinga nyumba ndogo kwa nguvu zangu zooooooooooooooooooooooote,hazina mpango. Nawasilisha nikamtazamo kangu wajameni ,kwani huko kwenye nyumba ndogo mmepata nini zaidi ya kuibiwa tuuuuuuuuuuuu. Hahahaha nyumba ndogo iz 4 BOGUS
 
Roulette nimeona niweke na post uloni quote.... Swala sio kwamba ni Msimamo wangu.... Bali ndio the reality... Sijasema na support but sincerely believe in looking into facts and facing the facts... Na hilo naona ndipo ninapo wachanganya baadhi ya Members kama akina Ngabu na Masaki... Hawaelewi. Kumbuka kwamba tunapozungumza nyumba ndogo tunazungumzia mwanaume kumhalalaisha kimada awe na haki zoote kwake with an exception in most cases ya kujulikana (yaani siri) hapo mimi nipo na wewe kua sio lazima na kwamba ina epukika kabisa!!!

However linapokuja swala la infidelity hapo sasa kweli kabisa siwezi sema inaepukika hali nikijua kabisa kua pamoja na kusema twataka saaana iwe hivo na morals ina support hilo basi tu niseme inaepukika (huku wishing kua kweli itokee).... Kumbuka kua Infidelity yaweza kua in different forms... Hizo different forms nashauri uzi observe and then useme ile frankly kabisa iikitoka deep within you kua yaepukika.....

FORMS OF INFIDELITY

A]. "Hit and Run"

  1. Kuna hit and Run ambayo mwanaume hufanya once/once in a while... inaweza kua months... year (s); in short after some time.... Hio mara nyingi husababishwa na environment ama circumtances... yaani hutokea pale ambapo hata mwanaume alofanya hivo hakutegemea kua atafanya hivo... i.e pombe... mazingira... situations (labda kakaa mda mrefu mbali na mkewe/mumewe) and the Like... Such a man akijikuta kafanya hivo basi harudi tena hapo mahala...
  2. Kuna Hit and Run ambayo mwanaume huyo hufanya frequently.... kwamba hii ni tabia yake na haridhiki na mwanamke mmoja whether anampenda mkewe ama lah! Huyu mwanaume ni hodari wa kutongoza.. this type kalala na secretary wake... mtoto wa jirani.... Binamu yakea.. Rafikiyo.. bar maids... house gal wako... n.k
B]. Nyumba ndogo
  1. Kuna yule ambae ni hatari kwa afya ya familia yenu wee na mumeo... Huyu ni mwaribufu..... Kama mumeo ni weak waweza mpoteza kirahisi.... Kama mumeo ni mwerevu ndo wale ambao humpa kabisa maelekezo kwa MSISITIZO kua "don't ever touch my wife" Sasa this type of Man ndo hufuata Ule mwongozo ambao alitoa The BOSS....
  2. Kuna yule ambae ni numba ndogo wa kudimba... kua mumeo ndio anahudumia... lakini anahudumia kama vile kushikilia pasiponyoke na kua ni kipozeo hasa ikitokea kua wife hatakua availble... au tu labda uko karibu na kazini kwake hivo akishikwa na ngunge anakuja kwakko... ama tu sababu kajisikia... au labda kweli kuna forces zimemsukuma...
C]. Hawara... Huyu ni mke wa mtu... akitumika siku moja basi katumika kama "Hit and Run" (na hizi ni maarufu saana).... Na kama watakua wanajivinjari kila wakikutana then sasa anaqualify kuitwa hawara....

Kwa Mktadha huo hapo juu Roulette... Cheating is a bad thing... MY BELIEF drawing from the reality is... Nyumba ndogo inaepukika BUT infidelity twaweza sema yaepukika kwa vigezo hivi hapa chini....

  1. Pale tu ambapo Wewe unaesema upo katika ndoa na atleast umeolewa ama Kuoa kwa mda ambao atlteast not less than twenty years.. na uwe kweli una hakika kua mwenzio hajawahi toka (which is almost impossible to know)
  2. Pale tu ambapo una hakika uwezi toka nje ya ndoa na hujawahi na kwamba your partner is sexually dysfuntional....
  3. Pale tu ambapo tutaweza pata jibu ni kwanini wanandoa ambao huonekana wanapendana na ni watu wa kufuata morals na misingi ya dini ukakuta mmoja wao kafariki kwa Ukimwi akimuacha mwenzie kaathirika...
  4. Pale tu ambapo nature ya mahitaji ya mwili kwa ambae yupo sexually active... Hio hali yake iwe inazima kila inapotokea mumewe ama mkewe hayupo.....
NAOMBA Usinisome Vibaya nimeona niipaint the reality at least niionavo mimi.....

ADii
umefafanua vizur kwa kweli katika yote mm ninacho amhni ni kwamba nyumba ndogo ìnaepukika kama mke atatatimiza wajibu wake ipaswavyo.

Abt infidelity hii naweza kusema ipo na inatokea mana inatokana na mazingira tu na inapo exist huwa haijirudii mara kwa mara so impact yake ni ndogo kwa familia ingawa nayo pia ni usaliti ule ule tu.
Tunapaswa kuukemea pia.

Ni mtazamo wangu tu.
 
ADii
umefafanua vizur kwa kweli katika yote mm ninacho amhni ni kwamba nyumba ndogo ìnaepukika kama mke atatatimiza wajibu wake ipaswavyo.

Abt infidelity hii naweza kusema ipo na inatokea mana inatokana na mazingira tu na inapo exist huwa haijirudii mara kwa mara so impact yake ni ndogo kwa familia ingawa nayo pia ni usaliti ule ule tu.
Tunapaswa kuukemea pia.

Ni mtazamo wangu tu.

Nakubaliana nawe Mpatanishi only if ukiwezasoma kitabu cha Why Men Love Bitches and Men are from Mars and Women from venus utapata picha halisi!
 
mimi nime conclude kuwa hiyo 'janja yenu' ya kuijifanya wanaume mnaponda
nyumba ndogo itawapatia 'a lot of sex this coming weekends...lol
tunawarahisishia kazi mimi na Kloro..LOL
nyie endeleeni kujifanya 'the good boys' lol
Haha! Dude you are so stubborn ngoja niendelee kuangalia movie ya HALL PASS jamaa wanapewa kibali na wake zao wakapige infidelity lol
 
ukioa utashangaa sana....
sio mapungufu ya 'mke ndio sababu watu wana cheat...
its complicated...hata ukiwa na 'the perfect wife'.....

I salute you for this; l hope wanawake wataacha kujilaumu wenyewe pale waume zao wanapocheat! Inasikitisha sana hasa tunapowatafutia excuse waliotukosea. Umeona nimebadilika au sifai, kwanini usiniache?
 
I salute you for this; l hope wanawake wataacha kujilaumu wenyewe pale waume zao wanapocheat! Inasikitisha sana hasa tunapowatafutia excuse waliotukosea. Umeona nimebadilika au sifai, kwanini usiniache?
kwa hiyo sababu mimi sina kosa niache kulaumu mwanaume anapoenda nje? nyie watu mnaandika tu au mnaelewa mnacho kiandika kinaenda nje na watu wanasoma?
 
kwa hiyo sababu mimi sina kosa niache kulaumu mwanaume anapoenda nje? nyie watu mnaandika tu au mnaelewa mnacho kiandika kinaenda nje na watu wanasoma?

RR ilivyomwelewa Kaunga ni kuwa kwa sababu some factors are not attributed to makosa ya mwanamke i.e. Hata mwanamke afanyeje kumhandle mwanaume akiamua kutoka atatoka, then kiini cha mabadiliko ni MWANAUME mwenyewe. Kwa sababu unawezabana angle hii (kwa kuhakikisha kuwa mwanaume hatoki, unamtimizia kila kitu ut kama kinachomtoa nje si missings za macare, love au heshma toka kwa mke wake. It means ipo nje ya uwezo wetu sisi wanawake kumfanya abadilike. So stop blaming yourself kila mara mumeo anapotoka nje ya mahusiano! Sometimes wanataka kula mchicha badala ya nyama! so ni yeye mwenyewe kuamua anapendelea nyama kila siku !!

(Jamani password yangu ilileak hapo kati)
 
Back
Top Bottom