The Boss aksante kwa kuniassure majibu. Ninajaribu kuwa mwanafunzi wako mzuri nikuelewe vema. Kwanza labda tukianzia hapo kwenye RESPONSIBLE mwanaume! ndio mwanaume wa aina gani huyo?? Responsible kuwa ukiwa na nyumba ndogo ndo unakuwa responsible au kwa kuwa ni responsible ni halali kuwa na nyumba ndogo??
MJ01 naona unaenda na kurudi nyuma...
hakuna sehemu niliyosema 'ni halali na ni sahihi'
kuwa responsible haina maana ya kuwa 'perfect' tofauti ya responsible man na irresponsible man
ni kuwa 'responsible man' atajitahidi 'makosa yake' kuyafanya with minimum risk au kwa siri sana
na yakigundulika,atajitahidi kuyarekebisha the right way.....
wakati irresponsible man yeye hatakubali kuna makosa na ataendelea kama kawaida na hatajali 'happiness' ya familia..
Hapo kwenye HAPPY hapo, anayehakikisha nyumba yake iko happy!! lakini anaamua kuingia kwenye risk - kwa kuamini kuwa 'atacheza salama' basi familia/mkewe kipenzi hatogundua but kama binadamu kuna kujisahau na pia kuna ile ya mwizi ni arubaini- wanagundua unarisk - Nashindwa kuelewa hapo
unashindwa kuelewa kipi?all men are risk taker...to take risk is fun...
halafu what is life if not a risk?????
Nafikiri tukiasema kuwa ni hulka ya wanaume kuwa 'Boys" tukubali pia kuwa ni hulka ya binadamu kutokuwa na utaratibu wa kufuata masharti au kuvunja miiko. Utanishauri niwe mwangalifu kwa kutumia kinga but tafiti inaonyesha kabisa continuity ya matumizi ya kinga kwa wapenzi ina shake. Sasa The Boss umetoa ushauri haukufuatwa, ndio si kosa lako but wont you feel guilty kuchangia kuharibu maisha ya client wako if something goes wrong?