Jibu kwa The Boss (Nyumba ndogo)

wewe usianze kabisa hapa...
wewe mumeo alikuoa ukiwa 'bikira'...?????????

na akitaka kuoa mke wa pili wa halali afanyaje?????

atafute bikira????? kabla ya kumuoa afanyaje??? hakuna out??
hakuna kwenda njenje??????? au wewe ulitaka tufanjaje???????

Alinioa bikra tena mbichi babu wee, na poda wazee wakapakana.Unafikiri mie ndio viruka njia wenu wa leo? Unanchekesha!
 
na je hawasaaadii wasiovuta 'kuathirika' na sigara hapo?????
Maana yangu ni kutoa eneo la wavutaji sigara na kukataza sigara IN THE RESTAURENT, fasi zote! hapo anajua kuna ambao wanavuta ila anarecompense the good behaviors by promoting their space and purely destroying the space for the bad behavior to be perpetrated
 
Dada RR ni kweli inauma mumeo kuwa na nyumba ndogo, lakini kila mtu akibaki na mkewe tu nyumbani sie ambao hatuna waume tutaishije? Na miaka ndio inazidi kwenda tutabanana tu humo humo mtatusamehe mkipenda

duuh ww hv huoni aibu?!!
Aiseeee!
Ww kweli hasara looh.
 
Dah hii thread!!

Naombeni mnisaidie..............
1. Hii inayoongelewa hapa ni cheating au infidelity au vyote ni kitu kimoja?
2. Je sababu zinazoelekea kulitetea hili jambi ni sawa kwa wote i.e. zinaapply kwa wanaume na wanawake?
3. Watu wengi (hasa wanawake), wanaokiri kuinfidelate husema ni kwa ajili ya emotional satisfaction kuwa sababu kuu ya wao kufanya hivyo walivyofanya ni kuwa walitafuta mtu mwingine kwa kuwa they did not feel valued, respected and cared for ndani ya ndoa zao. Hizi qualities zimeonekana kuwa ni cornerstones za mahusiano mengi ya nje na nyumba ndogos/serengetiz zao and zinaform basis for trust and intimacy. When marriages lack these essential qualities, victims wa ndoa hizi inasemekana wanakuwa vulnerable to infidelity: Nadhani pia ndio maana kwa wanawake wengi tunatiliwa mkazo (hasa kwenye mavitchen parties) ni kuhakikisha tunajenga - strong, healthy and satisfying relationships ndipo tunawezakuzuia haya mambo.

lakini kwenye hii thread ninajikuta naishiwa nguvu maana ni kama vile tunaambiwa it is inevitable!!
Hebu nisaidieni mwenzenu kabla hamjaanua matanga!
 
In fact he is. angekua anaona sio sawa watu kuvuta sigara restaurent yake angeondoa kabisa eneo la wavutaji.
Hatuwezi kudiscuss objectively, tuko binadam with view points and biaises...

ukiwa na mtazamo wa kila ushauri usiokubaliana nao ni wrong
na ni makosa kushauri basi 'utawachukia wengi mno...na utakosa amani..

mfano mtu anafungua duka la kuuza magari used,wewe unamtuhumu hapendi watu wanunue magari mapya..

binadamu wote including you ni watu selfish in nature.....ndo maana

hakuna anaezaliwa akiota kuendesha volkswagen beetle,wengi huota kuendesha benz...
but somehow wanajikuta wanaendesha beetle na huwezi kusema'alietengeneza beetle' hataki watu waendeshe
benz....

mtu akija kukushauri kuwa kama huna pesa ya kununua gari,nunua bajaj...
huwezi sema huyu mtu ana roho mbaya,hatakina wewe umiliki gari....sio hivyo..

ukiweza kumpata mwanaume 'perfect' ni vizuri kwako.....
but sisi wengine tunaona hao wanaolaumiwa kwa kutekeleza familia na kujali nyumba ndogo zaidi
ni bora wakaelimishwa namna ya kupunguza 'hasara' kwa familia..kuliko kukazania kuwa waache while najua sio rahisi...
 
Kuna rafiki yangu mmoja ana jumba dogo yake..cha ajabu yule mwanamke anawapenda sana watoto wa yule mwanaume pamoja mke wake.

Inafikia wakati mpaka anawanunulia zawadi wale wato wa yule mwanaume, hiyo nyumba ndogo ina uwezo wa kimaisha.

Mpaka kamtafutia kazi benki yule mke wa huyo jamaa kupitia mume wake lakini yule mke ajui.

Hii nyumba ndogo sidhani kama rafiki yangu atakuja kuiacha mbaya zaidi ni mkiristo bora anasema angekuwa muslim angetangaza ndoa
 
Hii ni marudio ya thread ya Asprin........................ngoja nikaitafute niilete kwa ushahidi
 
Nyumbani kwangu i am the law,nitatoka saa nnataka,nitaingia saa nnataka,what i do in between is my business.You live only once bana. Na huyo mwanamke atakayetaka kushindana na mimi kwanza huo ubavu ataupata wapi,subutu yake........We unalala pazuri,unakula vizuri,i gave a nice car,watoto nawalipia shule nzuri,wazazi wako nawahudumia kama wa kwangu,saluni unakwenda ya Sea cliff sasa kelele ya nini? Tell me why the longolongo????

hapo kwenye kwenye red, unadhani huyo mwanamke alikupenda sababu ya hivyo vitu,
 
Siwezi kuwasema vibaya mababu zetu na kuwaambia walifanya makosa kuoa wake wengi. Au kule western afrika ambapo hata leo polygamy ni sawa. Mi nazungumzia hii society ninako ishi mimi. Swala la mke wa pili lina weza kua solution kule ila nadhani kwangu mimi sio solution, hasa kama huyo bimdogo anatumiwa kama njia yakumkomesha nyumba kubwa, au kumlazimisha kutoa ushirikiano kwa vitu mbali mbali

Kuna vitu viwili
siyo makosa kuoa mke wa pili ( hata mababu zetu na wamefanya, na dunia kwa sasa inahitaji wanaume waoe zaidi ili kuondoa tatizo wanawake wengi kukosa wanaume..(ratio of women vs,men)

Pili kuoa ili kumkomoa mwingine hatari sana hiyo..lakini usisahau "dawa ya moto ni moto" hivyo dawa ya mwanamke ni mwanamke

Note: Bi mkubwa tunza mumeo ukileta ubishi tunaoa mwingine
 
Dah hii thread!!

Naombeni mnisaidie..............
1. Hii inayoongelewa hapa ni cheating au infidelity au vyote ni kitu kimoja?
2. Je sababu zinazoelekea kulitetea hili jambi ni sawa kwa wote i.e. zinaapply kwa wanaume na wanawake?
3. Watu wengi (hasa wanawake), wanaokiri kuinfidelate husema ni kwa ajili ya emotional satisfaction kuwa sababu kuu ya wao kufanya hivyo walivyofanya ni kuwa walitafuta mtu mwingine kwa kuwa they did not feel valued, respected and cared for ndani ya ndoa zao. Hizi qualities zimeonekana kuwa ni cornerstones za mahusiano mengi ya nje na nyumba ndogos/serengetiz zao and zinaform basis for trust and intimacy. When marriages lack these essential qualities, victims wa ndoa hizi inasemekana wanakuwa vulnerable to infidelity: Nadhani pia ndio maana kwa wanawake wengi tunatiliwa mkazo (hasa kwenye mavitchen parties) ni kuhakikisha tunajenga - strong, healthy and satisfying relationships ndipo tunawezakuzuia haya mambo.

lakini kwenye hii thread ninajikuta naishiwa nguvu maana ni kama vile tunaambiwa it is inevitable!!
Hebu nisaidieni mwenzenu kabla hamjaanua matanga!

kwa umri wako huwezi sema huelewi kitu gani tunazungumza....
unless as usual wanawake mna play 'angelic 'hivi while kimoyo moyo unajua your position...
 
Pole sana kwa uncle wako, hali hiyo sio rahisi na kweli katika set up ya leo mtu anaweza kufikiria kwenda nje ila haita saidia kumbadilisha huyo mwanamke wa ndani. ninacho weza kusema hapo ni kuwakutanisha wahusika wawili na kuwasaidia kukumbuka mkataba wao wa ndoa unasemaje. wakati wakuoana walikua na expectation gani na kila mtu anatekelezaje huo mkataba. uncle amwambie mke wake kua hakutaka kuoa mwanamke mvivu na mjeuri etc. Na kama unavo sema inaonekana huyo mama alificha kucha zake kwa nia ya kuolewa ambayo pia ni kosa lingine tunatakiwa kuzungumzia (mada separate)
Kwenda nje ya ndoa kutaongeza hizo tatizo na huenda na huko nje pia akakutana na vitu vibovu kuliko hata ya ndani.

yah sasa hapo ndio nilitaka kukuonyesha kuwa 75% ni wanawake wenyewe ndio chanzo cha wanaume kutoka nje.

Hiyo kama ni mabadiliko au kupunguza tatizo tuanze na ninyi, i mean mtambue kwanza NDOA ni nini na unatakiwa ku maintain vp ndoa zenu.

Imagine nimekuoa kwakua nimevutiwa na usafi wako,aina ya mavazi, mapishi, nidhamu n.k

then after few months unaanza kubadilika na kuwa mchafu, harufu mbaya mbaya,ujeuri, kuvaa manguo ya ajabu ajabu nk
na ukiambiwa hutak kubadilika.

Hapo moja kwa moja utakua umekata tiketi ya mume kutafuta liwazo nje.

Na kwakua nyumba ndogo wanajua kabisa mwanaume amekosa nn ndani kwa mkewe so akimkamata yeye ni kumpa tu yale anayoya miss.

Imagine mumeo anatoka tu kazini anafika home unampokea kwa sura ya ukauzu,anakukuta mchafu,upo rafu hujaoga, nyumba chafu,hujapika, zaidi ya yote akikuuliza unamjibu jeuri,dharau na kejeli.

Then anajua kama ataamua kuwa na bibi nje/ nyumba ndogo huko mumeo akifika tu atapokewa kwa tabasamu,atapigwa mabusu,

atavuliwa koti, tai, shati nk. atapewa pole na kazi, ataulizwa kazi imekwendaje? (ataliwazwa kwa maneno ya kumtia nguvu na matatizo ya kazin cku hiyo kama yapo)

Atakuta chakula kitamu mezani atalishwa,then atawekewa maji bafuni atapelekwa ataoga na kusuguliwa nongo zote atapewa kimoja cha intro kwanza huko huko bafuni,

atarudishwa chumbani then ataaulizwa wapi panauma honey? Atafanyiwa masaji na utundu mwingi ten atapewa tunda kwa mastaili ya ajabu.

RR kwa hali kama hiyo ni wazi mumeo ataishi na ww kwa kuwa tu ndoa ya kikristo haina TALAKA lakini ataichukia ndoa yake kwa kuwa tu wewe mke umeshindwa kutimiza wajibu wako.

WANAWAKE TIMIZENI WAJIBU WENU KWENYE NDOA ZENU, EPUSHENI WANAUME KUTAFUTA NYUMBA NDOGO.

Nb.
Mimi bado sijaoa kwa kweli, ila wanaume wenzangu nanyi nitawachana live muda sio mrefu.
 
Mpatanishi umeongea vizuri ila sijui ni akili yangu kilaza! Maana nikisoma baadhi ya posts ni kama vile hata wanawake wafanye nini nyumba ndogo are there to stay! Au mimi nimeelewa ndivyo sivyo na akili hii ya jumatatu!
 
this is interesting....kama mnaamini wanaume wana cheat au kutafuta nyumba ndogo
kwa sababu 'kuna mapungufu ' kwa wake zao....basi itabidi tuanze upya mjadala...

itahitaji mjadala mwingine kabisa....

but mjadala wa huu uzi ni simple....je ni halali au sio halali kushauri 'watu how to it the right way'
kwenye masuala ya nyumba ndogo....
 
yah sasa hapo ndio nilitaka kukuonyesha kuwa 75% ni wanawake wenyewe ndio chanzo cha wanaume kutoka nje.

Hiyo kama ni mabadiliko au kupunguza tatizo tuanze na ninyi, i mean mtambue kwanza NDOA ni nini na unatakiwa ku maintain vp ndoa zenu.

Imagine nimekuoa kwakua nimevutiwa na usafi wako,aina ya mavazi, mapishi, nidhamu n.k

then after few months unaanza kubadilika na kuwa mchafu, harufu mbaya mbaya,ujeuri, kuvaa manguo ya ajabu ajabu nk
na ukiambiwa hutak kubadilika.

Hapo moja kwa moja utakua umekata tiketi ya mume kutafuta liwazo nje.

Na kwakua nyumba ndogo wanajua kabisa mwanaume amekosa nn ndani kwa mkewe so akimkamata yeye ni kumpa tu yale anayoya miss.

Imagine mumeo anatoka tu kazini anafika home unampokea kwa sura ya ukauzu,anakukuta mchafu,upo rafu hujaoga, nyumba chafu,hujapika, zaidi ya yote akikuuliza unamjibu jeuri,dharau na kejeli.

Then anajua kama ataamua kuwa na bibi nje/ nyumba ndogo huko mumeo akifika tu atapokewa kwa tabasamu,atapigwa mabusu,

atavuliwa koti, tai, shati nk. atapewa pole na kazi, ataulizwa kazi imekwendaje? (ataliwazwa kwa maneno ya kumtia nguvu na matatizo ya kazin cku hiyo kama yapo)

Atakuta chakula kitamu mezani atalishwa,then atawekewa maji bafuni atapelekwa ataoga na kusuguliwa nongo zote atapewa kimoja cha intro kwanza huko huko bafuni,

atarudishwa chumbani then ataaulizwa wapi panauma honey? Atafanyiwa masaji na utundu mwingi ten atapewa tunda kwa mastaili ya ajabu.

RR kwa hali kama hiyo ni wazi mumeo ataishi na ww kwa kuwa tu ndoa ya kikristo haina TALAKA lakini ataichukia ndoa yake kwa kuwa tu wewe mke umeshindwa kutimiza wajibu wako.

WANAWAKE TIMIZENI WAJIBU WENU KWENYE NDOA ZENU, EPUSHENI WANAUME KUTAFUTA NYUMBA NDOGO.

Nb.
Mimi bado sijaoa kwa kweli, ila wanaume wenzangu nanyi nitawachana live muda sio mrefu.

ukioa utashangaa sana....
sio mapungufu ya 'mke ndio sababu watu wana cheat...
its complicated...hata ukiwa na 'the perfect wife'.....
 
ulitutetea yes, bt u cant say we deserve all the shit aisee. we refuse to stay in the background,na mimi my rule is:if i ever catch my man cheating me,i ill never ever confront the other lady coz she doesnt knw what agreement we have. the bastard will face it,and i cant promise anything. na kwa hilo staki ushauri!

acha vitisho King'asti bana,maji ya moto hayaunguzi nyumba,ukifumania utaishia kulia michozi debe,ukipigwa pande la khanga unatulia tuli na mzigo unatoa,halafu ukinogewa unaanza..'lakini Baba Bishanga utamu wote huu kweli ulimpelekea Chausiku...aaahhhg.....aaahg ' huku unapumulia mdomo,nawajua sana nyie ndo zenu.
 
Back
Top Bottom