klorokwini
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 8,647
- 5,147
Unajua hili suala naona tunalijadili kiubishani zaidi kuliko kiuhalisia.
Lawyer nimeshtukia.
Lawyer nimeshtukia.
Weeeengi wako hapa lakini hawataki kuchangia........ sijui kwanini wallah!
There are currently 56 users browsing this thread. (36 members and 20 guests)
Unajua hili suala naona tunalijadili kiubishani zaidi kuliko kiuhalisia.
Lawyer nimeshtukia.
unajifagilia wewe na kloro,sawa bana,poa tu,wakati na mimi nime fight mpaka povu linantoka,lol!
kwa hiyo sababu mimi sina kosa niache kulaumu mwanaume anapoenda nje? nyie watu mnaandika tu au mnaelewa mnacho kiandika kinaenda nje na watu wanasoma?
I am sorry ila thread yako haikusema hivo. hii ni dimention mpya unaongeza kwenye thread. Namna thread imekaa inaonesha ni ujanja fulani unataka ku-share, sio "kama utashindwa kabisa basi at least hakikisha hivi na hivi, and then you give the consequences" kama unataka naweza kukusaidia kusema what you say here na uone mwenyewe sio what you said there
Nakubaliana na wewe shem kabsaa, unajua hili suala lilitamba sana katika historia na lilikuwa very legal na wala halikuwa kikwazo kwa kinamama. In fact niliangalia BBC documentary moja kuna kabila flani huko Afrika magharibi , mpaka leo hii kama mwanamme hajaowa zaidi ya waifu mmoja basi hata huyo waifu wake wa mwanzo anaomba talaka. (funny but true na wanaishi maisha ya furaha sana), wazee wetu waliishi kiuhalisia zaidi na sisi tunaishi kimaigizo zaidi, na ndio maana talaka na marazi zinapanda chapa kwasababu tunalazimisha kuishi maisha ya kina shwazinega wakati sisi ni wajaluo.Shemeji ushabiki ni njia tu ya kuchimbua reality.......through ushabiki people are getting provoked na ku'tema' yaliyomo moyoni.
Tuendelee shem tutafika tu................... afu leo sijamwna Mbu sijui kaguswa pabaya!! mwe
Afu kwenye list alokoti Lay nani sijui mbona jina langu liko kwenye kivuli cha bluu...............wakati mie nimeweka nanga kabisa huku!! Ilitakiwa iwe dark blue kabisa!
hehehe lol hii nadhani shem ulikusudia ikuwe commercial break? ama?Afu kwenye list alokoti Lay nani sijui mbona jina langu liko kwenye kivuli cha bluu...............wakati mie nimeweka nanga kabisa huku!! Ilitakiwa iwe dark blue kabisa!
Waache wapambane na ukuta.!!
kwahiyo 99%
Halafu kila ME anayecheat kuna KE nyuma yake ana do the same
Halafu...........bora wasijue...okey!!
Duh!!
Nakubaliana na wewe shem kabsaa, unajua hili suala lilitamba sana katika historia na lilikuwa very legal na wala halikuwa kikwazo kwa kinamama. In fact niliangalia BBC documentary moja kuna kabila flani huko Afrika magharibi , mpaka leo hii kama mwanamme hajaowa zaidi ya waifu mmoja basi hata huyo waifu wake wa mwanzo anaomba talaka. (funny but true na wanaishi maisha ya furaha sana), wazee wetu waliishi kiuhalisia zaidi na sisi tunaishi kimaigizo zaidi, na ndio maana talaka na marazi zinapanda chapa kwasababu tunalazimisha kuishi maisha ya kina shwazinega wakati sisi ni wajaluo.
Ieleweke hapa sitetei nyumba ndogo bali nimeongelea uhalisia, pia sikatai kwamba mwanaume anao uwezo wa kuwa na mke mmoja tu na akatulia lakini uhalisia zaidi ni kutokuridhika. Niliwahi kusema kwamba mwanaume anahitaji kujisacrifice ili kuridhika na mke mmoja while mwanamke akipata mume mmoja wa ukweli basi she has more than enough.
hehehe kuhusu Mbu acha niuchune tu shem lol
Shemeji ushabiki ni njia tu ya kuchimbua reality.......through ushabiki people are getting provoked na ku'tema' yaliyomo moyoni.
Tuendelee shem tutafika tu................... afu leo sijamwna Mbu sijui kaguswa pabaya!! mwe
Nakubaliana na wewe shem kabsaa, unajua hili suala lilitamba sana katika historia na lilikuwa very legal na wala halikuwa kikwazo kwa kinamama. In fact niliangalia BBC documentary moja kuna kabila flani huko Afrika magharibi , mpaka leo hii kama mwanamme hajaowa zaidi ya waifu mmoja basi hata huyo waifu wake wa mwanzo anaomba talaka. (funny but true na wanaishi maisha ya furaha sana), wazee wetu waliishi kiuhalisia zaidi na sisi tunaishi kimaigizo zaidi, na ndio maana talaka na marazi zinapanda chapa kwasababu tunalazimisha kuishi maisha ya kina shwazinega wakati sisi ni wajaluo.
Ieleweke hapa sitetei nyumba ndogo bali nimeongelea uhalisia, pia sikatai kwamba mwanaume anao uwezo wa kuwa na mke mmoja tu na akatulia lakini uhalisia zaidi ni kutokuridhika. Niliwahi kusema kwamba mwanaume anahitaji kujisacrifice ili kuridhika na mke mmoja while mwanamke akipata mume mmoja wa ukweli basi she has more than enough.
hehehe kuhusu Mbu acha niuchune tu shem lol
Mkuu The Boss hapo red hapo! hakyababu mimi na ujasiri wangu wote lakini kuna neno nashindwa kulitumia kuwakilisha hiyo point yako hapo red. Lakini beleive me hapo ndo chimbuko la tatizo.kwa kuwa wao its more than enough wanataka iwe sheria.
kuhusu kuigiza'hili neno cheating ndo maigizo makubwa....
kwa sababu kiafrica hakuna cheating.kuna kuchumbia tu...
mtu ana mke na anachumbia kwingine lol
Mkuu The Boss hapo red hapo! hakyababu mimi na ujasiri wangu wote lakini kuna neno nashindwa kulitumia kuwakilisha hiyo point yako hapo red. Lakini beleive me hapo ndo chimbuko la tatizo.
Wao wameshikilia ma personal attack tu kumbe unaweza kuta mimi, wewe, bishanga na aspirin tu hapa ndo hatuna nyumba ndogo kwenye hii sredi.
Si unaona mkuu Mbu anatafutwa na MJ1? mie chimo!
Umerudi mamaaa?
RR ilivyomwelewa Kaunga ni kuwa kwa sababu some factors are not attributed to makosa ya mwanamke i.e. Hata mwanamke afanyeje kumhandle mwanaume akiamua kutoka atatoka, then kiini cha mabadiliko ni MWANAUME mwenyewe. Kwa sababu unawezabana angle hii (kwa kuhakikisha kuwa mwanaume hatoki, unamtimizia kila kitu ut kama kinachomtoa nje si missings za macare, love au heshma toka kwa mke wake. It means ipo nje ya uwezo wetu sisi wanawake kumfanya abadilike. So stop blaming yourself kila mara mumeo anapotoka nje ya mahusiano! Sometimes wanataka kula mchicha badala ya nyama! so ni yeye mwenyewe kuamua anapendelea nyama kila siku !!
(Jamani password yangu ilileak hapo kati)
hapo chacha! heheheh unaskia shehe anapinga zinaa halaf sku ya pili anaonekana kabaka jogoo, au mara unaskia mchungaji kafumaniwa na sister kwenye chumba cha kuungama zambi. Dah! balaa!Nasikitika kua hakuna THANK YOU Button.... Watu ni wanafiki saana katika haya Mambo... Kujifanya vilivyo kumbe sivo or vice versa...
mmmh! Mmhh!
Kubadilisha mboga? Kwani K ya mke na ya nyumba ndogo zinatofauti gani,
kwa kweli dada zetu mnajishusha thamani wenyewe na hata mtu akitaka kuwatete anashindwa.
Why unakua na mawazo kwamba mume akitoka nje ni kwamba amechoka kula nyama so amekwenda kula mchicha?!
Dah wadada mnasikitisha kwa kweli.
MJ1 au ww ni nyumba ndogo nn?!