Jibu kwa The Boss (Nyumba ndogo)

Jibu kwa The Boss (Nyumba ndogo)

Hakuna cha kutoa siri wala kande kuharibu mkuu, haya ndio maisha halisi ila watu wanajifanya kuficha ficha tu hapa, eti wanaona aibu wakati wanawasaulia huko hawana hata haya. Ya nini kujibana bana

wape wapeee vidonge vyao,
wakitema wakimeza shauri yao!!!
Hahahahahahhh,i love jf/mmu!!!!
 
Hahaha lol nimechekaje. Mi nitaolewa uzeeni na mzee mwenzangu atakaenipenda tayari nishazaa watoto wangu wawili na yeye sijui ana sita huko tumalizie uzee. Huyo naamini tutakaa kwa amani na si sasa. Kwa sasa nakula maisha tu tena nikiwa nyumba ndogo ambao hawajaoa wenzangu wasumbufu sana, waongo huyu mwenye mkewe hata akinidanganya dia niko na wife hata kama ana kimada mwingine namuamini, naishi kwa amani sina presha kabisa

nachukua noti book nikopi hii post kisha kina Ashadii na kundi lake nitawafuata majumbani mwao nikawasomee maana wamejitia kuingia mitini,nawafata huko huko waliko.
 
Mbona niko inbox huku sioni kitu?

niko dar,subiri nikienda kwetu kanyangereko hata na akamwani nitakuletea,ila chunga sana huyo Aspirin ana mahawara kibao asije akakuunganisha kwenye foleni,maana nasikia weekend huwa anaanza asubuhi kuzungusha vikapu mpaka amalize mzunguko ni saa 12 jioni!

Hili naona ndo hitimisho....
 
RR

Hata ulalame vipi

Nyumba ndogo / cheating / infidelity haikwepeki!

Wakati mwingine nyumba ndogo tuzisababisha sisi wenyewe wanawake, mdada akisholewa akakaa ndani miaka miwili mitata anaona amemaliza kila kitu, wamama wengi tunajisahau kutimiza wajibu wetu katika ndoa mwisho wa siku ukisiki kuna nyumba ndogo tunaanza kupiga kelele, japo pia kwa upande mwingine nyumba ndogo ni tamaa tu ya mwanaume husika
 
Ahsante kwa ponti na wakati huo huo kuijua jinsia yako.
 
nachukua noti book nikopi hii post kisha kina Ashadii na kundi lake nitawafuata majumbani mwao nikawasomee maana wamejitia kuingia mitini,nawafata huko huko makazini kwao.

Ujumbe umefika B'.... Kwamba nisivunge kua nyumba ngodo... Nimechanganikiwa tu kwamba ina maana unashauri niachike ili tu niwe nyumba ndogo - alafu nikiwa divorcee do i qualify kuitwa nyumba ndogo?
 
Kwamba sisi vijumba vidogo tutaendelea kuwepo as long as waume za watu wapo... unless waache kuoa...

Exactly.... Kumbe kweli you are taking notes... Kwa kuongezea hakikisha ana mpunga wa kutosha....
 
Ahsante kwa ponti na wakati huo huo kuijua jinsia yako.

Asprin umefurahi kujua jinsi yangu? Najitambulisha tema mimi ni mwandada na mimi pia ni mhanga wa nyumba ndogo
 
Asprin umefurahi kujua jinsi yangu? Najitambulisha tema mimi ni mwandada na mimi pia ni mhanga wa nyumba ndogo
Pole sana dada yangu. Vumilia, haya mambo hayakwepeki!
 
Back
Top Bottom