Jibu kwa The Boss (Nyumba ndogo)

Jibu kwa The Boss (Nyumba ndogo)

dah kazi kweli kweli sasa hapa si heri niwe tu nyumba ndogo? Kuliko uwe kubwa kumbe unashare hujui?
 
'Dignified cheating'....Hahahaha that is why I love JF.

Hivi sisi wanaume tunapo-cheat si huwa tuna-cheat na wanawake? Kwa hiyo kama ni vita ya infidelity basi ingeanzia kwa wanaweake wenyewe. Nadhani ni wakati muafaka wa mimi kuanzisha NGO yenye kaulimbiu ya SAY NO TO INFIDELITY....Lazima nitatengeneza pesa!

You can say that again, Comrade! Loud and Clear!!

Kula gwala mtu wangu! For every cheating man there is a woman.

Umeona eh? Watabisha lakini habari ndio hiyo!

HONGERENI SAAAAANA.... Kwa majidai yenu... Hapa tu mnadhihirisha kua mwaelewa ila tu hamtaki ku admit ni nini Akina mama twalalama!!!
 
dah kazi kweli kweli sasa hapa si heri niwe tu nyumba ndogo? Kuliko uwe kubwa kumbe unashare hujui?

Bebii nitakuchapa sasa hivi!!! Have you noticed wadada wooote wamenikimbia alafu badala ya kunisaidia unaniongezea mzigo!!
 
bebii nitakuchapa sasa hivi!!! Have you noticed wadada wooote wamenikimbia alafu badala ya kunisaidia unaniongezea mzigo!!
yaani wanaume hawa? Loh wameniacha hoi sis sasa wewe unamjua mwenzio maana kwa thread hii 99% inaonyesha yupo
 
Masaki sasa nimelewa kwa nini uchangiagi... Hapo umeweka blue hujamaliza kusoma point inayofuata!!

Pointi yako ya mwisho nimeisoma AshaDii...Na hiyo point yako ya mwisho inai-cancell out hiyo pointi ya pili kutoka mwisho (highlighted blue). Na ndio maana nikaamua kui-criticise pointi ya pili kutoka mwisho na kuiacha pointi ya mwisho kabisa. Sababu ni kwamba pointi yako ya mwisho ina mashiko.
 
TF Umenena mimi nilikuwa na gf mmoja ivi kila mara yeye kulalamika 2 ooh! mbona hupigi simu utakuwa na mwanamke mwingine unajieleza we mpaka kelo ikabidi nimwambie chukua tym yako nibaki hv nilivyo. Tatizo kubwa ni mawazo mgando na hasi waliyonayo wadanganyika. Nilazima watu wajue kama unajíita mwislam au mkristo tabia hizi hazipendezi tubadilike tuwajali wake na familia zetu. Heshima mbele jaman.
Kuna idadi kubwa sana ya wanawake kuliko mimi na wewe tunavyoweza kufikiri, wanaoamini kuwa wanaume wote wana nyumba ndogo, Je wewe mwanamke ndivyo unavyoamini. Kwanini hawa wanawake wanaamini hivyo? Kuna sababu moja kubwa tu nayo ni malezi, kuna ukweli kiasi fulani kuwa wanaume huwa wana nyumba ndogo, hali hii inapelekea watu kuamini kuwa wanaume wana hamu kubwa ya tendo la ndoa kuliko wanawake

Uwezekano mkubwa kwamba katika kila wanaume kumi saba wana nyumba ndogo au rafiki wa kike zaidi ya mmoja
 
Bebii nitakuchapa sasa hivi!!! Have you noticed wadada wooote wamenikimbia alafu badala ya kunisaidia unaniongezea mzigo!!
Shem huyu mwanzisha sredi mbona kaingia mitini? Au tugeuze chat room hapa!
 
UJUMBE KWA MMU LADIES...

No wonder hawa akina baba/kaka wanatusumbua akili zetu na kufinyanga roho zetu.... Genuinely where are you ladies at?? Mpaka hapa naona nguvu imenielemea bora tu nikimbie na nilog-off!!

Ujumbe kwa akina baba/kaka.... Believe me you... you always think you are the WINNERS.... But the thing is it is not because we can not WIN... Ila it is because we let you.... Mambo ambayo we are capable of juu yenu ni makubwa mno... the only difference it that you are "Gurus" at bragging... and we are not... Sio because we can not... ila for the simple reason kua sie results ni satisfaction tosha... No need of bragging.... Hii bragging ya nyumba ndongo huwa mnaleta hapa sie wamama tungepromore vidumu kwa nguvu hio hio... Nawaambia mngekua hamlali kwa amani na wake zenu hata kuwaacha... because you are weak at heart as much as you think us full of shit!!!
 
Pointi yako ya mwisho nimeisoma AshaDii...Na hiyo point yako ya mwisho inai-cancell out hiyo pointi ya pili kutoka mwisho (highlighted blue). Na ndio maana nikaamua kui-criticise pointi ya pili kutoka mwisho na kuiacha pointi ya mwisho kabisa. Sababu ni kwamba pointi yako ya mwisho ina mashiko.

My friend Masaki ukifanya hivo then you are just being THICK and typically a MAN..... Read between the lines source: Kaizer
 
UJUMBE KWA MMU LADIES...

No wonder hawa akina baba/kaka wanatusumbua akili zetu na kufinyanga roho zetu.... Genuinely where are you ladies at?? Mpaka hapa naona nguvu imenielemea bora tu nikimbie na nilog-off!!

Ujumbe kwa akina baba/kaka.... Believe me you... you always think you are the WINNERS.... But the thing is it is not because we can not WIN... Ila it is because we let you.... Mambo ambayo we are capable of juu yenu ni makubwa mno... the only difference it that you are "Gurus" at bragging... and we are not... Sio because we can not... ila for the simple reason kua sie results ni satisfaction tosha... No need of bragging.... Hii bragging ya nyumba ndongo huwa mnaleta hapa sie wamama tungepromore vidumu kwa nguvu hio hio... Nawaambia mngekua hamlali kwa amani na wake zenu hata kuwaacha... because you are weak at heart as much as you think us full of shit!!!
Yaani huu mzigo wote wamekuachia wewe ubebe naona wote wameingia mitini
 
Shem huyu mwanzisha sredi mbona kaingia mitini? Au tugeuze chat room hapa!

Darling Shem i don't have the energy THANK GOD Sweetie hajagusa hapa... naona angechafua the whole week!! Maana wee umechafua the whole day....
 
UJUMBE KWA MMU LADIES...

No wonder hawa akina baba/kaka wanatusumbua akili zetu na kufinyanga roho zetu.... Genuinely where are you ladies at?? Mpaka hapa naona nguvu imenielemea bora tu nikimbie na nilog-off!!

Ujumbe kwa akina baba/kaka.... Believe me you... you always think you are the WINNERS.... But the thing is it is not because we can not WIN... Ila it is because we let you.... Mambo ambayo we are capable of juu yenu ni makubwa mno... the only difference it that you are "Gurus" at bragging... and we are not... Sio because we can not... ila for the simple reason kua sie results ni satisfaction tosha... No need of bragging.... Hii bragging ya nyumba ndongo huwa mnaleta hapa sie wamama tungepromore vidumu kwa nguvu hio hio... Nawaambia mngekua hamlali kwa amani na wake zenu hata kuwaacha... because you are weak at heart as much as you think us full of shit!!!
Shem bana....... you think hatujui? Tunajua sana mna vidumu na mko smart sana mnapoamua kucheat........ uzuri wetu ni kuwa tunafahamu lakini we dont bother kwakuwa hata tufanyeje "binadamu hachungwi".......... My wife will remain innocent mpaka ntakapomfumania, na yeye anapaswa kuwa na imani hiyo. Vinginevyo dunia hii haitokalika.
 
akili za kuambiwa changanya na zako???????????????ila poleni sana mlioko kwenye ndoa jamani loh
 
UJUMBE KWA MMU LADIES...

No wonder hawa akina baba/kaka wanatusumbua akili zetu na kufinyanga roho zetu.... Genuinely where are you ladies at?? Mpaka hapa naona nguvu imenielemea bora tu nikimbie na nilog-off!!

Ujumbe kwa akina baba/kaka.... Believe me you... you always think you are the WINNERS.... But the thing is it is not because we can not WIN... Ila it is because we let you.... Mambo ambayo we are capable of juu yenu ni makubwa mno... the only difference it that you are "Gurus" at bragging... and we are not... Sio because we can not... ila for the simple reason kua sie results ni satisfaction tosha... No need of bragging.... Hii bragging ya nyumba ndongo huwa mnaleta hapa sie wamama tungepromore vidumu kwa nguvu hio hio... Nawaambia mngekua hamlali kwa amani na wake zenu hata kuwaacha... because you are weak at heart as much as you think us full of shit!!!

Hapo kwenye bluu, you are quite right madam! Na ndio maana tunajikuta tunaanguka kwenye nyumba ndogo, infidelity, cheating...you name it. Na wanaosababisha ni nyie wanawake. Men are a weaker gender whenever it comes to seduction. It's easier for a woman to win a man through seduction than a man to win a woman...!! You will consider women as WINNERS if you look on this whole issue from that perspective!
 
'Dignified cheating'....Hahahaha that is why I love JF.

Hivi sisi wanaume tunapo-cheat si huwa tuna-cheat na wanawake? Kwa hiyo kama ni vita ya infidelity basi ingeanzia kwa wanaweake wenyewe. Nadhani ni wakati muafaka wa mimi kuanzisha NGO yenye kaulimbiu ya SAY NO TO INFIDELITY....Lazima nitatengeneza pesa!

Kweli kabisa, angeanza kukaripia wadada ila na wakaka pia maana nasikia kuna mameni nyumba ndogo zao ni was.....
 
Shem bana....... you think hatujui? Tunajua sana mna vidumu na mko smart sana mnapoamua kucheat........ uzuri wetu ni kuwa tunafahamu lakini we dont bother kwakuwa hata tufanyeje "binadamu hachungwi".......... My wife will remain innocent mpaka ntakapomfumania, na yeye anapaswa kuwa na imani hiyo. Vinginevyo dunia hii haitokalika.

.....Now that is what we call great thinking!
 
Back
Top Bottom