Jibu kwa The Boss (Nyumba ndogo)

Jibu kwa The Boss (Nyumba ndogo)

Kweli kabisa, angeanza kukaripia wadada ila na wakaka pia maana nasikia kuna mameni nyumba ndogo zao ni was.....

Don't even go there maana kasi ya usagaji hapa jijini kwa sasa inatisha. Yaani sisi wenye girlfriends tukiona mwanamke anamzoea kinguvu tunaanza kupata wasiwasi. By the way, hilo nalo linahitaji thread inayojitegemea! Inatisha!
 
Mimi ndio maana philosophy yangu ni ku fight by all means. Watu wanapinga hii philosophy wakisema eti si akili.

Lakini nadhani ni akili kuliko kuwa kimada au kuwa na kimada

Sioni noma ku act like crazy when it comes to my husband. Na kuna waliokwisha onja joto ya jiwe.
Naomba unisaidie njia zipi unatumia kuwaonyesha joto ya jiwe?
 
Dont take JF too serious.......Source: Kaizer
Waache wapambane na ukuta.!!
kwahiyo 99%
Halafu kila ME anayecheat kuna KE nyuma yake ana do the same
Halafu...........bora wasijue...okey!!
Duh!!
 
Yaani huu mzigo wote wamekuachia wewe ubebe naona wote wameingia mitini

Babu unauliza Bia kwenye Bar

For I will be with you to rescue and deliver you, says the LORD.- Jeremiah 15:20-21

Shem bana....... you think hatujui? Tunajua sana mna vidumu na mko smart sana mnapoamua kucheat........ uzuri wetu ni kuwa tunafahamu lakini we dont bother kwakuwa hata tufanyeje "binadamu hachungwi".......... My wife will remain innocent mpaka ntakapomfumania, na yeye anapaswa kuwa na imani hiyo. Vinginevyo dunia hii haitokalika.

...."Hodi" ya chooni haiitikiwi "karibu"....

Hapo kwenye bluu, you are quite right madam! Na ndio maana tunajikuta tunaanguka kwenye nyumba ndogo, infidelity, cheating...you name it. Na wanaosababisha ni nyie wanawake. Men are a weaker gender whenever it comes to seduction. It's easier for a woman to win a man through seduction than a man to win a woman...!! You will consider women as WINNERS if you look on this whole issue from that perspective!

.....Now that is what we call great thinking!

Ability may get you to the top, but it takes character to keep you there.


KWA HISANI YA WANAUME WA HAPO JUU.... Nafikiri inabidi nibadilishe Signature yangu.... NIMEGUNDUA inani COST!! Roho hapa INANIUMAAAAAA!! Lakini niseme Endeleeni tu....
 
Waache wapambane na ukuta.!!
kwahiyo 99%
Halafu kila ME anayecheat kuna KE nyuma yake ana do the same
Halafu...........bora wasijue...okey!!
Duh!!
Kama 99% ya men wanacheat, huwa wanacheat na nani?

Stuka!
 
Bila
Kutoa maelezo meeeengi kama kawaida yangu.
napenda tu kukushukuru wewe mdada kwa kunichapia
Makofi mazito ya mashavu, viboko mgongoni, matakoni, miguuni
kumfinya mapaja yake,makwenzi, na ngumi za tumbo kwa The Boss & Co.
 
Mimi ndio maana philosophy yangu ni ku fight by all means. Watu wanapinga hii philosophy wakisema eti si akili.

Lakini nadhani ni akili kuliko kuwa kimada au kuwa na kimada

Sioni noma ku act like crazy when it comes to my husband. Na kuna waliokwisha onja joto ya jiwe.

Naikubali hii mentality yako...usilegeze kamba...
 
Ashadii waache waendelee kujidanganya .............hawa huwezi shindana nao kwa maguvu si unawaona wenyewe wanavotumia maguvu mengi kuhalalisha mambo yao wakati sie akili kumkichwa................ umeshawaeleza hapo chini

UJUMBE KWA MMU LADIES...

No wonder hawa akina baba/kaka wanatusumbua akili zetu na kufinyanga roho zetu.... Genuinely where are you ladies at?? Mpaka hapa naona nguvu imenielemea bora tu nikimbie na nilog-off!!

Ujumbe kwa akina baba/kaka.... Believe me you... you always think you are the WINNERS.... But the thing is it is not because we can not WIN... Ila it is because we let you.... Mambo ambayo we are capable of juu yenu ni makubwa mno... the only difference it that you are "Gurus" at bragging... and we are not... Sio because we can not... ila for the simple reason kua sie results ni satisfaction tosha... No need of bragging.... Hii bragging ya nyumba ndongo huwa mnaleta hapa sie wamama tungepromore vidumu kwa nguvu hio hio... Nawaambia mngekua hamlali kwa amani na wake zenu hata kuwaacha... because you are weak at heart as much as you think us full of shit!!!
 
me nadhan thr boss yupo sahii kabisa kama imeshaonekana ni ngumu watu kusubiri hadi ndo a ndo wafanye mapenzi basi atleast tuwaelimishe kujikinga kwa kutumia kondomu wasijepata maradhi na kadhalika....sasa wewe russian ukubali kabisa kwamba nyumba ndogo haziepukiki zilikwepo na zitaendelea kuwepo suala liwe ni namna gan ya kuzicontrol nyumba ndogo zisijeleta matata ,madhara kwa maza house original (mshikwa popote original)....

Kinachojadiliwa hapa sio kusubiri ndoa ndio ufanye mapenz hapa kinachozungumzwa ni wale ambao tayar wana ndoa zao halafu bado wana mwanamke nje/nyumba ndogo.
Mm kwa kweli sijaoa ila ckubaliani na mtazamo huo ni jambo linaloumiza sana jamani. Imagine kwa mwanaume akisikia mke wake ana bwana nje hv mume utajisikiaje?.

Say NO to Nyumba ndogo.
 
If Bossman were to come here he'd probably be like...'see Ngabu, I told you so'......lol.

Indeed, Boss' thread was an eye-opener to me. I labored so long under a misapprehension but now I'm slowly starting to get it.
 
Please don't tell me you are foaming at the mouth about all this....



Dah!!! THANK YOU Ngabu for making me laugh.... Naaah! Infact I am quit enjoying ma' self hapa... Nikijinurse na Beyonce's "Halo"
 
Back
Top Bottom